Polisi wafichua siri za mauaji WAYAHUSISHA NA AMRI ZA WAKUBWA

Polisi anapokuja kukukamata ni lazima awe na Warrant odder ya kua unahitajika kituoni na tumekuja kukukamata! Lakini kwa Polisi wa Tanzania anapokuja kumkamata mtuhumiwa cha kwanza ni kukuzalilisha kwakukupiga na kukufunga Shati Kaptura! Je haya ndiyo mafunzo wayayopewa Polisi wa Tanzania?? Je ni mahakama ndiyo inayotakiwa kutoa hukumu au ni Polisi??? Na wasiwasi na kile chuo cha CCP pale Moshi!
 
kitaeleweka tun hata wafiche namna gani maana haki itabaki kuwa haki laana zitawaumbua tu
 
Polisi wako kwenye mstari mwekundu na wananchi pamoja na wapenda amani & mabadiliko nchini.
Sasa kama wanataka kurekesbisha hali hiyo ni vema wasije na visingizio au habari nusu-nusu. Watokee wazalendo kadhaa wa ukweli wapige filimbi sisi tutashughulika na ccm. Whistleblower ndiye atakayeweza kutufanya tuwaone polisi kama polisi, vinginevyo polisi ni genge la wauaji, majambazi na katu wasistegemee msaada toka kwa raia wema.

So they should come foward and NOW!

Mimi huwa siwasalimii askari polisi wala kuwapa lift.
 
Wakati fulani afende mmoja wa polisi aliwahi kutuelezea kirefu cha POLICE kama POLITICAL ORDER LAWS AND INVESTIGATION TO CRIMINAL EMERGENCIES kwa hivo kusema wanpokea amri kutoka kwa wakuu wa kisiasa inawezekana kabisa. ni vema pilisi wakafanya kazi zao kisheria na sio kuagizwa na wanasiasa
 
Mi nadhani mtu ukiona unalazimishwa kumwaga Damu kwanini usijitoe kwani uliandikiwa utaishi kwa Upolisi tu.
 
Kweli kabisa kaka. Mie bado machozi yakinitoka nikumbukapo tukio hilo.
Ni UNYAMA hauna mfano hapa DUNIANI.
Usiandike habari za polisi Tumewasusia mkuu.Nikisoma popote palipo andikwa polisi ninamkumbuka mwangosi.
 
Unajuwa kuna watu obvious huwa wapo negativity xo we just take easy ila tumekupata kaka.
Ni kweli viongozi wengi wa serikari ya Kikwete wanaakili kama za huyu Zomba. Hawa ndo wanafanya mambo ya Kishenzi, wanauza nchi yetu hivihivi, hata Gadaff alikuwa nakiburi kama hawa jamaa lakini at the end waliingiziwa mambo kwenye hayo wanyotumia kufikilia.. Anauzi sana huyu chizi
 
Kutokana na mauaji yanayotokea nnchini kwa polisi kuhusishwa na mauaji ya raia na kuteka watu msitu wa magwepande (DR ULIMBOKA). Je polisi wanahusika kwa kushawishiwa/kuhongwa fedha, ahadi ya vyeo na wanasiasa wa chama tawala.
 
Back
Top Bottom