fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,425
- 7,975
wanaume,popote mlipo,hakuna pisi kali kuliko mkeo,ndio maana ukamuoa.eti kwamba huko nje umetembeatembea na kukutana na pisi kali,huo ni umalaya tu,kwamba umemtamani tu.
Oa Kwanza hao wanne afu uje usimulie.Kwahio nikioa wanne wote wanakuwa pisi kali au formula ipoje
Yule wa kwanza ndio pisikali hao wengine ni tamaa zako tuKwahio nikioa wanne wote wanakuwa pisi kali au formula ipoje
Nasubiri majibuKwahio nikioa wanne wote wanakuwa pisi kali au formula ipoje