Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

Wakuu hali bado tete ktk taifa letu maana baadhi ya vijana wahuni na vibaka wanaleta uvunjifu wa amani kwa kivuli cha uislamu´

patamu hapo.
 
Mungu yupo pamoja na Mama yetu Rose Kamili.

Mie nilijua tu kuwa iko siku ngoma hii itapasuka. Baada ya kumhadaa Kwa kumshawishi ahame CCM ili awe fest led na akakubali na kuhamia CDM ambako aliambulia uviti maalum, wakajua yameisha.
 
Ndio kipaumbele cha Chama Chako, yaani unrest inayoletwa na waislam we haikuusu, ni nani ya kumleta ku-disscus huu ujinga

Mkuu huu sio ujinga mama yetu Rose Kamili yupo kwenye haki tusimame pamoja tumsaidie.
 
Mkuu haya ni masuala ya kisheria hayataki kulazimisha sheria ni taaluma Jaji Laurnce Kaduri ni msomi aliyebobea hawezi kukurupuka kutoa hukumu.

Richmond,rada,mikataba mingine mbovu nk walosaini yaelekea kwa akili zako si wasomi!
 
Hakimu kasema hoja zilizotolewa na Dr. Slaa ni dhaifu, nafikiri kama hoja ni dhaifu na mtoa hoja ni dhaifu pia. Hivi ni kweli kwamba Chadema hawana tegemeo jingine tofauti na huyu dhaifu kuongoza gurudumu? hapa ni Tanzania siyo A/Kusini. Kwani wale watoto wa Roze wanamwiitaje Slaa?
 
Mkuu huu sio ujinga mama yetu Rose Kamili yupo kwenye haki tusimame pamoja tumsaidie.

For what? Leo ndo kawa mamayo,kweli dume nzima kutumika kwa mipasho nalo linaona fahari!Mchukue wewe upendae majimama, umeng'ang'ana utafikiri wewe ndo uloachika.Wewe mambo ya mke mume kikumacho nini?Na wale ambao hawajakaa na wezi wao wa ndo kwa muda,je bado wanandoa?We st.kayumba.
 
Hakimu kasema hoja zilizotolewa na Dr. Slaa ni dhaifu, nafikiri kama hoja ni dhaifu na mtoa hoja ni dhaifu pia. Hivi ni kweli kwamba Chadema hawana tegemeo jingine tofauti na huyu dhaifu kuongoza gurudumu? hapa ni Tanzania siyo A/Kusini. Kwani wale watoto wa Roze wanamwiitaje Slaa?

Nawe wanakuita nani?
 
kumbe leo kulikuwa na hukumu ya hii kesi.. pro CDM wanadai sio muhimu hii issue haifai kuwekwa ... wamependa vibaya sana hawa watu! ..

i hope rose kamili atapata haki yake ...
 
Mkuu inaonejana unamuonea wivu sana Josephine, kama vp Dr akuoe wewe basi
 
Mkuu huu sio ujinga mama yetu Rose Kamili yupo kwenye haki tusimame pamoja tumsaidie.

''MBONA HAKUNA VIFOOOOO..... kumbe ni mbio za kawaida tu hata marathon zipo.... Tired hakuna waislam walio uawa sina RAHA...'' by Mr. President JF

Mkuu Riz kweli wewe unaacha haya mambo yanapita huko, unayadili ndoa za watu, kweli ''ustaadhi''
 
Sheria inahesabu kuwa mwanaume akiishi na mwanamke kwa miaka miwili au zaidi hao ni wanandoa regardless wana watoto au laa.... Mbaya zaidi Dr. Slaa kazaa ma Rose watoto 2, kaazi kweli.... yaani patamu hapo..

usiishie hapo, Je wanandoa wakitengana miaka2 na zaidi??? katafute sheria inasemaje ndio ujue utamu ukoje
 




hamna kitu hapo... dogo kabebwa na divinity .. ondoa hiyo divinity angalia atapata Div ngapi...?.. hana hadhi hata ya UDOM



581564_260422214060299_1187344081_n.jpg
 
Mungu yupo pamoja na Mama yetu Rose Kamili.

Tangu lini Rose Kamili amekuwa mama yako? kwa hiyo unamkana mama yako na kuomba kuwa mtoto wa kambo wa Rose Kamili? Yani kweli wewe jamaa ni akili tope kweli kweli.
 
Wanabodi,



Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod Slaa lililokuwa likiomba mahakama hiyo ifute kesi ya madai iliyofunguliwa na ‘mkewe’ Rose Kamili Slaa nee Sukum, akiomba mahakama hiyo imzuie ‘mumewe’ Dkt. Slaa asifunge ndoa na mchumba wake Josephine Mushumbusi.

Uamuzi huo ulitolewa na Jaji Laurnce Kaduri ambaye alisema amepitia kwa kina pingamizi lilowasilishwa na Dkt. Slaa na majibu yaliyojibiwa na mlalamikaji Rose anayetetewa na wakili wa kujitegemea Joseph Thadayo na amefikia uamuzi wa kuona hoja zilizowasilishwa mbele yake na Dkt. Slaa zikiomba mahakama hiyo iifute kesi ya msingi iliyofunguliwa na Rose, ni dhahifu na hivyo amezitupilia mbali.

Jaji Kaduri alisema Dkt. Slaa alikosea kudai kuwa Rose hakuwa na haki ya kufungua kesi hiyo ya kumzuia asifunge ndoa na mchumba wake Josephine kwa taratibu za kisheria kwa sababu Slaa na Rose hawakuwai kufunga ndoa ila kulikuwa na dhana ya ndoa.

“Mahakama hii inaitupilia mbali, tena kwa gharama, pingamizi hilo la Dkt. Slaa linalosema kuwa Rose hakuwa na haki ya kupinga ndoa yake kwa sababu hakuwa mke wake na wala hawajawai kufunga ndoa, kwa sababu sheria ya ndoa inasema mtu ambaye umeishawahi kuishi kama mke na mume kwa zaidi ya miaka miwili, sheria inawahesabu kama ni wanandoa, hivyo Mahakama hii inasema Rose ana haki ya kufungua kesi ya kuzuia ndoa ya wadaiwa, yaani Slaa na Josephine na mahakama inatupilia mbali pingamizi la Slaa,” alisema Jaji Kaduri.

Kesi ya msingi itatajwa mahakamani hapo Novemba 6 mwaka huu.


  1. Kesi hiyo ya madai ya ndoa Na.4/2012 ilifunguliwa mahakamani hapo na Rose dhidi ya Dkt. Slaa na Josephine kwa mara ya kwanza mapema Julai mwaka huu, akiiomba mahakama isikubali shauri hilo lipelekwe kwenye Bodi ya Maridhiano ya Masuala ya Ndoa ya kwa ajili ya kupatanishwa.
  2. Dai la pili, Rose anaiomba mahakama itanganze yeye na Dkt. Slaa bado ni wanandoa.
  3. Dai la tatu, anaiomba mahakama itamke kuwa ndoa baina yake na Dkt. Slaa bado ni halali kisheria na kwamba ndoa nyingine itakayofungwa kinyume na sasa ndoa hiyo itakuwa ni batili.
  4. Katika dai lake nne, mlalamikaji ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) anadai mdaiwa wa pili (Josephine) alimshawishi mumewe (Dkt. Slaa) kuivuruga ndoa yake na mumewe ambaye ni mdaiwa wa kwanza.

“Pia, nia ya wadaiwa hao wawili ya kutaka kufunga waliyopanga ifungwe Julai 21 mwaka huu katika eneo lolote lile, ndoa hiyo ihesabike kuwa ni batili”

Aidha anaiomba mahakama iwaamuru wadaiwa wamlipe fidia ya shilingi 50,000,000 kama gharama za matunzo ya watoto watoto wawili ambao Emiliana Slaa na Linus Slaa aliyezaliwa mwaka 1987 na kwamba walianza kuishi pamoja na Dkt. Slaa kama mume na mke, ambao amekuwa akiwahudumia kwa tangu mwaka 2009 baada ya mume wake kumkimbia.

Pia anaiomba mahakama imwamuru mdaiwa wa pili (Josephine) amlipe fidia ya Shilingi 500,000,000 kwasababu alimsababishia usumbufu mkubwa na kumharibia ndoa yake.

Akaongeza kuiomba mahakama hiyo impatie nafuu nyingine ambazo itaona inafaa.

Source: wavuti.com - wavuti

Kwakweli unampenda sana Dr Slaa unatamani angekuwa baba yako eeeh,
 
Back
Top Bottom