Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,640
697,940
Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.

Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti tofauti

Hawa wote kwa vyovyote vile una kumbukumbu zao nyingi tuu katika maisha yenu ya kielimu, kikazi kisiasa, nje ya siasa, kifamilia na hatimaye kustaafu.

Kuna aina fulani ya upweke na majonzi unapata ambavyo hisia na maumivu yake halisi ni wewe pekee ndio unaweza kuhisi. Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala

Kuna aina fulani ya simanzi, uoga, sonona, upweke na huzuni vitakupata hata katikati ya tabasamu laki mbele ya kadamnasi.. Kuna machozi ya siri utalia sirini na kimyakimya bila wengine kujua wala kuona!

All in all jipe moyo.. Ndie pekee uliyebaki hivyo una najukumu mazito zaidi hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025.. Mama anakuamini na kukutegemea sana

Pole JK

IMG-20240229-WA0090.jpg
 
View attachment 2920677
😆😆😆😆
 
DUNIA NI AINA FULANI HIVI YA ULAGHAI AMBAYO TULIJAALIWA KWAYO.
TUKASAHAU KWAMBA SISI NI WAPITAJI TU KATIKA KIBANDA HICHI.
WAPO WALIOONA SASA NDIO TUMEFIKA ACHA TUCHUME, WAKASAU KWAMBA .
HATA UCHUME KWA NAMNA GANI HAUTAONDOKA NA MACHUMO YAKO.

ATHARI YAKO JUU YA NAMNA ULIVYOISHI NA WATU NDIO ITAKAYOKUMBUKWA DAIMA VIZAZI BAADA YA VIZAZI.

TUSIJISAHAULISHE DUNIANI TUNAPITA TU.
 
Back
Top Bottom