Poleni TISS tena... R.I.P "Dr"

Status
Not open for further replies.
I thought jina lake likitajwa ndo itakuwa mwisho wa dunia. Naona bado tunadunda tu. RIP DR pamona na kwamba ni mara yangu ya kwanza kukusikia. :sad:

Aisee Dr Heri Lupembe alikuwa TISS! Makubwa! Alikuwa anafanya nini huko! Naanza kuwa na wasiwasi, with such a calibre of personnel, you would have expected greater things for this country! Poh!

RIP Lupembe!
 
Kwa mara nyingine, ninakuja na kutoa rambirambi kwa Idara ya Usalama wa Taifa kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa waandamizi ambao kwa kweli walikulia ndani ya Idara hiyo. Ni pigo kubwa kwa idara hasa kuondokewa na watu wenye weledi na waliojitahidi kufanya kazi yao licha tofauti ambazo zimekolezwa miaka hii michache iliyopita.

Bahati mbaya kutokana na kazi zao watu kama Dr. ni vigumu kuwaona viongozi wa kitaifa wakijitokeza kwenye misiba yao kwani wanalindwa na sheria ya TISS ya 1996. Ni hawa ambao majina yao na sifa za utumishi wao haziandikwi magazetini au hawawezi kuja na kulalamika hadharani jinsi mambo yalivyo magumu kitaifa. Ni hawa ambao huwa wanajikuta wananyong'onyea katika kuta za nyumba zao wasijue wafanye nini. Hawa wasio na watetezi wa wazi.

Na hii ndio sababu siwataji hawa wazee wetu ambao wametumikia taifa katika nafasi mbalimbali na hawakukubali kuwa corrupted kama kundi la baadhi ya vijana ambao wameingia kwenye idara siku za karibuni na sasa wamegeuka kuwa mabepari uchwara.

Natumaini siku moja idara hii itakuja kufanyiwa maboresho yanayohitajika haraka ili watu kama marehemu wazidi kuvutiwa kulitumikia taifa.

RIP - Amezikwa makaburi ya Kinondoni katikati ya mwezi wa kwanza baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu.

RIP Dr..
MWANAKIJIJI umeshaanza kutoa mada zisizo na muelekeo kwani kama huwezi kumtaja mtu huyo hadharani si ungemtumia ujumbe wa siri na si kuweka ubaoni.................au ndio siri ya kazi zenu?
 
naomba kuwauliza mod mbona kila nikichangia maoni huwa mnayafuta muda si mrefu tatizo ni nini?
 
Kwa mara nyingine, ninakuja na kutoa rambirambi kwa Idara ya Usalama wa Taifa kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa waandamizi ambao kwa kweli walikulia ndani ya Idara hiyo. Ni pigo kubwa kwa idara hasa kuondokewa na watu wenye weledi na waliojitahidi kufanya kazi yao licha tofauti ambazo zimekolezwa miaka hii michache iliyopita.

Bahati mbaya kutokana na kazi zao watu kama Dr. ni vigumu kuwaona viongozi wa kitaifa wakijitokeza kwenye misiba yao kwani wanalindwa na sheria ya TISS ya 1996. Ni hawa ambao majina yao na sifa za utumishi wao haziandikwi magazetini au hawawezi kuja na kulalamika hadharani jinsi mambo yalivyo magumu kitaifa. Ni hawa ambao huwa wanajikuta wananyong'onyea katika kuta za nyumba zao wasijue wafanye nini. Hawa wasio na watetezi wa wazi.

Na hii ndio sababu siwataji hawa wazee wetu ambao wametumikia taifa katika nafasi mbalimbali na hawakukubali kuwa corrupted kama kundi la baadhi ya vijana ambao wameingia kwenye idara siku za karibuni na sasa wamegeuka kuwa mabepari uchwara.

Natumaini siku moja idara hii itakuja kufanyiwa maboresho yanayohitajika haraka ili watu kama marehemu wazidi kuvutiwa kulitumikia taifa.

RIP - Amezikwa makaburi ya Kinondoni katikati ya mwezi wa kwanza baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu.

RIP Dr..

Those who work so hard for Tanzania, those who are true Patriots of Tanzania are those who God likes the most. Mafisadi, majambazi na yale yanayoiharibu Tanzania yanaishi sana, tunaomboleza kifo cha mzalendo wetu. Hakuina ubaya kumtaja, kwa kuwa ku-reveal identity yake kwa sasa ni heshima na wala si ku-jeopardize kazi yake. Anyways, muhimu ni kuwa kazi yake imekuwa na manufaa kwa taifa na kwa usalama wa taifa.
 
juzi kati hapa nilijiuliza huyu mwanakijiji vipi?

maana alipokuja na ile maada yake '' masikinia sara martin simbaulanga mnamkumbuka?''

nilijiuuliza sana huyu mwanakijiji inakuwaje ana kumbukumbu hivi?!! maana wengi tulikuwa tushamsahau

halafu kuna siku moja alikuja na thread moja inasema hivi '' tuko katika kuandaa ripoti moja lakini jina moja limeongezeka, melabou huyu ni nani?...........nakumbuka watu walitoa madata kibao na hapo nikajua kumbe mwanakijiji ni mwenzangu japo hatujuani..........
 
kwa mara nyingine, ninakuja na kutoa rambirambi kwa idara ya usalama wa taifa kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa waandamizi ambao kwa kweli walikulia ndani ya idara hiyo. Ni pigo kubwa kwa idara hasa kuondokewa na watu wenye weledi na waliojitahidi kufanya kazi yao licha tofauti ambazo zimekolezwa miaka hii michache iliyopita.

Bahati mbaya kutokana na kazi zao watu kama dr. Ni vigumu kuwaona viongozi wa kitaifa wakijitokeza kwenye misiba yao kwani wanalindwa na sheria ya tiss ya 1996. Ni hawa ambao majina yao na sifa za utumishi wao haziandikwi magazetini au hawawezi kuja na kulalamika hadharani jinsi mambo yalivyo magumu kitaifa. Ni hawa ambao huwa wanajikuta wananyong'onyea katika kuta za nyumba zao wasijue wafanye nini. Hawa wasio na watetezi wa wazi.

Na hii ndio sababu siwataji hawa wazee wetu ambao wametumikia taifa katika nafasi mbalimbali na hawakukubali kuwa corrupted kama kundi la baadhi ya vijana ambao wameingia kwenye idara siku za karibuni na sasa wamegeuka kuwa mabepari uchwara.

Natumaini siku moja idara hii itakuja kufanyiwa maboresho yanayohitajika haraka ili watu kama marehemu wazidi kuvutiwa kulitumikia taifa.

Rip - amezikwa makaburi ya kinondoni katikati ya mwezi wa kwanza baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu.

Rip dr..

kama kazi zao ni undercover,.we ulijuaje uadilifu wake katika taifa??labda ulimjua personally!!after all hawa watu si ndo wanaeliminate watu kimyakimya??hivi kweli tiss yetu inaweza kuwazuia au kuwagundua usa wakitaka kumteka kikwete?i beg to differ,nifafanulie mkuu
 
pole wafiwa mungu ametowa na pia ametwaa jina lake liabudiwe
ni kweli watu wa kazi hizo mala nyingi hawatambuliki,hii ni kutokana na kazi zao na hata wakifa ni mala chache sana ndugu kuhusika ktk mazishi ilka tunashukuru ktk hili tulihusika ktk mazishi
tupo pamoja na familia yake na wafanyakazi wenzake ktk haya majonzi

msema ukweliiii:popcorn: hapendwiiiiii daimnaaaaaa
 
RIP Dr. Wanyalukolo tuna kawaida ya kutanguliza pole nyingi sana kwenye matukio kama haya
 
Hivi TISS ni nini? inafanya kazi gani? ni chombo cha umma? Sijui hata mchango wao kwa taifa. Nisaidieni ili na mimi niweze kuelewa. Lakini kwa kufiwa, poleni sana.
 
Mkuu TISS ni Tanzania Inteligent SS malizia mwenyewe au kwa jina lengine UWT (Usalama wa Taifa) ndio CIA of Tanzania.
 
Hivi, kama TISS huficha majina ya viongozi wake, ilikuwakuwaje siku ile Zoka akajitokeza hadharani kukanusha madai ya Dr. Slaa? Kwa kawaida ingekuwa hapa Marekani CIA wangesema "no comment." Sijawahi sikia popote pale mkuu au afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa taifa kujitokeza hadharani kujibu shutuma zilizoelekezwa kwenye serikali. Wangesema tu no comment tungejiondokea zetu. Na kwa nini hakutokea mwenyewe RO akajificha nyuma ya mgongo wa Zoka?

Hivi George Tennant alikuwa nani CIA?
 
hii site inasema Dr kitine alikuwa cover ya uwaziri wakati wa Mh Mkapa.je?alikuwa waziri wa nini.

Hupo dunia ya ngapi ndugu yangu, soma soma magazeti. Mwadilifu yeyote hawezi kukaa kimya kama kuna uozo ndani ya CCM na serikali yake. Juzi juzi tu kabla ya uchaguzi Dr. Kitine alikwaruzana na CCM, This day likatuhabarisha. Kwa maelezo zaidi gonga chini hapo...
Home » Insight
 
...I'm speechless na hayo mambo ya TISS na siri.......! siri nyingi zisizo na manufaa yoyote kwa taifa! hao TISS wanaonekana kwanza sio wazalendo, maufisadi yote tunayosikia leo yamefanyika ikiwa hao wazee wapo huko ndani, wanafanya nini? wapo kwaajili ya usalama wa nani, Taifa au Ikulu? Taifa linaibiwa, taifa lidhulumiwa mali zake, Taifa linafanywa gofu.....wao kimyaaaaa!

Siku hizi tena hivyo vi-TISS kazi yao ni kututishatisha huku kwenye vipombe na vipisto vyao.....! wameacha majukumu yao makuu, wanajifanya miungu watu hawa......! lao ni moja katika kuifanyia ufisadi nchi hii! System yote ya TISS inahitaji overhaul ya nguvu......!

Sorry nikisikia TISS huwa napata kichefuchefu ...... But R.I.P DR. TISS!
 
juzi kati hapa nilijiuliza huyu mwanakijiji vipi?

maana alipokuja na ile maada yake '' masikinia sara martin simbaulanga mnamkumbuka?''

nilijiuuliza sana huyu mwanakijiji inakuwaje ana kumbukumbu hivi?!! maana wengi tulikuwa tushamsahau

halafu kuna siku moja alikuja na thread moja inasema hivi '' tuko katika kuandaa ripoti moja lakini jina moja limeongezeka, melabou huyu ni nani?...........nakumbuka watu walitoa madata kibao na hapo nikajua kumbe mwanakijiji ni mwenzangu japo hatujuani..........
Mkuu Edson,

Sijakusoma vizuri hapo juu, Mwanakijiji mwenzako kivipi? halafu hamjuani? hebu fafanua.......!
 
Kwa mara nyingine, ninakuja na kutoa rambirambi kwa Idara ya Usalama wa Taifa kwa kumpoteza mmoja wa viongozi wa waandamizi ambao kwa kweli walikulia ndani ya Idara hiyo. Ni pigo kubwa kwa idara hasa kuondokewa na watu wenye weledi na waliojitahidi kufanya kazi yao licha tofauti ambazo zimekolezwa miaka hii michache iliyopita.

Bahati mbaya kutokana na kazi zao watu kama Dr. ni vigumu kuwaona viongozi wa kitaifa wakijitokeza kwenye misiba yao kwani wanalindwa na sheria ya TISS ya 1996. Ni hawa ambao majina yao na sifa za utumishi wao haziandikwi magazetini au hawawezi kuja na kulalamika hadharani jinsi mambo yalivyo magumu kitaifa. Ni hawa ambao huwa wanajikuta wananyong'onyea katika kuta za nyumba zao wasijue wafanye nini. Hawa wasio na watetezi wa wazi.

Na hii ndio sababu siwataji hawa wazee wetu ambao wametumikia taifa katika nafasi mbalimbali na hawakukubali kuwa corrupted kama kundi la baadhi ya vijana ambao wameingia kwenye idara siku za karibuni na sasa wamegeuka kuwa mabepari uchwara.

Natumaini siku moja idara hii itakuja kufanyiwa maboresho yanayohitajika haraka ili watu kama marehemu wazidi kuvutiwa kulitumikia taifa.

RIP - Amezikwa makaburi ya Kinondoni katikati ya mwezi wa kwanza baada ya kulitumikia taifa kwa muda mrefu na kwa uadilifu.

RIP Dr..

Kwanza, Wengi tu wenye uledi wa kutumikia taifa wamefariki nothing special to him..kwa wote nasema "Mungu awafanyee wepesi" siku ya malipo (RIP) wote waliotangulia

Pili, Idara inafanya maboresha kila siku, kama ambavyo maboresho yanafanyika kwa idara zingine zote za usalama na ulinzi

Tatu, uadilifu (who said so wewe?) acha kujikomba kwa watu pasipo data...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom