GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Mkuu nakuunga mkono - kitendo cha kumtoa Mnyika nje ya Bunge kitafanya watu wajadili kauli yake kona zote za Nchi. Kwa jinsi watu walivyopigika kimaisha asilimia kubwa wataunga mkono kauli ya Mnyika na hili litampa umaarufu mkubwa hata maeneo ambako hawakuwa wamewahi kusikia kwamba kuna mwanasiasa anaitwa John Mnyika! Bravo kijana wetu Mnyika!
Kwa hiyo nia kumbe ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, na si kuwatetea wananchi, Asante kwa kutuelewesha hivyo mkuu