byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,034
- 918
kweli nyie ndo wenye sera ya kuifanya elim iwe bure! Cdm mbna mnachukia sana elim,?
Kichwa kizuri kama kile hakiwezi kuchonga degree. Tambua pia drop outs za University huku uswahilini ni dhahabu ambazo hata wasomi huja kugundua na kuzitumia.....Kasome habari za Steve Jobs na Bill Gates hata scientist wakali kama Charles Darwin na Gregor Mendel. Akili bora kabisa duniani haikupatikana shuleni bali huko tunakwenda kutafuta vyeti na kutambulika (recognition) tu.[h=1][/h]Kuna sehemu pale mitaa ya samora zipo za kuchonga...
kweli nyie ndo wenye sera ya kuifanya elim iwe bure! Cdm mbna mnachukia sana elim,?
na unaongelea elimu ipi kati ya hizi zifuatazo
1- baada ya uhuru enzi za uongozi wa nyerere?
2- baada ya nyerere enzi za mzee mwinyi?
3- baada ya mwinyi enzi za nzeee nkapa?
4- baada ya nzee nkapa enzi za division 5 na shule za kata na maswali ya hisabati ya kuchagua?
kwa IQ ya jj mnyika kusoama elimu hii ya div 5 ni kumuingizia ujinga na kufisha kipaji chake...mnyika hatakiwi kufanya mtihani wenye majibu ya kuchagua watu wanafauli kwa kuimba ana-ana ana dooo displini......endelea bana na wewe huo wimbo si unaujuwa.
jj mnyika anatakiwa kufanya mtihani unaompika uelewa wake wa 2+2 kwanini iwe 4 na sio 22.....sijui umenielwea nachomaanisha?
mnyika sio wa kusoma uzalishaji wa umeme kwa kutumia fossil engine au treni za kuni...huyu anatakiwa asome train ya umeme na sio tuu normal train bali aanzie na bullet trains.....umeelewa lakini?
jj mnyika ni level ya kina steve jobs, bill gates, mimi hapa, kina nyerere, kina kwame nkrumah, patrice lumumba, isack newton, albert einsten na wengineo wachache sana tuliobaki duniani.
ni hayo tuuu.
hivi wewe mla rambi rambi unayo degree ya upolisi eeenhKuna sehemu pale mitaa ya samora zipo za kuchonga...
Kichwa kizuri kama kile hakiwezi kuchonga degree. Tambua pia drop outs za University huku uswahilini ni dhahabu ambazo hata wasomi huja kugundua na kuzitumia.....Kasome habari za Steve Jobs na Bill Gates hata scientist wakali kama Charles Darwin na Gregor Mendel. Akili bora kabisa duniani haikupatikana shuleni bali huko tunakwenda kutafuta vyeti na kutambulika (recognition) tu.[h=1][/h]
Kuna sehemu pale mitaa ya samora zipo za kuchonga...
sasa mtu na akili zake anajiitaje KIBOGA?
Uzezeta huu
Mi-bavichaaa hovyo sana
Kama mimi ni BAVICHA wewe wakati ulipokuwa unaishabikia CHADEMA kwa sababu ya uwepo wa Zitto ulikuwa jumuia ipi ya CHADEMA au ulikuwa CHADEMA kwa kuwa ulikuwa au ni mke Mtarajiwa wa ZITTO maana nyie vibinti mkiona mtu hajaoa mnampapatikia sana.
Ukija na ile ID yako ile nyingine unakuwa sawa. Ukitumia hii unakuwa kama chizi vile, why?
Kwa upeo wako, mpaka sasa kuna mbunge gani awe ni Prof,Dr ana dregree level anamzidi JJ Mnyika, iwe kwa Hoja,Mswaada binafsi, kuuliza maswali,ama kuchangia kwa mdomo na maandishi bungeni toka 2010, nani anaongoza!?
Achilia mbali uvaaji wa Mnyika toka yupo UDSNM nani anaongoza kwa wabunge wote?
Achilia mbali kipaji alicho nacho ni kijana yupi aliwapoa seminer wabunge akiwemo JK kipindi kile mbunge na seminer ikawa na mashiko na kuanzisha sera ya vijana?
Ni mbunge yupi ama mjumbe yupi hatembelei ama kumiliki gari la kifahari zaidi ya JJ Mnyika? Coz mpaka leo anatumia Toyota vitz.,
MNYIKA kwa kuwa na serikali mbovu, walimbania UDSM, degree yake ( nchi zingine ni graduate) lakini Mnyika ni zaidi ya Graduate wa hayo ma PhD na prof wenu, sababu kawazidi wote hadi mkuu wa nchi kwa uelewa na michango yake(kigezo bungeni nani zaaidi)kama raisi ni sehemu ya Bunge?
Daima huwa sijutii kukesha na kulinda kura za JJ Mnyika Ubungo.
Namshukuru pia alishawahi kujibu kuwa, atasoma siku ambapo CHADEMA itachukua nchi, kwa sababu sasa haoni umuhimu huo coz anawazidi hadi ma prof wa maccm.
Ok JK Phd ameipata wapi?
Kuna sehemu pale mitaa ya samora zipo za kuchonga...
Mtu yeyote anaechukia elimu (mfano wewe) ni lazima mtakuwa kwenye kapu moja na Mnyika la kukimbia shule.
Pamoja na yote uliyoeleza (ingawa ni pumba tupu) ila the fact remains kuwa Mnyika HANA shahada na Watanzania wenye elimu zetu hatutaki kuongozwa na vilaza. Simple as that.
BTW: katazame biography ya Bill Gates, Steve Jobs na Mark vizuri maana naona umedanganywa na wewe ukadanganyika kuhusu hao watu.
kaka lugha ya wasomi ni ngeli,hivyo mie mzungu!UOTE=ngafu;8863816]Wewe umesoma? hapo kwenye blue ni nini?