Pisi kali tushawajua wanaomiliki vitu mnavyopiga navyo picha

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Ndio maana wawadharau agemates wao.

Anyway life goes on.

Screenshot_20230704_162657_Quora.jpg
 
Sasa hivi wameshagundua, wengi wakifika hizo location anapiga picha mwenyewe ama na girls wenzake, sponsors hawapigwi.
Hence kama ana badilisha daily, ama ni 23 anaetembea na wababu, hutakaa uelewe😂😂
 
Sasa hivi wameshagundua, wengi wakifika hizo location anapiga picha mwenyewe ama na girls wenzake, sponsors hawapigwi.
Hence kama ana badilisha daily, ama ni 23 anaetembea na wababu, hutakaa uelewe
Kila muda vinajipiga picha kila kona vinajibenua utasikia "big boss lady" utafifkiri hata anamiliki hata duka la mangi
 
Kila muda vinajipiga picha kila kona vinajibenua utasikia "big boss lady" utafifkiri hata anamiliki hata duka la mangi
Me hua wananikera sana...utaona status mtu yuko mahali ambapo kwa harakaharaka ukipiga hesabu anaspend sio chini ya laki na macaption kama yote mara mwanamke mpambanaji sijui nini nini...halafu asubuhi yake anakupigia simu shosti mwenzio nataka nitolewe vitu nje nichangie pango basi 😂😂😂,,, yani hua naishiaga tu kucheka kwa sauti hadi anakata simu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom