Police kauwawa vurugu za Arusha

Watakuja tu Mkuu, usiwe na wasiwasi. Wamenona haoooo..........

Mke+mdogo+wa+Kikwete+2.jpg

Hivi hapa hesabu ni moja kwa kumi? mkiandamana na dar mje na vimada wenu pia.
 
Walitoka kenya hao askari kama hamuwajui ni wale walioshiriki vile vita ya mwaka 2007/2008 kule kenya kwa akina odm
 
police_brutality_1.jpg


Maandamano sio mazuri jujifunze

JeyKey ipo siku yenu tu; hapa taratibu uadui na uhasama unajengeka kati ya Police na raia, umesahau kuwa Police wengi tu tumejazana nao mitaani kwenye squater zetu.

Amini na kuambia kuna siku maandamano yatatokea, raia watapigwa; walioko uswahilini watawageukia woooooote waliovaa sare za kipolice, hapo ndipo tamu na chungu zitakapotofautishwa!!!
 
Ninajiuliza.....nashindwa kupata jibu,hivi mshindi ni nani katika hii vita?
 


Tanzania tunataka amani
Amani haiwezi kuwepo kama haki haipo! Vibaraka wa JK kama wewe pamoja na JK wenu siku zenu zinahesabika! Maandamano ni haki ya kikatiba ya kila raia na polisi kazi yao ni kuwalinda wananchi na mali zao sio kuwaua! Polisi wanataarifiwa tu kuhusu maandamano sio watowaji vibali.
 
Nguvu ya umma

Nguvu ya umma wapi? mmepigwa pamoja shemeji zenu mmebaki kulia tu, inukeni na nyie mpambane acheni ujinga mtachinjwa kama kuku bila kujitetea.( tueneze chuki, tumwagane damu kambla mwaka haujaisha huu)
 
Walitoka kenya hao askari kama hamuwajui ni wale walioshiriki vile vita ya mwaka 2007/2008 kule kenya kwa akina odm

tunampango na kwenda kununua wengine wa angola maana ninyi dawa yenu ni moja sase za bela mitwe.
 
Mimi nilwaambia mnajifanya mna nguvu ya umma iko wapi sasa.Niliwaambia polisi tangia wafanye mafunzo yao hawajafanya practical,sasa chance kama hiyo ikipatikan kwao ni furaha.Siku nyingine naona mkiambiwa hakuna kuandaman mtaufyata.Sisi wengine tunaendelea na kazi zetu hatuna shaka tuna jeshi imara la kupamabana na maaduai wa ndani na nje
 
Kama kweli Lo! Mafisadi wakiungana na akina Makamba wanampongeza sana kwa kufa akipigania haki za mafisadi nadhani ni fundisho tosha kuwa hata pakiwa na Bunduki hatuogopi sisi tunataka haki yetu irudi.
 
Back
Top Bottom