Picha za Warembo Wetu Wa Zamani - Wako Wapi Na Wanafanya Nini?

Nice thread. . sikuwai kufurahia ushindi wa richa adhia, nasreen karim, angela damas! in particular order, walibaki wenginevilibidi nizoee tu! my bestiest from that list, Nancy sumari, jackline ntuyabaliwe, happynes magese, miriam ikoa, faraja kota. in particular order lol. .

nasuuzika sana na sylvia bahame 2003
 
How come Miriam Odemba ain't in the damn list? She's dark, lovely and hot like hell!

3.jpg





next tyme chamba kwanza ndio ukurupuke...
maana umetoka na nnya
 
Zamani ilikuwa ngumu sana kula Miss, siku hizi rahisi kama unasukuma mlevi. Hata Charles Baba naye kala miss wa 200., tehe tehe namba baada ya tano.
 
hey da dude.....list ya waliowahi kuwa ma miss tz.....Miriam hajawahi kuwa miss tz....
Ndo maana huwa mnafeli mitihani, wapi wameandika mamiss, Kichwa cha habari kinasemaje? Picha za warembo wetu wa zamani, pigia mstari warembo, hakuna mahali wameandika mamiss... Kuwa makini!
 
next tyme chamba kwanza ndio ukurupuke...
maana umetoka na nnya

Wewe bwe.ge mtozeni ndo umekurupuka, kichwa cha habari kinasema picha za warembo, kwahiyo mrembo ni lazima awe miss? Sod, unatoa hadi povu kwa kupost ujinga hapa. Usirudie siku ingine boya ww
 
Wema sepetu mara ya mwisho nimekutana naye pakistan nadhani yuko kule kama mwambata kwenye ubalozi wetu
 
nargis mohamed na mercy ghalabawa walibichanganya sana akili kwenye utoto-ujana wangu japo siwajauwi wala sijawahi kuwaona mpaka leo
 
Mmetishaaaa kiujumlaaa mmeniachaa saana maana hii mambo iko mbali na mm sasa
Acha move iendeleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom