POLISI: KOVA hana la kufanya...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '

'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...
 
mwanamme aliyekamilika si anaye kubali kila anacho ambiwa, kama haamini anacho ambiwa amwaambie waseme wao wana amini. a real man should a man
 
Yaani siku hizi kila kitu ni uongo.

1. wewe Mleta habari ni muongo (askari akupigie magati kama nani)
2. Kova ni Muongo
3. walio juu ni waongo pia
 
VUTA-NKUVUTE habari za siku? .wambie hao makamishna waache uongo usio na tija....wote ni waongo tu si kova wala hao makamishna
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka msemaji wa jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa nadhani amekata tamaa
 
na huu ni mchezo ule unaoitwa "UNAFIKI" wa ccm.wanakutupia zigo unahangaika nalo,wao wanakuangalia.Likifanikiwa wanajitokeza na kujisifia, likiharika unaambiwa hakuna aliyemtuma.
 
Kova as well as the detained suspect both need to take the lie detector test.
if the government fails fullfil requirements asked by doctors am quite sure it cant be bothered to buy a Polygraph-a divice for detecting/testing lies.am not sure if there is any so far.
 
Sasa tangu lini mtu mmoja akawa rais, akawa IGP, akawa Kamanda wa polisi wa Kanda Maalum, akasimulate kuwa Mkenya, cum Gangster!
Mshaurini bana...kosa analoliendea sasa hivi ni baya na almost ndiyo final kwake...kama yuko makini aishie hapohapo, asijaribu tena kufungua madomo!
 
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '

'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...
Kama hamuwezi kuamini vyombo vya usalama kwa kupika majungu, kuchunguzeni ninyi au ingieni polisi. kama kweli hayo mambo mumeambiwa na polisi hebu wasemeni. inawezekana hao wanaowaletea taarifa pembeni ndo wahusika wakuu na hivyo wanajihami. kama kweli ninyi ni wazalendo watajeni ili kurahisisha uchunguzi.
 
if the government fails fullfil requirements asked by doctors am quite sure it cant be bothered to buy a Polygraph-a divice for detecting/testing lies.am not sure if there is any so far.
There are many!
It just deals with measuring the frequency of your voice during word utterance!
Under normal circumsstance the sound waves of a person lie between some range of number of Hz, but when lying there is sort of panic within the sound waves, which completely change the range of frequencies during talking.
In lying, one forrces the brain to be much more careful, and hence the lier becomes no more himself, and hence the sound waves!

Inawezekana wewe ni jamaa/rafiki ya Kova, sasa tafadhali mfikishie ujumbe kuwa sio yeye wala serikali watachomoa hii.

Tena subirini Dk. Ulimboka arudi na kufunguka ndipo mtajua kama watanzania ni miskule au watu kamili. ENOUGH!
 
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '

'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...

Ni nani huyo mtu muovu kabisa anayesababisha jeshi letu la polisi liwe sawa na mataliban wa afghanistan!? ambao hawana ethics wala ethos na professional standards kwa sababu no one is supposed to hold them to account, ni magaidi tu! nani huyu anawadhalilisha askari wetu, mpaka Kova anapoteza hata sifa ya kuitwa Baba wa kuheshimika, anabuni porojo na kuziweka sokoni akitegemea watanzania wa leo wazinunue?! please stop prostituting with our faculties.
 
Back
Top Bottom