- Thread starter
- #61
Ndugu yangu sikiza,
Kwanza nimekataa huo unaoita urafiki wa muda na uadui wa muda kwa wanasiasa wetu... maana ukiwaona ni marafiki ujue raia anaibiwa wakiwa maadui ujue mmoja kanyimwa tonge... hii ni HAPANA na ni tabia ya wanasiasa wa Kenya na Tanzania.
Nimeitumia Zambia kwasababu rais wa sasa alikua mpinzani na alifanyiwa madhara lakini fuatilia utawala wake saa hizi ka anamda wa kulipiza kisasi??
Ndio siasa tunayoitaka ku focus kuwatumikia wananchi na si kutafuta ushoga kati wanasiasa.
Sikia ndugu unafahami rais was sasa was Zambia amepigania ukombozi was huko kwa muda gani na watu gani kwa muda wote?
Rais kipenzi wa watu wa Zambia ni muumini kindaki ndaki wa mapambano ya ukombozi na washirika kwa misingi ya agenda si watu.
Ndiyo maana Zambia inapaa bila dalili za kupatilizana maovu kwa misingi ya visasi.