picha za vinega zinaongea bila hata maneno yoo part 2

Tatizo vinega hawana strategies
Kuimba kumtukana ruge na clouds sio kupambana na mfumo mbovu.
Lakini pia ni ukweli usio pingika kuwa vinega wengi wao kama sio wote ni buch of looser in game
 
Sasa kama miaka yote mmekuwa mkiwaabia unategemea huo 'usafi' utatokea wapi? Hii ilikuwa ni njia mojawapo ya kuwaonyesha mashabiki wao kuwa kwasababu ya mfumo nyonyezi unaoendekezwa na watu kama Ruuugeeee (aka 'snitch') hawa jamaa ndio maana wako hivyo.

Nyie mbaki na hao 'wasafi' wenu sisi tutaendelea kuburudika na hawahawa mnaowaita 'wachafu'.

Umeongea vyema mkuu. Wasanii wetu wananyonywa sana. Wanaofaidika na mziki wa bongo ni hao makupe. Tutaendelea kuwapa sapoti vinega. Tarehe 26 novemba, 2011 pale ustawi wa jamii vinega walituonesha kuwa inawezekana hakuna kulala hadi makupe wasande. Waligemua hao masnitch kule leaders sugu aliwapiga mswaki ile mbaya. Nguvu ya umma nguvu ya umma msilete uk(scratch) fik fik fik
 
Acha tabia za kizabizabina kumuona mwenzio mchafu, we unajiona msafi sana?
Umesikiliza mziki wake anaongelea nini?
Mzandiki tu wewe huna jipya, au ndo umetumwa na hiyo redio ya wafu?

Vinega 100!
Na Sugu ni kama mvua, akiamua kunyesha ananyesha....

Il Gambino.
 
Clouds ndio mmefulia. Yaani isingekuwa Fabulous na ile danganya toto ya DMX msingepata mtu

Bado wanaweweseka clouds na 3-0 za vinega. Leo nimesikia tangazo redio clouds katika daladala ati wakiwashukuru (badala ya kuapologize kwa kuwatapeli kwamba dmx atakuwapo) watanzania kwa kuhudhuria show yao iliyododa pale leaders. Wanaweweseka ndotoni wanamwota sugu akiwasulubu. Nguvu ya umma nguvu ya umma, msilete uk(scratch) fik fik fik
 
attachment.php
 
Tatizo vinega hawana strategies
Kuimba kumtukana ruge na clouds sio kupambana na mfumo mbovu.
Mkuu ukisikia clouds wanavyowapaka jamaa usingesema hayo maneno......kupitia kwa watangwa zaji wao....wamekuwa wanarusha madongo wazi wazi bila uwoga......
Lakini pia ni ukweli usio pingika kuwa vinega wengi wao kama sio wote ni buch of looser in game
Ndio wamenyonywa sana....sasa wamemka....
 
Mkuu ukisikia clouds wanavyowapaka jamaa usingesema hayo maneno......kupitia kwa watangwa zaji wao....wamekuwa wanarusha madongo wazi wazi bila uwoga......

Ndio wamenyonywa sana....sasa wamemka....

Niaje arifu..
 
Back
Top Bottom