The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,085
Huyu jamaa ana washikaji 200 kidogoHapa naona wanatafuta namna nzuri ya Kulindana, Si unamjua Dagama anavyowapenda penda washkaji zake.
Huyu jamaa ana washikaji 200 kidogoHapa naona wanatafuta namna nzuri ya Kulindana, Si unamjua Dagama anavyowapenda penda washkaji zake.
Alichokosea Pinda ni kujifanya naye amekasirika kwa barua ile ya Jairo. Haya mambo hayajaanza leo serikalini na wala hayafanyiki hapo nishati tu. Hili ambao tumewahi kuwa watumishi kwenye taasisi za UMMA tunalijua na Pinda analijua zaidi.
hapo itabidi wah wawe macho maana nshaanza kuona usanii unatakakujitokeza na yeye mkuu wa kaya kwa nini anaondoka uku nyumbani kwake kumeungua..
Wakuu swali ninalojiuliza hivi Katibu Mkuu ndio anafanya maamuzi ya Wizara???? Kama Ngeleja anamruka Jairo kuwa hajui kuhusiana na hiyo barua basi Ngeleja atakuwa ni kilaza kiasi ambacho hajui Katibu Mkuu wa Wizara yake anafanya nini, maana kama ameweza kuandika barua kuagiza vitengo vyote vilivyo chini ya Wizara vitoe hizo Milioni 50 na Ngeleja hajui je ni mambo mangapi Jairo ameishayafanya ambayo Ngeleja hana habari nayo wakati yeye ndiye Waziri husika wa hiyo Wizara lakini kwa hili nasita sana kuamini kuwa eti Ngeleja hajui kuhusiana na hiyo barua kwa maana nyingine nasema Ngeleja ni INCOMPETENT.Alichokosea Pinda ni kujifanya naye amekasirika kwa barua ile ya Jairo. Haya mambo hayajaanza leo serikalini na wala hayafanyiki hapo nishati tu. Hili ambao tumewahi kuwa watumishi kwenye taasisi za UMMA tunalijua na Pinda analijua zaidi.
maagizo mapya haya hapa:tunaposema jk ndo chanzo cha matatizo nchii huwa tunaamnisha.......mtu ametarifiwa na akapewa ushahid kuwa swala hili halivumiliki na huyu mtu anapaswa kufukuzwa...yeye bado analemba kwa kutoa maagizo mapya...
Maamuzi yote yasiyo na SIASA ndani yake anafanya KM. Hili la kuchangisha rushwa ni la kisiasa. Linamlinda zaidi Ngeleja. Jairo hajui tu kuziandika barua kama hizi. Mgao wake ulimzubaisha tu.Wakuu swali ninalojiuliza hivi Katibu Mkuu ndio anafanya maamuzi ya Wizara???? Kama Ngeleja anamruka Jairo kuwa hajui kuhusiana na hiyo barua basi Ngeleja atakuwa ni kilaza kiasi ambacho hajui Katibu Mkuu wa Wizara yake anafanya nini, maana kama ameweza kuandika barua kuagiza vitengo vyote vilivyo chini ya Wizara vitoe hizo Milioni 50 na Ngeleja hajui je ni mambo mangapi Jairo ameishayafanya ambayo Ngeleja hana habari nayo wakati yeye ndiye Waziri husika wa hiyo Wizara lakini kwa hili nasita sana kuamini kuwa eti Ngeleja hajui kuhusiana na hiyo barua kwa maana nyingine nasema Ngeleja ni INCOMPETENT.
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ana siri nzito kuhusu hatima ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini David Jairo baada ya jana kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete amempa maelekezo mapya kuhusu suala hilo.
Pinda alisema hayo, baada ya gazeti hili kumtaka aeleze hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi ya katibu mkuu huyo aliyetuhumiwa juzi bungeni kuwa aliziagiza zaidi ya taasisi 20 kuchanga Sh50milioni kila moja kwa ajili ya kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya wizara yake.
"Suala hilo bado tunalifanyia kazi," alisema Pinda alipotakiwa kueleza maagizo aliyopewa na Rais baada ya kuwasiliana naye juzi na jana. "Ndio niliwasiliana naye lakini, ametoa maelekezo mapya kuhusu suala hilo ambayo tunalazimika kuyafanyia kazi kwanza."
Akizungumzia suala hilo la Jairo bungeni juzi, Pinda alisema: "Kwa jinsi jambo hili lilivyokaa, hakuna jinsi mtu unavyoweza kulitetea hata kidogo, nilitamani sana kwamba nije hapa niseme kwamba uamuzi wangu mimi ni huu, lakini haikuwezekana.
Kwa dhati kabisa naomba wabunge tuwe na subira, mara tu mheshimiwa Rais atakapotua South Africa (Afrika Kusini) jioni ya leo (juzi), nitamwarifu na ninaamini tutaelewana kuhusu hatua za kuchukua.
"Tuhuma za rushwa katika Wizara ya Nishati na Madini ziliibuliwa juzi na Mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shellukindo alipokuwa akichangia Makadirio ya Wizara ya Nishati na Madini bungeni juzi.
Shellukindo alisema, Jairo aliziandikia barua idara na taasisi hizo akiziagiza ziweke fedha hizo kwenye akaunti namba 5051000068 inayomilikiwa na Geological Survey of Tanzania (GST) kwenye Benki ya NMB, Tawi la Dodoma.
"Tena inaagiza kwamba fedha hizo zikishatumwa kwenye akaunti hiyo, wizara ipewe taarifa kupitia Ofisi ya DP kwa ajili ya utaratibu," alisema Shellukindo akiinukuu barua hiyo.
................................
Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?
Wanamtafutia wizara nyingine ya kumpa.Hizi statement mbili hizi, yaani ilipaswa huyu mtu achuliwe hatua sasa sijui hayo maelekezo mapya kuhusu suala hilo ambayo wanalazimika kuyafanyia kazi ni yapi na kwanini hawayasemi kwani imeishakuwa ni siri?????
Mahali wannaiacha hoi ni wapi bajeti ya fedha ipi walitumia? Ya Wizara 2011/2012 haijapitishwa, Tayari walikuwa nazo! Kwa vipi?Mimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.
Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.
Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.
Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake.
Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa.
Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?
Kama suala hili ni la kisiasa litamlindaje tena Ngeleja wakati cheo chake ni cha kisiasa.Maamuzi yote yasiyo na SIASA ndani yake anafanya KM. Hili la kuchangisha rushwa ni la kisiasa. Linamlinda zaidi Ngeleja. Jairo hajui tu kuziandika barua kama hizi. Mgao wake ulimzubaisha tu.
Yes kitendaji makatibu wakuu ndio accounting offficers.
Kifupi maamuzi na mtumizi yoyote matumizi ya wizara lazima yaidhinishwe na ofisi ya katibu mkuu . Kuna mambo ambayo waziri anaweza asijue kuhsu wizara lakini PS anatakiwa kuwa most informed personel kwenye wizara. n dality t daily basin na with details.
So kitendaji katibu mkuuu ndo anafanya maamuzi but kisasa ni waziri.
Waziri hawezi kufanya dili ya mshiko bila katibu kumuhusisha katibu mkuu lakini katibu mkuu anaweza kupiga deal bila waziri
Ahsante umelijua wazo langu.Mimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake. Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa. Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?