Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

Rais wa IFM wa 2013/14 aliyekwenda kuwarubuni wanafunzi wa IFM yeye kataftiwa ulaji ubalozi wa UK na EL
 
 Stop lying....nothing u know, nothing u can tell us about EL....

 U wrote long papparazzi uncontented story to falsify the hooligans tht u know what is at the HEART OF CCM at the moment...of which HUJUI CHOCHOTE..

 EL there is by no way, no how, no means CCM watamzuia, chuki zake binafsi na uongozi wa juu hazitamzuia, sbb CCM NI WANACHAMA NDIO WANACHAGUA NEC, sio viongozi wa juu tu...so jua hilo....na wanachama 80% wako nae heart to heart...!!

 And ur too myopic to see what is going in the FIELD OF CCM PRESIDENTIAL ASPIRANTS....uko kiumbea umbea sana #yericko ....bending towards mkulu....after all WW NI CDM....kiherehere sana ww...from cdm and all few ccm anti-EL you feared MOST LAIGWANAN....muulize mwenyekiti wako Mbowe, katibu wako Slaa, sio ww hujulikani hata huna makazi, kazi kujinadi mitandaoni tu, mara una makampuni kibao yote hewa, kampuni za certificates tu.....nothing u hv to be trusted, from ur IQ to wht u possess....!!!!

 Nenda kwa Josephine akupe chai this mrng....!!! Msalimie slaa pia, babu kapata vitoto, ur of the same IQ level and ACTS....worthless you...!!!
Mr. President should have countered him with issues not insults.. Those with third eyes and can really read between lines extracts a lot form you.

This is what I always see from wapambe, badala ya kujipanga na ku-pre empty strikes, they jump into personal insults... Siye yetu macho.
 
Last edited by a moderator:
Historia imeonyesha na wakati umedhihirisha kuwa Rais aliye madarakani hawezi kumchagua kwa veto atakayechukua mikoba kwa hata si yeye aliyejichagua kuwa Rais. Hana mamlaka kikatiba au kichama. Bado mapendekezo ya wanachama ndio demokrasia halisi. Mfano Mkapa alipendekeza Sumaye ikaisha vibaya, Mwinyi na Mkapa etc. Hivyo hii kwa sasa ni tararira ila kanuni ziko wazi. Kikwete wananchi walimtaka vibaya sana na ndio kilichopelekea Sumaye kukosa. Kwa sasa kama hawa viongozi wetu watakumbuka historia kujirudia ndio kanuni, basi Lowassa anahitajika badly na wananchi pamoja na wanachama. Wanaomgwaya ni tu wabaya wake na wallah billah watakiona na mtema kuni. Waache waweweseke.
Mshiiri yaliyotokea 2005, ilikuwa wrong move ya team wazee, walijiaminisha, kumbe team boyz II men walijishajiandaa kwa the so called "mtandao" Huyu tegemeo la sasa, alishindwa ku-counter shinning star ya JK ndani ya chama na nje. Aka-resolve kwa maelewano ya kuachiana.

Kajisahau wenzanko kuna miiko, wa pwani ni nyoka...
Sumu imetambaa kila kona ya mwili, anatafunwa live...
 
Nimekuona ww huna busara wala hujui unalo liongelea ni vyema kama ni kijana au mtu mzima na akili ni mamu ukitoa hoja ume na facts co statement za kuiga iga tu 😏
 
Edward Lowassa hawezi kukatiza, tutasikia mengi zaidi bado muda haujafika mbona, ila aanze kujipanga kujibu zile dhuluma alizofanya kumzulumumu yule partner wake kibiashara miaka ile akiwa MKURUGENZI PALE ARUSHA, alipoona UPM unanukia alimfuata na kumtuliza kumbe jamaa bado ina muuma mpaka kesho.

