The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Huwa najiuliza swali moja kama Serikali awali iliambiwa na ICC ilipe Bilioni 185 wakasema hapana tutalipa Bilioni 94 hivi kuna ku-negotiate, halafu kwanini deni limepungua kutoka 185 mpaka 94 kama siyo watu wanapika mambo na kuwataka watanzania waamini kwamba kila kinachofanyika kinafuata sheria btw sijwahi kuona nchi inalazimisha kulipa deni tena kwa haraka sana nashangaa sana. Wonders will never end