Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

Hawa watu wasituletee maswala ya viini macho. Jairo asingeweza kutoa agizo kama hakuna wanamtandao wengine wanaofahamu hicho kitu otherwise Jairo atatolewa kama mbuzi wa kafara tu. Itapigwa danadana mpaka mambo yataisha yenyewe, wanajuana hawa. Tunarudi kule kule kwenye issue za akina Balali.....
 
"Suala hilo bado tunalifanyia kazi," alisema Pinda alipotakiwa kueleza maagizo aliyopewa na Rais baada ya kuwasiliana naye juzi na jana. "Ndio niliwasiliana naye lakini, ametoa maelekezo mapya kuhusu suala hilo ambayo tunalazimika kuyafanyia kazi kwanza."



Swala dogo kama hili ambalo ni straight forward kiutendaji wanalifanyia kazi kwa zaidi ya masaa 48 huu ni ushuhuda kwamba hawana uwezo wa kuongoza taifa hili, Wacha waachie wenye uwezo waongoze na wao wawe wafuata upepo tu.
 
Haya ni maigizo tu na hii ni ajali kama ya kina msabaha wakati wanachangisha hela za CCM kampeni.
Huyu bwana utasikia ka;ipwa kila kitu then atatafutiwa cheo mahali ww subiri hii ndio serikali ya kisanii.

Kwani hili suala halijaanza leo pia kati ya hayo makampuni mengi ni ya vigogo so sio siri wanajua wote
na ni wizara zote tu huwa zinafanyah ivyo so hakuna kipya hapa. Usanii mtupu na Presida wenu.
 
Haka kazee nako hakachoki bwana porojo tuuu!

Maagizo mengine kama huna uwezo wa kuyatamka si ungenyamaza zumb***ku wewe!!! Au najitafutia BAN hapa nini? MOD usinipige BAN Mkuu hawa jamaa wanaudhi sana, kila siku hadithi tu yaani wametufanya wa-TZ mbumbumbu!!
 
Ngeleja, Malima, Jairo na wakurugenzi wale wote walioitikia mwito wa kumwaga zile million 50 wafukuzwe kazi mara moja kama hawataki kujiuzuru. Hii issue ni simple sana na wala haihitaji uwe kipanga saaaana kuitolea maamuzi. What's wrong with Kikwete? where is Makamu wa Rais? yupo nchi hii kweli?

Baada ya hawa, then Malima abanwe awataje wabunge wote waliolambishwa mshiko. January Makamba nae anawafahamu, awataje ili nao warudishe zile pesa and then washughulikiwe.

Watunza hazina wa zile idara zote zilizotoa pesa wafukuzwe kazi pia
 
Back
Top Bottom