VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '
'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...