Pole Sana Ndesamburo!
Nchi hii sijui tumwamini nani tena.
1. Baada ya Jitihada zako kuwasilisha barua kwa IGP na kwa Gavana wa BOT kushindikana uliwasilisha nakala za barua hizo ofisini kwangu.
2. Mimi binafsi niliwasiliana na IGP Saidi Mwema na akaniahidi kulishughulikia yeye mwenyewe. Alimtuma kamanda wake kuchukua nakala ya barua yako. Nikaamini swala litashughulikiwa. 2. Nikaongea na Gavana Beno Ndulu akanihakikishia atashughulikia yeye mwenyewe. Kama hakuna hatua hadi leo basi tumekwisha. Maana sasa tutaachaje kuamini kauli ya wahusika kuwa mtandao wao unamhusisha Advocate Nyombi RPC Mbeya na IGP Saidi Mwema! Kama ni kweli tuko pabaya kuliko tunavyodhani.

Asante Dr kusaidia ulipoweza, umeonyesha leadership. Nami nitamuombea ndg yangu huyu muathirikaPole Sana Ndesamburo!
Nchi hii sijui tumwamini nani tena.
1. Baada ya Jitihada zako kuwasilisha barua kwa IGP na kwa Gavana wa BOT kushindikana uliwasilisha nakala za barua hizo ofisini kwangu.
2. Mimi binafsi niliwasiliana na IGP Saidi Mwema na akaniahidi kulishughulikia yeye mwenyewe. Alimtuma kamanda wake kuchukua nakala ya barua yako. Nikaamini swala litashughulikiwa. 2. Nikaongea na Gavana Beno Ndulu akanihakikishia atashughulikia yeye mwenyewe. Kama hakuna hatua hadi leo basi tumekwisha. Maana sasa tutaachaje kuamini kauli ya wahusika kuwa mtandao wao unamhusisha Advocate Nyombi RPC Mbeya na IGP Saidi Mwema! Kama ni kweli tuko pabaya kuliko tunavyodhani.
Inasikitisha Sana!
Nakushauri utafute namba za vyombo vya Habari kama ITV kwa sababu wanaweza kukusaidia,kupitia humuhumu Jf watu wanaweza kukusaidia. Pole sana.
Tunakutumia mwandishi wetu ambaye atakusikiliza na kisha ataongea na wakuu ndani ya Jeshi la Polisi!
Karibu JamiiForums
Mpigie simu Kikwete umpe taarifa hizo.
Tumekwishaaaaaaaaaaaaa 2015 sio mbali lazima wa-pay cost kwa kua ma-boss,sheria za china zinaitajika sana hapa tz,katiba mpya ndio suluhisho.
watamsaidiaje?wakat hadi mwema na Ndulu wanajua?
Huu upepo tu UNAPITA,
Katiba mpya haitosaidia chochote kwa sasa maana tayari wamelazimisha iende wanavyotaka wao, kwa hali hii hiyo Katiba mpya sio tija kabisa na tukae tukielewa tunachezea hela kwa kusema tunatengeneza katiba mpya. 2015 ni wakati muafaka kwa uchaguzi, hata hivyo hatuwezi kusubiri 2015 ndio mabadiliko yafanyike ila inatakiwa yafanyike sasa.
Samahani bandugu; mie hapo bado sijaona sababu haswaa ya yeye kuwindwa namna hiyo hata kiasi cha kutaka kuuawa maana yeye ndo kazurumiwa labda ingekua ye ndo zurumati hapo sawa unles atuambie hatua aloifanya baada ya kuzurumiwa; na sekeseke la kuwindwa kwake lilipoanzia au nyie wenzangu mmeelewaje?
Ahamie wapi wapi ambako mtandao wa Polisi na mtandao wa majambazi haufiki?Duh kama haya ni kweli ndugu yangu itabidi uhame huko.. Hao Polisi wanaofanya vitendo hivyo wana roho za kijambazi so hawaoni shida kukumaliza..
Huyu Kikwete anaishi nje ya nchi,hawezi kutatua hata maswala ya kitaifa itakula hilola mtu mmoja?Pole Ndesamburo,jaribu kutumia nguvu ya media,nchi ishauzwa.Mpigie simu Kikwete umpe taarifa hizo.
Mpigie simu Kikwete umpe taarifa hizo.