Yaleyale msingenishikilia angenitambua, Pinda ni msanii wa kimataifa anataka tumuone mchapakazi wakati hana lolote mbona rais akiwepo hatujaona ushauri wake.
be blessedMimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.
Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.
Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.
Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake.
Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa.
Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?
hapo itabidi wah wawe macho maana nshaanza kuona usanii unatakakujitokeza na yeye mkuu wa kaya kwa nini anaondoka uku nyumbani kwake kumeungua..Ni maagizo gani mapya hayo ambayo Pinda hayasemi, halafu kulifanyia kazi maana yake ndio nini na nani analifanyia kazi????
Mimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.
Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.
Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.
Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake.
Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa.
Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?
Pinda kujiuzulu haiwezi kutokea, ikiwa tu walio chini yake wanatafuta namna ya kujikwamua!Mimi nionavyo pinda angejiuzuru ili kuonesha kukerwa kwake na jambo hili, la sivyo peoples power!!!!!!tutaandamana mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Tunataka Jairo out sasa hivi na ngerengereja wako wote!!!!
Mpwa kwa suala hili jinsi kila mwananchi alivyolitolea macho sidhani kama jamaa anaweza kupotezewa tuhuma hivi hivi kijuujuu tu
Alichokosea Pinda ni kujifanya naye amekasirika kwa barua ile ya Jairo. Haya mambo hayajaanza leo serikalini na wala hayafanyiki hapo nishati tu. Hili ambao tumewahi kuwa watumishi kwenye taasisi za UMMA tunalijua na Pinda analijua zaidi.Pinda ashukuru kwamba hapa JF kuna sheria na ban, otherwise baada ya kusoma hapa ningeporomosha matusi yangu yote kwake! Nimekereka first class. Sidhani kama...bora nisiendelee