Bandika Bandua
Member
- Oct 14, 2011
- 28
- 5
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
Sikiliza mziki wake, kwani unataka msafi lili awe mmeo??Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
Sikiliza mziki wake, kwani unataka msafi lili awe mmeo??
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
Kwa hiyo hulipwa kulingana na usafi wa msanii.....Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...
Huyu ni Afande sele msaliti wa vinega....picha hii dj fetty alikuwa anaitupia madongo sana hata ukienda kwenmye facebook(kama hajaifuta) yake kuna hii pichja kaipondea mbaya....
Wewe ni mpenzi wake na Afande Sele?
Sijui tafsiri ya uchafu ni ipi kwenu? wewe unaangalia usafi? Pichani Selemani Msindi akipagawishwa......
Hujasema tafisri yako ua uchafu ni ipi?
Huyu ni DJ sox wa mabaga fresh cheki alivyo mchafu akafu anataka alipwe ela sawa na fabolous hahahahaha ananukaa yoo...