Edward unafiwa na shangazi aliyekuela unakodi ndege kuwahi kuzika na kuwahi Dodoma Mwalimu anakuuliza umefikaje unajiuma uma . 1995

Edward umeuza kiwanja kilichokuwepo maeneo karibu na DIT, wahindi wakati ule walikuhonga dolla laki tano $500,000/-
leo wewe watu wakupe nchi common kuwa serious inatosha mzee, mlipomficha mwalimu juu ya hili, aliibuka katika kikao cha CC wakati huo 1995 na cheque inayoonyesha ukweli wa uuzwaji wa kiwanja hicho..........eeehhh leo watu wakupe nchi.

Edward wapo wanajua uswahiba wako na Peter Serukamba, kumbuka Nairobi mlipokuwa hotelini alikuja mtu mmoja Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa, safari moja Jecha amempigia simu Serukamba akimuomba amuazime 2millioni atampaka baada ya mwezi, hivyo mpaka leo Serukamba hajataka hata kuidai tena ile hela maana anajua.........2008.

Edward ni wewe umeachanisha ndoa ya Batilda Buriani na mume wake 2006, umeachanisha ndoa ya Rosse kamili na muwe Dr Slaa 2009, umeachanisha ndoa ya Betty Mkwassa mara ya kwanza japo sasa wamerudiana kiaina 2007 sijui itakuaje maana na sasa ndio yuko hapo Dodoma mjini na wewe ndio mbunge, sasa unadunda mitaani na Jenista Mhagama mjane wa watu huyu, ukiwa tayari umeshamzalisha Diwani wa vingunguti Bonnah amesoma Diploma yake pale chuo cha Diplomasia kwa taabu na ujauzito wake japo toto kopi kopi na sura lako, limetoka la kimeru meru halisi tena kuliko mwanao Freddy, Pamela.

Edward ulipokuwa PM watu wanakuja mzee kuna A,B,C unawauliza mwanangu anapata nini hapo? kweli wewe tukupe nchi wewe aaaahhhhhhh common it will be not fair.

Edward Mzee Mangula anafiwa na mtoto wake wa kwanza eti kwa kumfariji unapeleka pole ya milioni 40,000,000, sasa sijui ilikuwa ni kejeli au ni nini? maana Mzee Mangula alizikataa zikarudi kwa aibu ukapeleka wewe cheque ya 5,000,000 ambayo Richard Kasesera aliichukua na fedha zikatumika katika msiba tu.

Edward kumbuka ukiwa PM ulitaka serikali itumie magari ya MACEDES BENZ ndio za serikali, kwani ulishaandaliwa dau la $15,000,000milioni, leo wewe kweli tukupe nchi wewe kweli haya bana haya ni machache muda ukifika watafunguka zaidi wanaoipenda nchi hii

Mkuu LAMPARD nilidhani fani yako ni professional footballer kumbe na ushushushu pia.

Asante.
 
Last edited by a moderator:
Unajua wakati Cpt (Rt.) Komba amefariki, kuna makala niulisoma sehemu, iliyokuwa inachambua jinsi marehemu alivyokuwa tegemeo la EL; na kwamba alikuwa ameandaliwa kuwa Waziri wa Ulinzi, ni jebe lililokuwa tumaini lake mtarajiwa.

Nikashangazwa na jinsi msiba wake, katika taratibu zote, EL alifichwa kabisaaa, tukamuona, watu wamemuita humu "sijui Ng'mbe ulaya" mi simo, analia na wakadominate walee tu ni mahasimu wa EL, nikapata mashaka how come EL lilikuwa jambe lake, na inshindikana kuwa front kwenye mazishi yake...

Yetu macho, na tutayaona mengi hadi Oct. 2015.
 
Yericko Nyerere hivi ni lini tutaanza kujadili wagombea urais kupitia UKAWA? Maana naona nguvu zote ni CCM tu mpaka mimi nashangaa kwa nini vijana wa CHADEMA kila kukicha wao ni kujadili mgombea gani anafaa/hafai nafasi ya Urais kupitia CCM tu je UKAWA hawapo? ukiona mtu anapenda kujadili mambo ya jirani badala ya kwake basi hapo ni..............
 
Last edited by a moderator:
Edward Lowassa hawezi kukatiza, tutasikia mengi zaidi bado muda haujafika mbona, ila aanze kujipanga kujibu zile dhuluma alizofanya kumzulumumu yule partner wake kibiashara miaka ile akiwa MKURUGENZI PALE ARUSHA, alipoona UPM unanukia alimfuata na kumtuliza kumbe jamaa bado ina muuma mpaka kesho.

Edward unafiwa na shangazi aliyekuela unakodi ndege kuwahi kuzika na kuwahi Dodoma Mwalimu anakuuliza umefikaje unajiuma uma . 1995

Edward umeuza kiwanja kilichokuwepo maeneo karibu na DIT, wahindi wakati ule walikuhonga dolla laki tano $500,000/-
leo wewe watu wakupe nchi common kuwa serious inatosha mzee, mlipomficha mwalimu juu ya hili, aliibuka katika kikao cha CC wakati huo 1995 na cheque inayoonyesha ukweli wa uuzwaji wa kiwanja hicho..........eeehhh leo watu wakupe nchi.

Edward wapo wanajua uswahiba wako na Peter Serukamba, kumbuka Nairobi mlipokuwa hotelini alikuja mtu mmoja Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa, safari moja Jecha amempigia simu Serukamba akimuomba amuazime 2millioni atampaka baada ya mwezi, hivyo mpaka leo Serukamba hajataka hata kuidai tena ile hela maana anajua.........2008.

Edward ni wewe umeachanisha ndoa ya Batilda Buriani na mume wake 2006, umeachanisha ndoa ya Rosse kamili na muwe Dr Slaa 2009, umeachanisha ndoa ya Betty Mkwassa mara ya kwanza japo sasa wamerudiana kiaina 2007 sijui itakuaje maana na sasa ndio yuko hapo Dodoma mjini na wewe ndio mbunge, sasa unadunda mitaani na Jenista Mhagama mjane wa watu huyu, ukiwa tayari umeshamzalisha Diwani wa vingunguti Bonnah amesoma Diploma yake pale chuo cha Diplomasia kwa taabu na ujauzito wake japo toto kopi kopi na sura lako, limetoka la kimeru meru halisi tena kuliko mwanao Freddy, Pamela.

Edward ulipokuwa PM watu wanakuja mzee kuna A,B,C unawauliza mwanangu anapata nini hapo? kweli wewe tukupe nchi wewe aaaahhhhhhh common it will be not fair.

Edward Mzee Mangula anafiwa na mtoto wake wa kwanza eti kwa kumfariji unapeleka pole ya milioni 40,000,000, sasa sijui ilikuwa ni kejeli au ni nini? maana Mzee Mangula alizikataa zikarudi kwa aibu ukapeleka wewe cheque ya 5,000,000 ambayo Richard Kasesera aliichukua na fedha zikatumika katika msiba tu.

Edward kumbuka ukiwa PM ulitaka serikali itumie magari ya MACEDES BENZ ndio za serikali, kwani ulishaandaliwa dau la $15,000,000milioni, leo wewe kweli tukupe nchi wewe kweli haya bana haya ni machache muda ukifika watafunguka zaidi wanaoipenda nchi hii

...........eeeh ! kuwa uyaonee ! :shocked:
 
Bwana Lowassa,

Nikupe pole nyingine baada ya ile ya maonyo yangu kwako nilipochukua wasaa kukueleza vichomi ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee Nungwiiiii na Chamwinooo! Jikumbushe hapa http://t.co/lqlziVnKXB

Naaam, Umemaliza kifungo chako cha miezi kumi na miwili, Bado unaamini hamkukutana barabarani? Hahahaaa kaamua kula sahani moja na wewe, iwe mchana ama usiku, jua lichomoze ama lizame, kamwe! Hautaiona pepo ya magogoni.

Ndio hilo ni pigo la tatu nililokueleza mwaka jana. Unafahamu kilichowapata wale watoto wa chuo Cha IFM uliowarubuni watangaze kwenye gazeti la nipashe kuwa "IFM wamuunga mkono Lowassa"? Wenye suti nyeusi washafanya yao. Hawana chuo tena huku Rais wa IFM wa 2013/14 aliyekwenda kuwarubuni wanafunzi wa IFM yeye kataftiwa ulaji ubalozi wa UK na EL

Unajua kinachowapata wenyeviti wa CCM mikoani Mara na Geita waliosimama na kukunadi hadharani?

Bwana Lowassa wajua kwa sasa ni kharamu kujipambanua kuwa unamuunga mkono Lowasa, huchelewi kukutana na Caldron?

Hayo ni maagizo ya kikao cha mkuu wa Caldron na vijana kuhakikisha wanakuzima kila kona, muulize Madafa atakwambia japo yupo upande wa pili, pia Apson anaujua mchezo huu ila hawezi kukwambia kwakuwa anaheshimu makubaliano ya Ada Estate (Gentleman Agreement) kati yako na mwenyekiti kipindi kileee.

Bwana Lowassa, nakupa ukweli kuwa mkataba wenu ushakufa, kumbuka kikao cha dodoma mwezi juzi jamaa aligoma kuonana na wewe hata ulipojaribu kila njia angalau kupiga nae picha tu lakini alikukwepa, kumbuka alichojibiwa yule uliyemtuma akuombee miadi ya kukutana na mwenyekiti walau msalimia, kosa kubwa ulilolifanya nikuwa ulishajipanga na wapiga picha za magazeti ili kujijenga.

Vita vyako si vya Damu na Nyama, Bali ni vya pepo wabaya wa Magogoni wanaokula na kusaza mikononi mwa mwenyekiti wako!

Walijua PIGO la MWISHO lililo mbele yako??

Haya tutaftane.....!

Rais anaeamini wachawi na eti aje apambane na mauwaji ya maalbino
 
Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa

Duuh !!! Aisee tutayasikia mengi sana mwaka huu. Mkuu Mbona tuhuma nzito sana hizo? And who is Jecha?
 
Edward Lowassa hawezi kukatiza, tutasikia mengi zaidi bado muda haujafika mbona, ila aanze kujipanga kujibu zile dhuluma alizofanya kumzulumumu yule partner wake kibiashara miaka ile akiwa MKURUGENZI PALE ARUSHA, alipoona UPM unanukia alimfuata na kumtuliza kumbe jamaa bado ina muuma mpaka kesho.

Edward unafiwa na shangazi aliyekuela unakodi ndege kuwahi kuzika na kuwahi Dodoma Mwalimu anakuuliza umefikaje unajiuma uma . 1995

Edward umeuza kiwanja kilichokuwepo maeneo karibu na DIT, wahindi wakati ule walikuhonga dolla laki tano $500,000/-
leo wewe watu wakupe nchi common kuwa serious inatosha mzee, mlipomficha mwalimu juu ya hili, aliibuka katika kikao cha CC wakati huo 1995 na cheque inayoonyesha ukweli wa uuzwaji wa kiwanja hicho..........eeehhh leo watu wakupe nchi.

Edward wapo wanajua uswahiba wako na Peter Serukamba, kumbuka Nairobi mlipokuwa hotelini alikuja mtu mmoja Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa, safari moja Jecha amempigia simu Serukamba akimuomba amuazime 2millioni atampaka baada ya mwezi, hivyo mpaka leo Serukamba hajataka hata kuidai tena ile hela maana anajua.........2008.

Edward ni wewe umeachanisha ndoa ya Batilda Buriani na mume wake 2006, umeachanisha ndoa ya Rosse kamili na muwe Dr Slaa 2009, umeachanisha ndoa ya Betty Mkwassa mara ya kwanza japo sasa wamerudiana kiaina 2007 sijui itakuaje maana na sasa ndio yuko hapo Dodoma mjini na wewe ndio mbunge, sasa unadunda mitaani na Jenista Mhagama mjane wa watu huyu, ukiwa tayari umeshamzalisha Diwani wa vingunguti Bonnah amesoma Diploma yake pale chuo cha Diplomasia kwa taabu na ujauzito wake japo toto kopi kopi na sura lako, limetoka la kimeru meru halisi tena kuliko mwanao Freddy, Pamela.

Edward ulipokuwa PM watu wanakuja mzee kuna A,B,C unawauliza mwanangu anapata nini hapo? kweli wewe tukupe nchi wewe aaaahhhhhhh common it will be not fair.

Edward Mzee Mangula anafiwa na mtoto wake wa kwanza eti kwa kumfariji unapeleka pole ya milioni 40,000,000, sasa sijui ilikuwa ni kejeli au ni nini? maana Mzee Mangula alizikataa zikarudi kwa aibu ukapeleka wewe cheque ya 5,000,000 ambayo Richard Kasesera aliichukua na fedha zikatumika katika msiba tu.

Edward kumbuka ukiwa PM ulitaka serikali itumie magari ya MACEDES BENZ ndio za serikali, kwani ulishaandaliwa dau la $15,000,000milioni, leo wewe kweli tukupe nchi wewe kweli haya bana haya ni machache muda ukifika watafunguka zaidi wanaoipenda nchi hii
Ina maana hawakufunga mlango?

Hii habari nina mashaka nayo!
 
Baba wa taifa hayati mwl Julius Kambarage Nyerere mwaka 1995 alimkataa EL kugombea urais kwa sababu zipi? Mbona EL ni mchapakazi? Nafikiri Nyerere alikuwa hampendi EL kwa sababu ya chuki binafsi.
 
Bwana Lowassa,

Nikupe pole nyingine baada ya ile ya maonyo yangu kwako nilipochukua wasaa kukueleza vichomi ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee Nungwiiiii na Chamwinooo! Jikumbushe hapa http://t.co/lqlziVnKXB

Naaam, Umemaliza kifungo chako cha miezi kumi na miwili, Bado unaamini hamkukutana barabarani? Hahahaaa kaamua kula sahani moja na wewe, iwe mchana ama usiku, jua lichomoze ama lizame, kamwe! Hautaiona pepo ya magogoni.

Ndio hilo ni pigo la tatu nililokueleza mwaka jana. Unafahamu kilichowapata wale watoto wa chuo Cha IFM uliowarubuni watangaze kwenye gazeti la nipashe kuwa "IFM wamuunga mkono Lowassa"? Wenye suti nyeusi washafanya yao. Hawana chuo tena huku Rais wa IFM wa 2013/14 aliyekwenda kuwarubuni wanafunzi wa IFM yeye kataftiwa ulaji ubalozi wa UK na EL

Unajua kinachowapata wenyeviti wa CCM mikoani Mara na Geita waliosimama na kukunadi hadharani?

Bwana Lowassa wajua kwa sasa ni kharamu kujipambanua kuwa unamuunga mkono Lowasa, huchelewi kukutana na Caldron?

Hayo ni maagizo ya kikao cha mkuu wa Caldron na vijana kuhakikisha wanakuzima kila kona, muulize Madafa atakwambia japo yupo upande wa pili, pia Apson anaujua mchezo huu ila hawezi kukwambia kwakuwa anaheshimu makubaliano ya Ada Estate (Gentleman Agreement) kati yako na mwenyekiti kipindi kileee.

Bwana Lowassa, nakupa ukweli kuwa mkataba wenu ushakufa, kumbuka kikao cha dodoma mwezi juzi jamaa aligoma kuonana na wewe hata ulipojaribu kila njia angalau kupiga nae picha tu lakini alikukwepa, kumbuka alichojibiwa yule uliyemtuma akuombee miadi ya kukutana na mwenyekiti walau msalimia, kosa kubwa ulilolifanya nikuwa ulishajipanga na wapiga picha za magazeti ili kujijenga.

Vita vyako si vya Damu na Nyama, Bali ni vya pepo wabaya wa Magogoni wanaokula na kusaza mikononi mwa mwenyekiti wako!

Walijua PIGO la MWISHO lililo mbele yako??

Haya tutaftane.....!

uliyosema ni kweli kabisa,isipokuwa hawa wanaoendekeza njaa na kujifanya wanampigia PROMO huyu FISADI EL watakufa na njaa zao kama kapt.Komba aliyekubali kutumika kama kondo.... huku.. wenzake wakipiga DILL na mwisho wa siku anakufa kwa madeni.Mie nilishasema, UKIONA MTU ANASHABIKIA CCM, BASI JUA HUYO SI MTANGANYIKA,KAMA NI MTANGANYIKA BASI NI JANGIRI au MUUZA "SEMBE"!
 
Edward Lowassa hawezi kukatiza, tutasikia mengi zaidi bado muda haujafika mbona, ila aanze kujipanga kujibu zile dhuluma alizofanya kumzulumumu yule partner wake kibiashara miaka ile akiwa MKURUGENZI PALE ARUSHA, alipoona UPM unanukia alimfuata na kumtuliza kumbe jamaa bado ina muuma mpaka kesho.

Edward unafiwa na shangazi aliyekuela unakodi ndege kuwahi kuzika na kuwahi Dodoma Mwalimu anakuuliza umefikaje unajiuma uma . 1995

Edward umeuza kiwanja kilichokuwepo maeneo karibu na DIT, wahindi wakati ule walikuhonga dolla laki tano $500,000/-
leo wewe watu wakupe nchi common kuwa serious inatosha mzee, mlipomficha mwalimu juu ya hili, aliibuka katika kikao cha CC wakati huo 1995 na cheque inayoonyesha ukweli wa uuzwaji wa kiwanja hicho..........eeehhh leo watu wakupe nchi.

Edward wapo wanajua uswahiba wako na Peter Serukamba, kumbuka Nairobi mlipokuwa hotelini alikuja mtu mmoja Ndugu Jecha alikuja kukuona, alipoingia akakuta mnafanya kale kamchezo haramu ka kaum luti, wewe hukumuona Jecha , ila Serukamba alimuona, na Jecha akarudi nyuma taratibu na kuondoka, ndio maana leo Jecha akikutana na Serukamba adabu na heshima ni kubwa, safari moja Jecha amempigia simu Serukamba akimuomba amuazime 2millioni atampaka baada ya mwezi, hivyo mpaka leo Serukamba hajataka hata kuidai tena ile hela maana anajua.........2008.

Edward ni wewe umeachanisha ndoa ya Batilda Buriani na mume wake 2006, umeachanisha ndoa ya Rosse kamili na muwe Dr Slaa 2009, umeachanisha ndoa ya Betty Mkwassa mara ya kwanza japo sasa wamerudiana kiaina 2007 sijui itakuaje maana na sasa ndio yuko hapo Dodoma mjini na wewe ndio mbunge, sasa unadunda mitaani na Jenista Mhagama mjane wa watu huyu, ukiwa tayari umeshamzalisha Diwani wa vingunguti Bonnah amesoma Diploma yake pale chuo cha Diplomasia kwa taabu na ujauzito wake japo toto kopi kopi na sura lako, limetoka la kimeru meru halisi tena kuliko mwanao Freddy, Pamela.

Edward ulipokuwa PM watu wanakuja mzee kuna A,B,C unawauliza mwanangu anapata nini hapo? kweli wewe tukupe nchi wewe aaaahhhhhhh common it will be not fair.

Edward Mzee Mangula anafiwa na mtoto wake wa kwanza eti kwa kumfariji unapeleka pole ya milioni 40,000,000, sasa sijui ilikuwa ni kejeli au ni nini? maana Mzee Mangula alizikataa zikarudi kwa aibu ukapeleka wewe cheque ya 5,000,000 ambayo Richard Kasesera aliichukua na fedha zikatumika katika msiba tu.

Edward kumbuka ukiwa PM ulitaka serikali itumie magari ya MACEDES BENZ ndio za serikali, kwani ulishaandaliwa dau la $15,000,000milioni, leo wewe kweli tukupe nchi wewe kweli haya bana haya ni machache muda ukifika watafunguka zaidi wanaoipenda nchi hii

Kiukweli EL ni mtu wa kuogopwa kama UKOMA,ni mtu ambaye CCM wakifanya makosa wakamsimamisha,na wapiga kura vivyohivyo tukakosea kwa kuendekeza njaa tulizonazo kwa kuhongwa vijisenti kidogo na hatimaye tukamchagua,hakika nawaambia TUTABINAFISISHWA hadi mimba za kina mama wangali WAJAWAZITO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom