Pingu ya Muro

Eti pingu ya mapenzi, watembea nayo garini
Huu kama si ushenzi,basi tuuite nini?
Tummulike kurunzi,huyu Jerry kwa undani
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.

Eti pingu ya mwandani, ya kutumia chumbani
Halafu iko garini, kwa pembeni ya miwani
Ya Wage hiyo miwani,kaisahau jamani
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.

Kama ni penzi la pingu, basitola ni ya nini?
Mapenzi yenye kiwingu, ya kumtisha mwandani !
Akijificha kwa uvungu, hivi talaumu nani ?
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.

Inabidi utembee nazo mkuu. Unaweza ukapata wale wa MDUARA ukaamua kuzitumia haraka haraka.
 
lakini ni pingu zipi hapa zinazungumziwa wajameni? Pingu za mapenzi ndio zile za ukonga na segerea au ndio zile za kubembelezana, nimeanza kupata upofu
 
Hii habari inanichanganya. Kuna mahali nimesikia TAKUKURU inatajwa,. lakini sijasikia chochote kutoka kwao, ina maana nao wanashirikiana kutisha watu? Maana huyo mtu anadai walikwenda watu nyumbani kwake saa 12 asubuhi wakijitambulisha kuwa ni afisa wa TAKUKURU na MWANAJESHI ambae pia ni mwanahabari. Huyu Jerrry ana ubavu gani wa kucheza na vyombo hivi vikubwa vya dola?? Tunaomba tuwekwe wazi, maana POLISI hatuwaelewi. Au ndiyo kweli hii nchi kila mtu kivyake??
 
Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.
 
tatizo la kubeba vyangudoa.
 
mkubwa hapo umeshaona kosa tayari? hata kesi haijaenda mahakamani?

kawaida mbona kuhukumiwa kabla y akusikilizwa!!!!!!!!

Watu wengine wako kama wapiga ramli hivi.

wakina sheikh nanihiiii !!!!!!!!!!!!!!!!

Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.

jambo likazua jambo!!!!!!!!!!!!!

enheeeeeeeeeee tutasikia mengi hapa yahusuyo pingu!!!!!!!
 
kawaida mbona kuhukumiwa kabla y akusikilizwa!!!!!!!!

kweli b!

Ila hii dhana ya pingu kama oilivowasilishwa na mtumishi MMM, nimeipenda nataka nikaijaribu nyumbani.

Zinauzwa wapi B? nitahakikisha napata risiti just in case.....
 
alirashidou
user_online.gif

alirashidou has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

Join Date: Wed Mar 2008
Posts: 5
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

dah!wazee mambo mengine ni kama hayawezekani hivi

Yawezekana kaka, mbali na bongo yaweza kuwa Mogadishu atii!
 
kweli b!

Ila hii dhana ya pingu kama oilivowasilishwa na mtumishi MMM, nimeipenda nataka nikaijaribu nyumbani.

Zinauzwa wapi B? nitahakikisha napata risiti just in case.....

mweee B!!!! muulize Mkuu Sikonge ndo anajua!!!!!!!!!
 
lipo jambo litabainika kitambo kifupi tu, umwamba wa kutuonyesha bastola na pingu kama kielelezo ni kiini macho, nakumbuka wakati zombe akituaminisha kina Chigumbi ni majambazi , alicheza mchezo huu ambao Kova anajitahidi kuucheza.
Tangu lini upelelezi wa polisi hufanywa mbele ya vyombo vya habari ? rejea pale walipokua wakipekua gari la Muro, inaonesha walikua na hakika kuwa kuna kitu watakipata humo, maana kwanini uite waandishi wa habari .
__________________
naungana nawewe kua hapa kuna kitu kimejificha,ila mwisho wa siku ukweli utajulikaka na wapo watakao inamisha nyuso zao chini kwa aibu kubwa watakayoipata,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
kweli b!

Ila hii dhana ya pingu kama oilivowasilishwa na mtumishi MMM, nimeipenda nataka nikaijaribu nyumbani.

Zinauzwa wapi B? nitahakikisha napata risiti just in case.....

Nimeshaandika.

Ziko hapa nyingi tu zinauzwa.

http://everythingelse.shop.ebay.com...dcuffs&_catref=1&_fln=1&_trksid=p3286.c0.m283

Ebay wanatoa na risiti na ushahidi kuwa uliagiza EBAY upo.

Hivi KOVA nguo na viatu vya kiraia alivyonavyo ana Risiti? Mie sina risiti ya vitu vingi tu. Hivi PINGU ni silaha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom