Pole Mhe. Lowassa Kufiwa na mkweo

Wee jigoku, tena kila siku ukijiita Msukuma mwenzangu, Msukuma gani wewe mwenye tabia za kike kike?. Mbona wasukuma sio watu wa kujipendekeza pendekeza na kimbelembele kama wale jirani zetu kule juu?. Mijitu mingine kudandia tuu makabila ya watu kwa vile umezaliwa Usukumani?.

!
@
Pasco kwa ni njema nitatumia uzi huu kukuyesha jinsi ilivyo inawzekana hujui lakini mambo kama haya sometime ndo yanasaabisha labda watu wakuhusishe na mambo ya ajabu........

Chukulia mfamo comment yako juu hapo maandish niliyowekea rangi.
Kwa kuwa wewe ni msuku-ma basi unadhani kiasili kwenye DNA na genetics characrtertics umerithi tabia za wasukuma wengi lakini comment zako kwenye misiba miwili tu ya wanasiasa zimeu expose uwa hauko hivyo.Huna tofauti na hao unawaita jirani zako( hope ni wahaya). yaani kwa kimbelembele na kujipendekeza.

So angalia usikose Identity ukawa msukuma jina tu kitabia ukawa kama jirani unayemshutumu. Bora ungekuwa kama sisi wahaya kama unavyomsema ningekuelewa. Yaani kama hujaambiwa basi ndio naumbia watu wasigeshtuka kama wewe ungekuwa muhaya "mwezetu" lakini hata wananzengo wa kisukuma wa "kweli" wanakushangaa kuwa wewe ni msukumawa kichina........

au wewe ni wale wasukuma ambao hata ukimwambia daladala anajua ni zile za dar.

So usidhani msukuma akibehave kama muhaya atabaki kuwa msukuma. atakuwa kituko..........

Mami Pasco mhhhh ni hayo tu.......
 
Wanabodi,
Nimepata nafasi kuhudhuria msiba hapa nyumbani kwa Jeremia Sumari.

Kama ilivyo kwa Regia, hapa kwa Sumari ni vivyo hivyo, viongozi wa vyama vya upinzani wameungana na viongozi wa CCM na waombolezaji wengine kuwafariji wafiwa.

Jioni hii, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiongozana na Naibu Katibu Zitto Kabwe wameungana na Mwenyekiti wa UDP Mzew John Cheyo wapo kwa pamoja na mawaziri kadhaa wa serikali ya JK wakiongozwa na Mawaziri Wakuu Wastaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa!. na Fredrick Tuluway Sumaye!

Jana rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Wilbrod Slaa wakifika nyumbani hapa kuwafariji wafiwa!.

Mawaziri Wasira, Nchimbi, wabunge wakiongozwa na Katibu wa Bunge Dr Kashilila etc pia wapo!

Ni jambo jema na la kupendeza uonapo ndugu wakikaa pamoja kwa upendo wakati wa shida na raha. Huu ni uthibitisho kuwa licha ya tofauti za kiitikadi, Watanzania tu wamoja kwa upendo na mshikamano miongoni mwetu!.

"Mahali ni Pazuri..Ndugu Wanapokaa...

My Take:
Wanabodi hivi kama ushirikiano, upendo, amani na mshikamano unaofanyika misibani kama ungepelekwa mpaka Bungeni Dodoma, Jee Tanzania tungekuwa wapi?.

Rip Jerry Solomon Sumari!.Thanks kwa Upendo, Amani, Ushirikiano na Mshikamano!

Pasco.
Update:
Ratiba imetolewa.
1. Misa kesho saa 2:00 Msasani Lutheran
2. Saa 5 Mwili kupelekwa Karimjee
kuagwa kitaifa.
3. Mwili kurudi kulala nyumbani.
4. Jumapili asubuhi kusafirishwa kwa ndege kwenda Arusha.
5. Maziko Jumatatu.
 
Wanabodi,
Msiba wa Mbunge wa Arumeru, Mhe. Jeremia Solomon Sumari, pia unamhusu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Mb), amefiwa na mzazi mwenzake ambaye ni baba wa mtoto wa kiume aliyemuoa binti wa Mhe. Lowassa.

Pasco.
Kuanzia leo mpaka atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, as my tribute to this fallen hero, let's celebrate the life and the time of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Edward Lowassa, umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Msalimie Jerry
Paskali
 
Back
Top Bottom