Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 554
Ni vita ya Mmasai wa Monduli na Mswahili wa Msoga. CCM wanajaribu kutikisa kiberiti cha Lowassa lakini hawamuwezi kabisa, kama walishindwa kumvua gamba hawataweza tena kumzua kugombea urais. Fisadi Lowassa kajipanga kugombea urais kwa tiketi ya CCM na kwa hilo hakuna wa kumzuia.
Utakua humjui Lowasa wewe!! Hii game ndogo kwake, muulize Nape akwambie.