Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

Mkuu dogo hili? huyu ni rais wetu wa mwaka 2015 sasa unadhani atagombea vipi bila kuwa na mke mmoja.

Je, alogombea 2010 alikuwa na mke au la?Kaa na mwanamke miaka zaidi ya 2 haihararishi kuwa ni mke.Kiserikali ndoa zipo za aina tatu yaani kiserikali,kijadi na ya kidini,wewe na huyo jaji wako Dr Slaa alifunga ndoa ya aina gani?Kasomea cheti cha ndoa harafu uje jibu liloshiba.
 
Rose anahoja kwenye madai yake baadhi na zaidi kutangazwa kuwa mke halali wa Dr. Slaa, a wife by default. Lakini hana haki ya kumzuia Dr. Slaa kuoa mke mwingine kwani default marriage zinakosa supporting document ikiwemo inayosema ndoa ni ya mke mmoja au wengi. Wangefunga ya kanisani madai yake ya kumkataza Slaa kuoa yangeleta maana. Na madai yake dhidi ya Josephine ni dhaifu. Suala la nia yake Josephine naomba wenzangu tusiliangalie kisiasa hili suala tuliangalie kijamii zaidi hata ungekuwa wewe Josephine si ungepigania ndoa yako ukizingatia ufirst lady unanukia weeeeeeeee

Mkuu,
Maelezo yako ni sahihi lakini yangekuwa valid iwapo Slaa angemuoa Josephine nje ya kanisa katoliki. Kumuoa Josephine kanisani katoliki kunaashiria kuwa Slaa amedeclare kuwa hana ndoa nyingine. Kwahiyo, kuondoa utata huo Slaa anaweza kuoa bomani na hapo Rose hatakuwa na uwezo wa kuzuia kwa sababu ulizotoa...
 
Kichwa nazi wewe naona mabomu yamekuharibu akili kidogo uliyokuwa nayo.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya neno baba wa Taifa na mama yetu kama unavyomuita Rose Kamili.

Namuita mama kutokana na heshima ya mume wake Dr Slaa.
 
Mkuu,
Maelezo yako ni sahihi lakini yangekuwa valid iwapo Slaa angemuoa Josephine nje ya kanisa katoliki. Kumuoa Josephine kanisani katoliki kunaashiria kuwa Slaa amedeclare kuwa hana ndoa nyingine. Kwahiyo, kuondoa utata huo Slaa anaweza kuoa bomani na hapo Rose hatakuwa na uwezo wa kuzuia kwa sababu ulizotoa...
kwa uelewa wangu mdogo wa kanisa katoliki, hawazitambua ndoa za aina hii. Wakatoliki wanazitambua ndoa ambazo zinatamko la mkataba tena mbele ya mashahidi. Embu check na mapadri na mimi nicheck nao then tutapeana jibu la uhakika
 
Nampa sifa ya mama kama mwanamke ndio malezi yangu mkuu, mama sio aliyenizaa tu, wewe unavyomuita Mwl Nyerere baba wa taifa ni baba yako mzazi.

Wewe una malezi gani mazuri? Ebu acha porojo hapa. Kama una malezi mazuri mbona mara kibao hapa unamkashifu Dr Slaa ambaye ni sawa na baba yako?
 
Kinachosikitisha zaidi ni kitendo cha Slaa kutokuwatunza watoto wake aliowazaa kwa sababu ya kulewa mapenzi!!!
Ndio maana mtoto wake mkubwa ana miaka 25 lakini hamuungi mkono baba yake...

Binafsi sioni kama kuna ukweli kwamba Dr. Slaa hakuwatunza watoto wake. Kama ingetokea hivyo kwa vyo vyote huyu mama Rose angemfungulia madai Dr. Slaa kudai child suppoort, hakufanya hivyo. Laeo amekuja kuchomekea hicho kitu baada ya kuona Josephine going to be expected first lady.

Imeandikwa: "wivu wa nyumba yako utanila!"
 
kwa uelewa wangu mdogo wa kanisa katoliki, hawazitambua ndoa za aina hii. Wakatoliki wanazitambua ndoa ambazo zinatamko la mkataba tena mbele ya mashahidi. Embu check na mapadri na mimi nicheck nao then tutapeana jibu la uhakika

Hilo halina ubishi, kisheria si kanisa tu hata serikalini ndoa ina hati ya mkataba kati ya wawili na kunakuwepo na shahidi wa kwanza ndiye mfungishaji mwenye kutilia hati sahihi na mashahidi wawakilishi wa wafunga ndoa.

Hayo mambo ya kukaa vikao vya ukoo na kulipa zile mbuzi, ng'ombe aka mahali ni hatua za awali ambazo huhitimishwa kwa kuvisha pete mbele ya litostrotos kukiwepo na mashuhuda ambao nao watamwaga wino kwenye hati yao ya ndoa.

Rose undumila kuwili unazidi kummaliza.
Dr. Slaa wakati ni Katibu Mkuu wa Chadema, yeye aling'ang'ania kubaki CCM. Katibu mkuu mambo mengi muhimu ya chama yapo nyumbani. Sawa na Mama Salma kikwete au Mama Mukama wawe chadema, nini kitaeleweka ndani ya nyumba kuhisiana na nyeti za chama ambazo zimeshikwa na mumewe? Hakuna hatari ya kuvuja?

Mambo yalipomshinda huko CCM huyo akikimbilia Chadema, alikuwa wapi? Wakamwonea huruma hata baada ya kuukosa ubunge wakamzawadia wa kuteuliwa. huyo leo bado anaonekana kuwatumikia mabwana wawili. Katu huwezi kuwaridhisha mabwana wote wawili kwa wakati mmoja, ndiyo yanayotokea sasa mambo yameota mbawa ambapo angekuwa flexable mapema angekuwa na heshima stahiki mbele ya jamii.
 
Inaelekea huyu mama yako ni mpumbavu......
Kwa imani yake toka kwenye biblia imeandikwa "Mwanamke mpumbavu huiboma nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
Wanawake wa ukweli hawaachwi na hata wakiachwa hawawi ving'ang'anizi walikokataliwa weweee

Mbona unamvunjia heshima mke wa Dr Slaa mpaka unamuita mpumbavu, heshima kitu cha bure.
 
Wewe una malezi gani mazuri? Ebu acha porojo hapa. Kama una malezi mazuri mbona mara kibao hapa unamkashifu Dr Slaa ambaye ni sawa na baba yako?

Lini nimemkashifu Dr Slaa? Uzuri JF kuna hansard weka hizo kashfa.
 
hapo ndio mwisho wa kufikiri kwa hawa wenzetu, Kuoa sana na vurugu = umaskini. Tutaendelea kuwatimulia vumbi tuu.
 
Binafsi sioni kama kuna ukweli kwamba Dr. Slaa hakuwatunza watoto wake. Kama ingetokea hivyo kwa vyo vyote huyu mama Rose angemfungulia madai Dr. Slaa kudai child suppoort, hakufanya hivyo. Laeo amekuja kuchomekea hicho kitu baada ya kuona Josephine going to be expected first lady.

Imeandikwa: "wivu wa nyumba yako utanila!"

Mkuu kamfungulia Rose Kamili anamdai Dr Slaa fidia ya milioni 50 ya kutelekeza watoto, na Josephine anadaiwa Milioni 500.
 
Mbona unamvunjia heshima mke wa Dr Slaa mpaka unamuita mpumbavu, heshima kitu cha bure.

nI MPUMBAVU KWA KUWA AMEIBOMOA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE ANGEKUA NA HEKIMA ANGEJENGA
 
Lini nimemkashifu Dr Slaa? Uzuri JF kuna hansard weka hizo kashfa.

Hata hii post umeweka kama kejeli wakati ni habari ya kawaida sana, na umekuja na ki-comment ati tunamuombea mamayetu Rose Kamali ashinde. Kwanini usiseme tunamuombea Dr Slaa na Josephine washinde? Acha porojo za std one wewe mtu.
 
Lini nimemkashifu Dr Slaa? Uzuri JF kuna hansard weka hizo kashfa.

Ritz jambo muhimu la ushauri kwako.
Mada hii umeianzisha wewe, tumejitokeza kuijadili, unatakiwa ubadilike kutoka kwenye ule mtindo wa kishabiki wa kuleta mipasho na kugeukia upande wa watu wenye fikra pevu kujadili hoja au mada uliyoleta, wewe ukiwa ndiye mwongoza mjadala kwa vile umeleta mada hii.

Ninachoshangaa unaendelea na mtindo wako wa kawaida wa kimipasho bila kujadili hoja uliyoileta kutokana na michango ya waJF. please, jitahidi kuwa flexable katika hili ili kuiongoza mada yako vizuri. Najua fika uwezo unao hivyo unaweza badili mwelekeo wa mipasho na kujikita kwenye hoja za msingi katika kuiongoza vizuri mada yako uliyotuletea.
 
Back
Top Bottom