Polisi kuungana kupanga njama za kuniua wakiungana na mtandao wa ufyatuaji noti bandia nchini

Inasikitisha Sana!
Nakushauri utafute namba za vyombo vya Habari kama ITV kwa sababu wanaweza kukusaidia,kupitia humuhumu Jf watu wanaweza kukusaidia. Pole sana.
 
Pole Sana Ndesamburo!
Nchi hii sijui tumwamini nani tena.
1. Baada ya Jitihada zako kuwasilisha barua kwa IGP na kwa Gavana wa BOT kushindikana uliwasilisha nakala za barua hizo ofisini kwangu.
2. Mimi binafsi niliwasiliana na IGP Saidi Mwema na akaniahidi kulishughulikia yeye mwenyewe. Alimtuma kamanda wake kuchukua nakala ya barua yako. Nikaamini swala litashughulikiwa. 2. Nikaongea na Gavana Beno Ndulu akanihakikishia atashughulikia yeye mwenyewe. Kama hakuna hatua hadi leo basi tumekwisha. Maana sasa tutaachaje kuamini kauli ya wahusika kuwa mtandao wao unamhusisha Advocate Nyombi RPC Mbeya na IGP Saidi Mwema! Kama ni kweli tuko pabaya kuliko tunavyodhani.

Tumekwishaaaaaaaaaaaaa 2015 sio mbali lazima wa-pay cost kwa kua ma-boss,sheria za china zinaitajika sana hapa tz,katiba mpya ndio suluhisho.
 
Dr tunafadhaishwa sana na hali inayoendelea, tafadhali fanyeni vikao muhimu mtujulishe nini cha kufanya kwa wakati gani maana nchi imeshakuwa mikononi mwa wabadhirifu. Nadhani utaona kwenye threads nyingi zilizomo hapa kwamba wengi sasa wanaamini uongozi ni wenu na wanasubiri kauli yenu, tafadhali toeni kauli hali ikiwa ya moto.
 
Pole Sana Ndesamburo!
Nchi hii sijui tumwamini nani tena.
1. Baada ya Jitihada zako kuwasilisha barua kwa IGP na kwa Gavana wa BOT kushindikana uliwasilisha nakala za barua hizo ofisini kwangu.
2. Mimi binafsi niliwasiliana na IGP Saidi Mwema na akaniahidi kulishughulikia yeye mwenyewe. Alimtuma kamanda wake kuchukua nakala ya barua yako. Nikaamini swala litashughulikiwa. 2. Nikaongea na Gavana Beno Ndulu akanihakikishia atashughulikia yeye mwenyewe. Kama hakuna hatua hadi leo basi tumekwisha. Maana sasa tutaachaje kuamini kauli ya wahusika kuwa mtandao wao unamhusisha Advocate Nyombi RPC Mbeya na IGP Saidi Mwema! Kama ni kweli tuko pabaya kuliko tunavyodhani.

jibu moja tu,huu ni upepo utapita
 
Aisee, wanaacha kuwakomalia mafisadi huko wanakusumbua mjasilia mali, dah kweli watanzania tumekalia kuti kavu, HADI POLISI NAO WAKO HIVI???
 
Pole Sana Ndesamburo!
Nchi hii sijui tumwamini nani tena.
1. Baada ya Jitihada zako kuwasilisha barua kwa IGP na kwa Gavana wa BOT kushindikana uliwasilisha nakala za barua hizo ofisini kwangu.
2. Mimi binafsi niliwasiliana na IGP Saidi Mwema na akaniahidi kulishughulikia yeye mwenyewe. Alimtuma kamanda wake kuchukua nakala ya barua yako. Nikaamini swala litashughulikiwa. 2. Nikaongea na Gavana Beno Ndulu akanihakikishia atashughulikia yeye mwenyewe. Kama hakuna hatua hadi leo basi tumekwisha. Maana sasa tutaachaje kuamini kauli ya wahusika kuwa mtandao wao unamhusisha Advocate Nyombi RPC Mbeya na IGP Saidi Mwema! Kama ni kweli tuko pabaya kuliko tunavyodhani.
Asante Dr kusaidia ulipoweza, umeonyesha leadership. Nami nitamuombea ndg yangu huyu muathirika
 
Inasikitisha Sana!
Nakushauri utafute namba za vyombo vya Habari kama ITV kwa sababu wanaweza kukusaidia,kupitia humuhumu Jf watu wanaweza kukusaidia. Pole sana.

watamsaidiaje?wakat hadi mwema na Ndulu wanajua?
Huu upepo tu UNAPITA,
 
Pole Mkuu Ndesamburo!

Yaliyokupata ni makubwa sana.. Na sijui kama ile Milioni 3 yako uliipata ama la..
 
Samahani bandugu; mie hapo bado sijaona sababu haswaa ya yeye kuwindwa namna hiyo hata kiasi cha kutaka kuuawa maana yeye ndo kazurumiwa labda ingekua ye ndo zurumati hapo sawa unles atuambie hatua aloifanya baada ya kuzurumiwa; na sekeseke la kuwindwa kwake lilipoanzia au nyie wenzangu mmeelewaje?
 
Tumekwishaaaaaaaaaaaaa 2015 sio mbali lazima wa-pay cost kwa kua ma-boss,sheria za china zinaitajika sana hapa tz,katiba mpya ndio suluhisho.

Katiba mpya haitosaidia chochote kwa sasa maana tayari wamelazimisha iende wanavyotaka wao, kwa hali hii hiyo Katiba mpya sio tija kabisa na tukae tukielewa tunachezea hela kwa kusema tunatengeneza katiba mpya. 2015 ni wakati muafaka kwa uchaguzi, hata hivyo hatuwezi kusubiri 2015 ndio mabadiliko yafanyike ila inatakiwa yafanyike sasa.
 
Hizo mbinu zao za kuwalazimisha makada wa ccm waakikishe wanaingiza mambo yao kwenye katiba Dr Slaa alishaziibua nadhan azitopata nafasi.
 
Samahani bandugu; mie hapo bado sijaona sababu haswaa ya yeye kuwindwa namna hiyo hata kiasi cha kutaka kuuawa maana yeye ndo kazurumiwa labda ingekua ye ndo zurumati hapo sawa unles atuambie hatua aloifanya baada ya kuzurumiwa; na sekeseke la kuwindwa kwake lilipoanzia au nyie wenzangu mmeelewaje?

Jujuman huyu Ndesamburo anadai na ameshapeleka habari kwamba hili ni kundi ovu kwa IGP, Gavana na Dr. Wilbroad Slaa. Kimsingii huyu jamaa ameshakuwa threat kwa kundi hili kwahiyo wazo la wao kumwondoa sio wazo la ajabu hata kidogo, pia mimi sishangai kwamba Polisi wamekaa kimya maana sio mtu wa kwanza kulalama na wao kukaa kimya. Dr Slaa amesema hapa JF kwamba huyu Bwana alileta barua kwake na yeye akawasiliana na IGP na Benno Ndulu lakini inaonyesha hakuna lililofanyika, amka upitie forum vizuri utaelewa nini kinaendelea.
 
..pole sana ndg, watu wanaroho mbaya sana kwenye pesa, hakikisha unachukua hatua zaidi ya hzo. Peleka habari hii kwenye vyombo vya habari haraka iwezekanavyo, hakikisha kisa chako unakifikisha ofisi ya IGP kwani sio polisi wote ni wabaya na ikiwezekana iache familia yako ifanye biashara huko we kafanye maeneo mengine ya nchi, aheri kuwindwa na mnyama kuliko binadamu.
 
Mpigie simu Kikwete umpe taarifa hizo.

Jamaa yupo serious na hili janga!

Mambo ya kikwete ni ya hewa tupu!

Pole sana Ndesa ila ngoja tusubiri mawazo ya kila asomaye hili!
Maana naamini JF kuna kila mtu!

Inanigusa sana kwa sababu bado cjajua kisa cha huyu jamaa kukufanyia haya!
Ama ni wivu ya kibinadamu tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom