Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!


masopakyindi una nidhamu ya uoga, na watu kama wewe ndio mnaochelewesha mabadiliko, ni afadhali kuwa na mnyika mmoja kuliko kuwa na watu kama wewe elfu moja, hovyo kabisa!
 
Kamanda huwa hatishiwi nyau bana! Walidhani wakimuhuju G. Lema ndiyo wataendelea na upuuzi wao bungeni? Tatizo CCM hawataki kupokea facts! Na ndizo zitakazo waondoa 2015. Ahadi za JK ni za matirion lakini kila bajeti ikija wanatenga pesa kiduchu za maendeleo sasa kama siyo kujikaa wenyewe CCM wanategemea nini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!

Mkuu unadhani haki inapatikana kwa kuwachekea mafisadi? Mnyika yuko sahihi 100% namsapoti. Viva Mnyika my role model
 
Huyu dogo ana stress za kukataliwa ubungo, hali si nzuri ubungo yeye analeta uharakati? Mbona mrema kajenga hoja nzuri kwa ajili ya watu wake?

Tunajua mmebaki na mabavu wananchi wamewakataa kila kona Ole Wenu siku zenu zinahesabika! Mtajua laiti msingeliona jua. Mungu yuko upande wetu nani wa kututisha?
 
Huyu dogo ana stress za kukataliwa ubungo, hali si nzuri ubungo yeye analeta uharakati? Mbona mrema kajenga hoja nzuri kwa ajili ya watu wake?
Toa majungu yako wewe, nani anayemkataa. Mnyika ni jembe la uhakika. Labda nyie mnao rambi viatu vya kikwete ndo hamuwezi kumuelewa kamanda.
 
Mnyika kaka yangu. . .nakubaliana na maoni yako. . .Nchi yetu ina viongozi dhaifu, siyo rais tu, asilimia kubwa ya wanaounda serikali yake ni dhaifu, baadhi ya mawaziri ni dhaifu, wabunge, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa, wilaya ni dhaifu, madiwani dhaifu, baadhi ya watendaji dhaifu, udhaifu huo ndio unafanya nchi yetu nayo kuwa dhaifu. . .Nakuunga mkono hoja na nitaendelea kukuunga mkono na hakuna haja ya kufuta kauli.
 
Ipo siku si pesa zake tu watamwibia kitu kisichofikiriwa kuweza kutoroshwa. Alivyodanganywa siku zote kufungua hoteli na kesho yake zinabomolewa, magari anayosafiria kutiwa maji badala ya mafuita, sasa kama si udhaifu basi sifa gani apate?


Ipo siku tutaambiwa mateja ya Kino yamempora Laptop mheshimiwa Rais.
 
7.jpg

Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.

3.jpg

Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo mara baada ya kuondolewa Bungeni leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.
1.jpg

Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka katika ukumbi wa Bunge la Tanzania leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.

Naona na wabunge wenzie wakimpa mkono wa pongezi kwa kusema ukweli wa udhaifu wa prezidaa
 
Ni kweli, jeykei ni dhaifu sana.Jamani tuna madeni zaidi ya trilion 20? Yeye na serikali yake na chama chake wote wadhaifu.
 
My simple advise to Mnyika:
Dont let fame get to your head be calm and collected.
Kama una bifu na JK, jaribu kulinganisha notes na Godbless Lema.
Wewe ni mmoja wa vijana wenye akili CDM, dont go to waste!

Kwani ni uongo JK si dhaifu?
 
Mnyika amekuwa mkweli na Hakupenda kufunika funika maneno kama ambavyo ssm mnafanya, alichofanya Myika leo si kutafuta umaarufu bali ni kuwaambia ccm ukweli ili nao wafunguke na kuuona huo ukweli. Lakini wao hawakuliona hilo na ndilo lililompa umaarufu zaidi Myika.
Kauli kuwa Kikwete ni dhaifu imezagaa mitaani siku nyingi wala Myika sio wa kwanza kuitamka.

Mkuu nakuunga mkono - kitendo cha kumtoa Mnyika nje ya Bunge kitafanya watu wajadili kauli yake kona zote za Nchi. Kwa jinsi watu walivyopigika kimaisha asilimia kubwa wataunga mkono kauli ya Mnyika na hili litampa umaarufu mkubwa hata maeneo ambako hawakuwa wamewahi kusikia kwamba kuna mwanasiasa anaitwa John Mnyika! Bravo kijana wetu Mnyika!
 
jK ni dhaifuuu , dhaifu saana, hata watoto wa awali wanalitambua ilo , after all kuwa dhaifu sio tusi , ni sifa, sifa ya raisi wa tanzania

Mhhh, kwa hiyo kila Rais wa Tanzania ni dhaifu?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Wakati Mnyika anamwoana raisi ni dhaifu mi namwona rais ni mzembe na mpuuzi kabisa! kwake ndo zinatoka kauli kama hizi, "wanaokula rushwa TRA nawajua msipo acha ntawashukia" "mi simjui mmiliki wa dowans hata dowans siijui",..........................................................................the list goes on, ovyooooooooooooooooo kabisa
 
JK ni dhaifu na legelege sana

Mnyika amechanganyikiwa, hajielewi na wala hajijui kwani ameonyesha udhaifu mkubwa sana sana Leo, na km mtu amevunja kanuni ya bunge ambazo aliapa kuzifuata, hapo anaonyesha ni mtu mnafiki na asie aminika
 
Back
Top Bottom