Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,339
- 1,119
WanaJF, moja ya mambo ninayoamini ni busara za wazee wakale, ila ninapata utata kidogo kwenye uhuu usemi wa Pingu za maisha kwanini ndoa inaitwa pingu za maisha, tunajua kabisa pingu ni kitu kibaya sana kufungwa. Je kwanini walisema kuona ni kufunga pingu za maisha. Inamaana maisha ya ndoa ni aina fulani ya gereza au? Nijuzeni