Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
RIP Mh. Jeremiah Sumari. Pole kwa familia yako na wananchi wa Jimbo lako.
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
mnaboa hili sio jukwaa la kampeni vibaraka wakubwa nyinyipole raisi wetu ajaye
@Pasco...
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
kifupi ni 'mkaza mkwe'Ni baba wa mkaza mwana wa ELN
Pole ELN.
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), !
mkuu pasco tafadhali sana acha matumizi mabaya ya jukwaa . Kama huyo boss wako aliyefiwa na mzazi mwenziye wala huyo aliyekufa siyo member hapa hawastaili kunufaika kwa namna yoyote na jukwaa hili. Jukwaa hili ni kwa ajili ya wanachama na kulitumia vinginevyo ni ufisadi kama ufisadi mwingine - huo ni mtazamo wangu kama member.
Wanabodi,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.
Kwa vile humu jf tuna kikundi chetu kiitwacho PROEL, nawaombeni tumpe pole zetu Mhe. Lowassa!.
Nawaombeni msiulize majina na wale mnaowajua naombeni msiwataje kwa hii sio thread ya RIP bali pole tuu kwa Mhe. Lowassa kupatwa msiba!.
Pole Mzee wetu Lowassa.
Na kwa vile yeye sio member humu, pole zenu mwageni hapa nami nitamfikishia kwa vile nitahudhuria msiba huu mkubwa kwa familia ya Lowassa!
huyu ndo yule mwenye majibu ya hovyo hovyo !?Mheshimiwa Sumari alikuwa mgonjwa kabla ya kampeni za mwaka 2010 na ilijulikana wazi kabisa pasipo shaka yoyote asingemaliza kipindi chake cha miaka mitano.Nilitegemea Mheshimiwa Sumari angestaafu siasa ili apate muda wa kupambana na ugonjwa wake lakini kwa mshangao wa wengi aliingia ulingoni akahakikisha wanaCCM wenzake wenye afya nzuri hawapati nafasi ya kugombea.
Sehemu kubwa ya kampeni zake zilibebwa na Lowassa na makada wa CCM huku nguvu kubwa ya fedha ikichukua mkondo wake.Tangu achaguliwe hakupata nafasi ya kuwakisha wapiga kura wake kwakuwa hali yake iliendelea kuwa mbaya kama ilivyotarajiwa na wengi.Taifa litaingia hasara ya uchaguzi mwingine hali ambayo ingeweza kuepukika kama sheria na kanuni za uchaguzi zingekuwa zinaangalia afya ya mgombea kama wafanyiwavyo wafanyakazi wanao omba ajira sehemu mbali mbali.
Nawapa pole familia,ndugu jamaa na marafiki wa Mheshimiwa Sumari.
Hjivi kwa kiingereza huyo marehemu ni cousin wake Lowasa ama ni wifi yake kwa kiswahili? Naomba kujuzwa.