POLISI: KOVA hana la kufanya...

Una akili sana PakaJimmy..hii ndaikopi nikawabuluzie kijiwen kwangu weekend...kuna mzee wa magamba anadanganyaga sana!ntampa hi maneno
There are many!
It just deals with measuring the frequency of your voice during word utterance!
Under normal circumsstance the sound waves of a person lie between some range of number of Hz, but when lying there is sort of panic within the sound waves, which completely change the range of frequencies during talking.
In lying, one forrces the brain to be much more careful, and hence the lier becomes no more himself, and hence the sound waves!

 
Kamanda wa polisi Mkoa ndio msemaji wa Polisi katika Mkoa Husika. Msemaji wa polisi taifa (MSIKA),ataongelea mambo yanayohusu ofisi ya IGP au yale aliyoagizwa na IGP kuyasema. Kwa maana nyingine, swala la Dr. Ulimboka halijapewa umuhimu wa kitaifa bali Kanda Maalum Mkoa wa Dar es saalam.

msemaji wa polisi kitaifa kwa sasa ni dada anaitwa Advera Senso baada ya Msika kustaafu toka 2010.
 
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamedai kuwa Ripoti zote anazozitoa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Alhaji Suleiman Kova,juu ya sakata la Dr.Ulimboka, ni za kupikwa kutoka juu. Maafisa hao, niliozungumza nao muda mfupi uliopita,wamedai kuwa Kamanda Kova hana la kufanya zaidi ya kusema anachoagizwa. '

'Kila kitu kinaratibiwa toka kwa wakuu wake' walisema Maafisa hao wenye vyeo vya Makamishna Wasaidizi wa Polisi.'Wanamdumaza kwakweli,kila wanachotaka kisikike ndicho anachosema Kamanda Kova. Si uungwana na wala si tulichofundishwa kama Maaskari' walisema kwa kulalama maafisa hao walionipigia magoti nisiwataje majina yao.Hatahivyo,maafisa hao waligoma kugoma kutaja 'juu' wanapopazungumzia...

Poor credibility as usual....just 'pyramidal shaped'..! Kova is just at the middle of the Pyramid...! then who is at the pyramid's top?? Jibu tunalo...
 
Kazi tunayo jamani nani ana CV ya KOVA. Mimi ninavyojua ni darasa la 7. Ndio maana anaudhaifu huu, failure atawezaje kuperform. Ni hopeless guy
 
nakumbuka msemaji wa jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa nadhani amekata tamaa

Nadhani kamanda Msika alishastaafu na ndiyo Kova akapata nafasi lakini si kama msemaji wa polisi.

Msemaji polisi ni dada mmoja hivi ASP kama sijakosea lakini issue kubwa kama ile hawezi ku address.
 

Ni hali ninayoiona kuhusu hizi tabia za akina Kova kushabikia unyanyasaji wa madaktari na kuwaswaga wanapotaka haki yao, sasa yaonekana kuwaweka pabaya. Polisi sasa hawapokelewi kwa amani hospitali. Hapo Muhimbili hapaingiliki kwa polisi.

Hao waajiliwa wa TISS watatumia vitambulisho vya uongo lakini wakijulikana hata kwa SMS hali inakuwa mbaya.

Baada ya kufuata ya wanasiasa, akina Pinda ambao kwa sasa wanavaa vizuri kuliko mwanzo na kutibiwa
India, je Polisi na TISS sasa mutakwenda wapi?
 
Mwisho wa siku kila kitu kitakuwa adharani.Asante sana Kubenea U have said it all kwenye Mwanahalisi la leo its more than Tume. Hiyo Tume ya kichina ya Kova itajivua nguo watakapo toa ripoti yao wait and see.:wacko:
 
Back
Top Bottom