Hivi wazanzibari mnasubiri nini kujitoa kwenye Muungano,kwasababu ninavyoona mimi wazanzibari wote hamuutaki muungano sasa kwanini msiseme jamani eenh sasa siye basi tunawaachia Tanganyika yenu na sisi tunabaki kama sisi.
Siku mkijiondoa kwenye Muungano huu,nafikiri mimi nitakuwa wa kwanza kufanya sherehe! Naona kero tu na huu muungano choko choko nyingi zisizo na faida wala nini kwa Taifa letu.
Kwa maneno ya Pinda nahisi hata Kikwete ameshachoka na hizi vurugu sema anasubiri tu Karume aje amwambie siye tunataka tubaki peke yetu amwambie SAWA. au kama Karume anaogopa kusema mwambieni hata amtume msema hovyo Ali Juma Shamhuna aje aseme kama hawataki muungano.
Zanzibar tunawambembeleza kama sijui kitu gani,mimi nafikiri ni muda muafaka to call it quit.