Ndio vitu gani hivyo mkuu!?Hatata mimi napatwa na wasiwasi kwamba inakuaje Pinda aapishwe bila BIble,Katika hotuba za BABA WA TAIFA MWL JK.NYERERE,Alisema na kusisitiza kwamba Kiongozi wa serikari lazima ataapishwa Eidha kwa MSAHAFU AU KUROHANI akasema kama sio muumini watatafuta namna ya Kumuapisha,(kwa pinda naungana na wajumbe wengine kuwa ameapa bila Msahafu kwa kumuogopa mungu dhamila inamsuta wakati yeye ni mcha mungu.
Unatakiwa kuthibitisha kuwa alicho shika si biblia.tafadhali muwe na uhakika na mnachoongea. hivi mna uhakika alichoshika ni biblia?
Unatakiwa kuthibitisha kuwa alicho shika si biblia.
Kwani alisema yeye anaimani ya dini gani??Msimhukumu inawezekana akawa kama Kingunge,dini pembeni!
Mkuu mimi ni mwanagenzi tu katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, kutokana na forum hizi najifunza mengi na kukutana na wengi... Wakati wote tunapaswa kuweka ithibati ya yale tunayo yaandika ili yapate kujilinda yenyewe bila kuingiza ili na lile.Heshima yako mkuu wangu. Hapa janvini kila mtu anajivuna kuwa great thinker. Sina hakika kama wote tunajua maana na sayansi ya thinking. Umaskini wetu unatokana unatokana kwa kiwango kikubwa na ulemavu huu.
Swali zuri sana mkuu!Hivi kumbe wanaapa kulinda na kuitetea katiba iliyo mbofu mbofu? Hata wa chadema wameapa hivyo?
hehehe maybe! hii i reasonable doubt pia..!!!Labda ni freemason!