Pingu za Maisha

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, moja ya mambo ninayoamini ni busara za wazee wakale, ila ninapata utata kidogo kwenye uhuu usemi wa Pingu za maisha kwanini ndoa inaitwa pingu za maisha, tunajua kabisa pingu ni kitu kibaya sana kufungwa. Je kwanini walisema kuona ni kufunga pingu za maisha. Inamaana maisha ya ndoa ni aina fulani ya gereza au? Nijuzeni
 
kwa nini usifikiri kuwa watu wa magereza waliiga watu wa ndoa??

Kwa kuwa ndoa ni tamu, watu wa magereza wakaamua kuwafariji wafungwa kwa kuziita zile pingu ili wafurahie kwenda gerezani.
 
Ukweli ni kuwa wazee wa zamani hawakuwa na maana ya kuwa ndoa ni gereza kwa kutoa usemi huo. Enzi hizo, usemi huu ulimaanisha kuwa ukiingia kwenye ndoa unakuwa umefungwa kwa mke/mume wa kudumu naye. Hii ni kumaanisha hakuna nyumba ndogo hata kidogo wala kibustani! Na enzi hizo (enzi zetu sisi) watu walikuwa na maadili mazuri na hivyo waliweza kudumu kwenye hizo "pingu za maisha"!

Kwa enzi hizi zenu vijana wa sasa, ukimesap kwenye kumpata la aziz wako, au ukampata la aziz wako asiyejua maana halisi ya ndoa, mwenye kupenda pesa zaidi kuliko utu, asiye kuthamini, muhuni, asiyekuheshimu wala kukutunza, asiyejali familia yake, asiye muelewa na mengine mabaya yanayofanana na hayo then inawezekana kabisa ndoa ikawa gereza!!!
:redface:
 
WanaJF, moja ya mambo ninayoamini ni busara za wazee wakale, ila ninapata utata kidogo kwenye uhuu usemi wa Pingu za maisha kwanini ndoa inaitwa pingu za maisha, tunajua kabisa pingu ni kitu kibaya sana kufungwa. Je kwanini walisema kuona ni kufunga pingu za maisha. Inamaana maisha ya ndoa ni aina fulani ya gereza au? Nijuzeni

Walijua ndoa ni mahabusu ndogo usiyoijua!!! Na akifungae Mungu mwanadamu asitenganishe!!!
 
kwa nini usifikiri kuwa watu wa magereza waliiga watu wa ndoa??

Kwa kuwa ndoa ni tamu, watu wa magereza wakaamua kuwafariji wafungwa kwa kuziita zile pingu ili wafurahie kwenda gerezani.
Ha ha haa wee Kongosho nani anavutia watu kwenda gerezani? Hata askari gereza mwenyewe hafurahii wafungwa kuongezekq japo ndoo kazi yake. Ndoa ni kweli ilianza zamani kuliko magereza lakini jina pingu limekuja baada ya gereza nafikiri
 
Ndio ujue wa magereza wameiga pingu za ndoa.

Afu pingu zililetwa na wakoloni (kwa kizungu zinaitwa handcuffs au handkachifu)
Wazungu kukosa kiswahili chake ndio wakafananisha na ndoa ili watu wazifurahie.

Soma historia

Ha ha haa wee Kongosho nani anavutia watu kwenda gerezani? Hata askari gereza mwenyewe hafurahii wafungwa kuongezekq japo ndoo kazi yake. Ndoa ni kweli ilianza zamani kuliko magereza lakini jina pingu limekuja baada ya gereza nafikiri
 
[h=1]Engagement and wedding rings: 'the smallest handcuffs in the world'[/h]
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom