Polisi wajikoroga kuhusu kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA Usa River

....Ndio polisi wetu hao hawajafanya hata chembe ya uchunguzi lakini wanaweza kuhitimisha kwamba mauaji hayo hayahusiani na siasa!!!! Ukiwaambia watoe ushahidi kwamba mauaji hayo hayahusiani na siasa wanaanza kung'aa macho. Mungu tunusuru.
Watuambie sababu ya walio mchinja ni kwasabubu gani maana kumbe siyo swala la kisiasa....
 
hivi kuna ulazima gani wa polisi kukimbilia media na kukanusha kuwa kifo hakihusiani na siasa hata kabla hawajaanza uchunguzi.
Kama wanataka kutuliza wananchi wangesema neno moja tu.......kwamba uchunguzi unaendelea.....
Utetezi huu wa polisi unatia shaka kama lile kanusho la magogoni kwamba jk anawatetea mawaziri wanaotakiwa kujiuzulu.
 
hivi kuna ulazima gani wa polisi kukimbilia media na kukanusha kuwa kifo hakihusiani na siasa hata kabla hawajaanza uchunguzi.
Kama wanataka kutuliza wananchi wangesema neno moja tu.......kwamba uchunguzi unaendelea.....
Utetezi huu wa polisi unatia shaka kama lile kanusho la magogoni kwamba jk anawatetea mawaziri wanaotakiwa kujiuzulu.
Wanadhani wana kiokoa chama chao cha CCM...
 
Polisi ina jua walio muua mwenyekiti na Polisi wanajua walio wauwa vijana wanne wa juzi...na kama angekuwa alie uwawa ni mwenyekiti wa CCM wallah vyombo vyote wa habari ingekuwa ndiyo heading.....na watu wengi sana mpaka sasa wange kuwa wamekamatwa hasa watu wa chadema....

mkuu ni PM
 
Kwa kweli hawa polisi wanazidi kujidhihilisha jinsi walivyo upande wa CCM, ila tusiwalaumu sana maana soon kimbunga cha M4C kitawapitia na baada ya hapo hawatakuja kurudia tena uzandiki wao dhidi ya Chama cha watu CHADEMA.
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wewe ni mpumbavu kabisa. Samahani kwa kutoa kauli hiyo lakini umenikera sana.
 
Kama uchunguzi wa kupigwa kwa wabunge wa CDM haujakamilika, tusitegemee kupata uchunguzi ulio huru na wa wazi kwa m/kiti wetu. oh R.I.P m/kiti.
 
Hatuana Polisi tuna genge la wahuni tu.. wali wahi kutoa tamko kama hili kwenye issue ya Mwakyembe lakini kwenye issue kama za kina kanumba watasema wanafanya uchunguzi

Umenena Crashwise......Polisi Tz ni wahalifu walio kwenye uniforms.
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu (Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".



Ama kweli wahenga walisema sahihi kuwa "kusoma sio kuelimika". Mwee! Ndio maana waswahili tunamwita aliyesoma "msomi" jina ambalo halibebi dhamana yoyote ya elimu aliyo nayo.
 
Sasa kifo chake kinatuhusu nini? Huyo atakuwa ameChacha Wangwe tu na viongozi wenzake wa chama mfu(Chadema).
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Kama huna point ya Msingi ya kuchangia hakuna ulazima wa kuchangia. Hebu staarabika hili ni jukwaa la watu wanaofikiri sawasawa sio wendawazimu
 
Polisi wanaweza kueleza sababu ya vifo vya wale wakazi wanne wa Arusha waliukutwa wamenyongwa?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom