Pinda: Uvumilivu ukimshinda Kikwete msimlaumu - Onyo Chadema

Pinda alienda kuzindua kisima sehemu fulani, alipofika akachungulia kwenye kisima na kuulizwa swali, hivi humu mna fuga mamba? tafakari
wewe mwenyewe ukipima haya mawazo yako nadhan moyon utajijua uwezo wako wa kufikiri na kujua cha kusema
 
Dr, Slaa hana jipya zaidi ya kutaka kuwa Rais. Hana mikakati ya kujenga chama chake zaidi ya kupiga kelele zisizo na msingi. Anaichezea amani iliyokuwepo TZ kwa tamaa ya madaraka aliyokuwa nayo. Dr. Slaa anakiendesha Chadema kidicteta na hafai kuwa kiongozi hata kidogo.

Wewe hata udikteta hujui maana yake, dikteta ni kikwete
 
PM anatoa maneno ya vitisho kwamba 'eti' uzalendo ukimshinda JK tutaona moto, anatoa onyo 'eti' kwa ajuavyo yeye uvumilivu unakaribia kumshinda JK, lakini kitu ambacho PM hakijui ni kwamba uvumilivu umeshatushinda sisi wenye nchi, na hiyo tapa tapa ya ccm ndo moto wenyewe wanaouona baada ya sisi wananchi kushindwa kuendelea kuvumilia.

CCM inatuambia nini kuhusu hali mbaya ya uchumi, rushwa kila kona, ahadi zisizotekelezeka na kila aina ya kitu kibaya kuwa tanzania?
 
Hali tu ya maisha ilivyopanda inatosha kuwa sababu ya lolote lile!! JK na timu yake nzima walituahidi toka 2006, kuwa mgao utakuwa historia; now here we are, leo hili tatizo tu la umeme wanaliongelea as if limetokea leo!!! Kwenye hotuba yake ya end month, vituko vitupu!! Eti baraza la mawaziri lime-approve TANESCO kununua generator kuweza kumaliza hili tatizo!!! Anasema eti maji yamepungua kina ndo sababu ya mgao!! Utadhani mgao umeanza leo!!! Huyo huyo JK amesahau kuwa alishaahidi 2006!!!

PM should understand, in really fact wananchi ndo tumechoka kuvumilia......... Its just a matter of time, untill when all waTZ wataona sanaa ya utawala wao...
 
Tatizo ziongozi wengi hawajui hali halisi ya wananchi wa chini, mtu anakula mlo mmoja kwa siku kwa sababu ya mfumuko wa bei na mshahara hautoshelezi halafu wao wanadai uvumilivu unawashinda,sasa wananchi uvumilivu hauja washinda? wako detached sana hawa. wanacheza na bomu mkononi.
 
Hivi nyinyi mshukuru Mungu mmempata Rais mpole, lakini mkumbuke, he super calculates his moves, msije mkaingia mitini.

Leo, mshukuru kuwa huyu ndie Rais wa kwanza aliyetowa uhuru mpana wa kuwafunguwa midomo mpaka mnaweza kusikika.

Na msione kawanyamazia mkampandia kichwani, maneno aliosema juzi kwenye hotuba yake ya kila mwezi ni mazito na kama Rais kawa muwazi. Kumbuka, ile hotuba ilikuwa ni onyo.
 
Hivi huwa mnasoma habari za dunia au mnapayuka tu? Hebu soma hii halafu muanze kumlaumu JK kwa kupanda bei za vyakula:

Global food prices increase for eighth straight month, UN agency reports

World

Written by Administrator on*Saturday, 05 March 2011 07:00 **

The Global food prices rose for the eighth straight month in February, the United Nations Food and Agriculture Organization (FAO) reported today, while also warning that unexpected spikes in oil prices could exacerbate an already precarious situation in food markets.
 
Onyo gani majimshindo? kwani hii nchi yake? yeye ni mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya miloni 40, SISI wananchi tumeshawachoka, hata thinking zao/zenu ziko corrupt, sio kwa hisani yao sisi tunaweza kufumbua midomo yetu na kusema tunachofikiri, ni haki yetu na uwezo wetu, hatupewi na kikwete, PM na JK ndo wako madarakani kwa hisani yetu (sio kwa sababu tumewachagua la hasha, kwa sababu hatujawafukuza wlivoiba kura) sasa tumevumilia tumeshindwa na tunataka wa step down kwa amani
 
Maji mshindo inaelekea unajua sana kusearch, hebu tuambie tanzania ni nchi ya ngapi kwa umaskini, sio duniani, ila afrika! then utuambie ni kwa nini wakati tuna kila kitu
 
nashukuru pm kulitambua hilo kwani hata sisi wananchi uvumilivu ulishatushinda lakini tumeko pakuanzia sasa kama noma na iwe noma tuone
 
Onyo gani majimshindo? kwani hii nchi yake? yeye ni mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya miloni 40, SISI wananchi tumeshawachoka, hata thinking zao/zenu ziko corrupt, sio kwa hisani yao sisi tunaweza kufumbua midomo yetu na kusema tunachofikiri, ni haki yetu na uwezo wetu, hatupewi na kikwete, PM na JK ndo wako madarakani kwa hisani yetu (sio kwa sababu tumewachagua la hasha, kwa sababu hatujawafukuza wlivoiba kura) sasa tumevumilia tumeshindwa na tunataka wa step down kwa amani

Kati ya hao million 40 ujuwe wapo waliompigia kura JK tena ni wengi zaidi ya waliompa kura mgombea mwingine yeyote.

Kumbuka kuna wapo ambao hawana vyama na hawajihusishi na siasa lakini niwapenda amani. Hivi kuna kosa gani katika uongozi analofanya JK, ingekuwa wewe au Silaa wako angefanya tofauti?
 
Nchi inaongozwa kwa remote control na Rostam Aziz, JK anatizama tu, UCHUMI unafanya vibaya kuliko kipindi chochote katika historia, achana na statistics za serikali angalia uhalisia wa mambo, hakuna ajira, bei zinafumuka kila kukicha, solution anayokuja nayo raisi ni vitisho kwa wafanyabiashara eti atakayeuza sukari 1,700 atachukuliwa hatua kweli? yaani watanzania hatujui kitu kuhusu fiscal and monetary policies kweli?
 
Uswe mkuu!!!
Nashangaa mtu anakuwa je haelewi haya!! Wakati ni mambo yasiyohitaji rocket science kuyaelea!!!

Maji Mshindo, lets say tumemchagua wote, kwani hiyo ndo inampa rights za ku-abandon watu wake!!
Hivi unaweza kutupa ushahidi gani utakao-justify performance of economy ever since ameingia madarakani 2005?
 
PM anatoa maneno ya vitisho kwamba 'eti' uzalendo ukimshinda JK tutaona moto, anatoa onyo 'eti' kwa ajuavyo yeye uvumilivu unakaribia kumshinda JK, lakini kitu ambacho PM hakijui ni kwamba uvumilivu umeshatushinda sisi wenye nchi, na hiyo tapa tapa ya ccm ndo moto wenyewe wanaouona baada ya sisi wananchi kushindwa kuendelea kuvumilia.

CCM inatuambia nini kuhusu hali mbaya ya uchumi, rushwa kila kona, ahadi zisizotekelezeka na kila aina ya kitu kibaya kuwa tanzania?
Hii kauli aliitoa wapi? Halafu kwa nini aseme hivyo? Na kwa nini jk uzalendo umshinde? Ukimshinda hasira atammalizia nani? Hao mafisadi wenzake ama wananchi? Ukimshinda atachukua hatua gani? Kwa nini asubiri umshinde? Kauli ya kipumbavu kabisa. Nauliza uzalendo umshinde kwa lipi hasa? Waelewe kuw na sisi wananchi civil obidience imeshatushinda. Inavyoonekana ni kuwa tunasubiri udhaifu fulani tu kwenye yai letu hili ili tulipasue na kutoka humo
 
well said Nyunyu, lets ASSUME jk alichaguliwa na kila mtu, including mimi (ingawa mi nilimpa dk slaa), Je Tunaridhika na namna nchi inaendeshwa? huyu kiumbe anaitwa rostam ye ni nani? kwa nini anaogopwa hivi? yaanimzembe mmoja kwa rostam anawezaje kuamua fate ya taifa kubwa kama tanzania na hakuna anayeweza kufanya kitu? huyu rostam anatoa wapi nguvu hizi jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi nyinyi mshukuru Mungu mmempata Rais mpole, lakini mkumbuke, he super calculates his moves, msije mkaingia mitini.

Leo, mshukuru kuwa huyu ndie Rais wa kwanza aliyetowa uhuru mpana wa kuwafunguwa midomo mpaka mnaweza kusikika.

Na msione kawanyamazia mkampandia kichwani, maneno aliosema juzi kwenye hotuba yake ya kila mwezi ni mazito na kama Rais kawa muwazi. Kumbuka, ile hotuba ilikuwa ni onyo.

wewe jamaa utakuwa unapiga jani, haya maneno sio ya mtu mzima
 
Back
Top Bottom