POLISI: KOVA hana la kufanya...

Msimtetee KOVU, Si ndo aliongea kwa mbwembwe sana kuwa mtake msitake uchunguzi lazima ufanyike na ACP Hemed Msangi LAZIMA aongoze tume! alijua walichokipanga na matokeo, Muache asurubike!
 
Lie detector test? We cant even take fingerprints. Waminywe kule. That's the best local lie detector test.
Bongo huo ustaarabu hakuna,hii kwangu itakuwa big news kama wanatumia lie detector test, let it alone hata kama ipo!Polisi ya bongo si polisi.Sasa huyo anayetumwa aje kusema uongo wa wazi kwanini asijiuzulu?yale yale ya Baath Party ya Saddam waliposema "I was just taking orders" yeye na aliyemtuma wote makosa yao ni sawa.
 
Wanawekwa vichwa nazi ili waweze kuwa controlled!kumbe ni kweli aliupigia saluti mwili wa Kanumba?kweli bongo is a joke.Nothing is serious!
 
Toka apige salute mbele ya mwili wa ze great!

image31.png
 
Lie detector test? We cant even take fingerprints. Waminywe kule. That's the best local lie detector test.
Hapo umesema mkuu, pakari ya kubinyia "kokwa" moja tu inatosha mtu kukumbuka yote tangu yumo tumboni mwa mamake.
 
Kama Kamanda wa Polisi, kwa Unafiki mkubwa alikwenda kuupigia salute mwili wa mwigizaji, atashindwa kufanya nini la kujitoa akili ili awafurahishe "mabwana" zake!
The guy is but a walking corpse.
 
Kama hamuwezi kuamini vyombo vya usalama kwa kupika majungu, kuchunguzeni ninyi au ingieni polisi. kama kweli hayo mambo mumeambiwa na polisi hebu wasemeni. inawezekana hao wanaowaletea taarifa pembeni ndo wahusika wakuu na hivyo wanajihami. kama kweli ninyi ni wazalendo watajeni ili kurahisisha uchunguzi.

Hivi wewe umeshuka leo kutoka MARS? Unataka watajwe mara ngapi? Mimi ninarudia kuwataja kwa sauti kubwa.
1. ACP AHMED MSANGI
2. ABEID AFISA WA IKULU.

Nenda kawahoji sasa.
 
Wahurumieni hao polisi, kwani hata wao wanalazimika tu, Moyoni wana ukweli, ila kazi tu.
 
Mtekaji amejitokeza na ameeleza walichokifanya tunajifanya sisi ni wajuaji sana.
 
Kitendo cha mtu kupangiwa nini cha kufanya, au kufanya mambo kwa lengo la kupendezesha watu fulani akitambua fika kuwa anadharirisha taaluma yake, kazi yake, haiba, yake...just kwa ajili sifa , mali au tumbi.....

Ethically mtu huyo huwa tunasema 'Analawitiwa au anapenda kulawitiwa kimajukumu' trust me mtu anaeejua kazi yake kikamilifu halafu akaona anaingiliwa kimajukumu na kiutendaje huwa hatofautishi hali hiyo ya kuingiliwa mambo yake na kuingiliwa kimwili and thats why wengi wao huona njia pekee ya kulinda status zao ni ku-speak the truth out in the open au ku step down.
Nina alert na ninyi muwe makini ili kuepuka kulawitiwa kimajukumu.
 
Lie detector test? We cant even take fingerprints. Waminywe kule. That's the best local lie detector test.
Chef!
Umesema ukweli kabisa... kitengo cha polisi eti wana watu wa finger print reading sijui wanafanya kazi gani... yaani hovyo kabisa... jeshi letu linatumia nguvu ku solve kesi hata ndogo ndogo, ndio maana rushwa imetapakaa.. hawawezi hata kusoma finger print!!! Eti wapelelezi mahiri!!! Wana intelejensia....:bump2:
 
Sasa unataka asemeje na wewe?mbona huna huruma/hata ungekuwa wewe ukishushuliwa vile ungesemaje zaidi ya kukaa kimya?
 
nakumbuka msemaji wa jeshi la polisi alikuwa kamanda MSIKA, Jamaa alikuwa safi sana, lkn toka alipohamishiwa dar huyo kova basi kila kitu ni yeye tu mpaka jamaa nadhani amekata tamaa

Kamanda wa polisi Mkoa ndio msemaji wa Polisi katika Mkoa Husika.
Msemaji wa polisi taifa (MSIKA),ataongelea mambo yanayohusu ofisi ya IGP au yale aliyoagizwa na IGP kuyasema.
Kwa maana nyingine, swala la Dr. Ulimboka halijapewa umuhimu wa kitaifa bali Kanda Maalum Mkoa wa Dar es saalam.
 
Back
Top Bottom