Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

Mkuu nakuunga mkono - kitendo cha kumtoa Mnyika nje ya Bunge kitafanya watu wajadili kauli yake kona zote za Nchi. Kwa jinsi watu walivyopigika kimaisha asilimia kubwa wataunga mkono kauli ya Mnyika na hili litampa umaarufu mkubwa hata maeneo ambako hawakuwa wamewahi kusikia kwamba kuna mwanasiasa anaitwa John Mnyika! Bravo kijana wetu Mnyika!

Kwa hiyo nia kumbe ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, na si kuwatetea wananchi, Asante kwa kutuelewesha hivyo mkuu
 
siku hizi unafanya kazi angaza! Uhuru wakusemahauombwi kwa mtu! Ndiyo maana mungu alitupa midomo ni uhuru niliozaliwa nao mie wewena wote!

mkuu si kufanya kazi angaza bali amejawa na woga kama alivyosema peter msigwa watu wanaweka weledi wao mfuko kisa kujikomba...
 
Tanzania yangu, siasa za vyama vingi hamuziwezi! Ziacheni kama zilivyo na wazifanye wale wanaojua siasa nini maana yake. Huku Majuu watu wanaweza sema lolote kuhusu rais wao iwe bungeni au ktk TV kutokana na UDHAIFU wa kiongozi yeyote yule. Maana ya Upinzani ni pamoja na kuonyesha udhaifu wa kiongozi, chama kutokana na mipango yao ya maendeleo kwa Taifa. Udhaifu wowote ule hauwezi kujengewa kinga ya rais kwa sababu udhaifu ni kipimo cha uwezo wa mtu na unaweza kuepukwa ama kuondolewa.. Ifike wakati tukubali kukosolewa maana JK kweli dhaifu na hatuwezi kumpamba kwa mafuta wakati udhaifu wake upo wazi kabisa.

Mfumu mzima wa UJAMAA ambao unawafanya wananchi na viongozi wengine kuwa vikaragosi wa mkuu wa nchi ktk kujenga Nidhamu ya Woga, ndio kati ya makosa makubwa sana alotuachia Nyerere na siasa za Kikumunist ambazo chama kimoja tu ndicho chenye dhamana na mawazo mbadala ya ujenzi wa Taifa na fikra za mwenyekliti ndizo pekee zenye maana.

Waswahili husema - Afichaye maradhi kifo humuumbua. Maana ya Demokrasia ni kuwepo ushindani na asiyetaka kushindana siku zote hutumia maguvu kuonyesha ubabe hata akiwa ulingoni. Binafsi yangu ningependa sana wabunge wa CCM, spika nawengine wote watueleze vizuri Mnyika alitakiwa kusema maneno gani ili isionekane tusi ikiwa kuna udhaifu umefanyika ktk maandalizi ya bajeti hii. Nani wa kulaumiwa ikiwa sii rais mwenyewe na neno gani lingetumika badala ya DHAIFU.

Siasa za vitisho na ujenzi wa nidhamu ya woga haiwezi kutumiwa kama zana ya kuondoa demokrasia nchini. maadam tumekubali na kupokea siasa za vyama vingi ni muhimu sana na lazima tukubali kwamba kila mmoja wetu ana udhaifu wake na inapotokea kukosolewa tujiandae kutafuta suluhu na sii maguvu ya Ulazima. Nchi yetu inakabiriwa na adui Ujinga, hii ina maana sisi kwa wingi wetu ni wajinga, hatuna elimu yakutosha kuliendeleza Taifa letu. Haya sii matusi bali ni kuelewa mapungufu yetu hivyo tunaiweka nguvu kubwa ktk kuondoa Ujinga na kwa kufanya hivyo tutaweza kuendelea.
 
Pengine Kikwete mwenyewe hata asingetaka yaende hivi. Mpambe nuksi. Hasa kama akiwa airhead kama Ndugai.

Sasa kinachotokea hapa Mnyika anapata ushujaa (wananchi wengi hasa wa mijini wanaamini Kikwete ni dhaifu), Ndugai anaonekana mkoloni, na CCM inaonekana inatawala kimabavu na kwa kulindana huku ikibana hata uhuru wa kikatiba wa wananchi na zaidi ya hapo kutojali kinga ya kibunge ya Mnyika.

Mimi nilisema kitambo hapa kwamba huyu Ndugai ni bogus, wengine wakabisha.

They (Ndugai and his ilk) are shooting themselves in the foot and spending political capital on a matter that is debatable and can be left to the masses of Tanzanians to judge.
 
Tanzania yangu, siasa za vyama vingi hamuziwezi! Ziacheni kama zilivyo na wazifanye wale wanaojua siasa nini maana yake. Huku Majuu watu wanaweza sema lolote kuhusu rais wao iwe bungeni au ktk TV kutokana na UDHAIFU wa kiongozi yeyote yule. Maana ya Upinzani ni pamoja na kuonyesha udhaifu wa kiongozi, chama kutokana na mipango yao ya maendeleo kwa Taifa. Udhaifu wowote ule hauwezi kujengewa kinga ya rais kwa sababu udhaifu ni kipimo cha uwezo wa mtu na unaweza kuepukwa ama kuondolewa.. Ifike wakati tukubali kukosolewa maana JK kweli dhaifu na hatuwezi kumpamba kwa mafuta wakati udhaifu wake upo wazi kabisa.

Mfumu mzima wa UJAMAA ambao unawafanya wananchi na viongozi wengine kuwa vikaragosi wa mkuu wa nchi ktk kujenga Nidhamu ya Woga, ndio kati ya makosa makubwa sana alotuachia Nyerere na siasa za Kikumunist ambazo chama kimoja tu ndicho chenye dhamana na mawazo mbadala ya ujenzi wa Taifa na fikra za mwenyekliti ndizo pekee zenye maana. Waswahili husema - Afichaye maradhi kifo humuumbua.

Maana ya Demokrasia ni kuwepo ushindani na asiyetaka kushindana siku zote hutumia maguvu kuonyesha ubabe hata akiwa ulingoni. Binafsi yangu ningependa sana wabunge wa CCM, spika nawengine wote watueleze vizuri Mnyika alitakiwa kusema maneno gani ili isionekane tusi ikiwa kuna udhaifu umefanyika ktk maandalizi ya bajeti hii. Nani wa kulaumiwa ikiwa sii rais mwenyewe na neno gani lingetumika badala ya DHAIFU.

Siasa za vitisho na ujenzi wa nidhamu ya woga haiwezi kutumiwa kama zana ya kuondoa demokrasia nchini. maadam tumekubali na kupokea siasa za vyama vingi ni muhimu sana na lazima tukubali kwamba kila mmoja wetu ana udhaifu wake na inapotokea kukosolewa tujiandae kutafuta suluhu na sii maguvu ya Ulazima. Nchi yetu inakabiriwa na adui Ujinga, hii ina maana sisi kwa wingi wetu ni wajinga, hatuna elimu yakutosha kuliendeleza Taifa letu. Haya sii matusi bali ni kuelewa mapungufu yetu hivyo tunaiweka nguvu kubwa ktk kuondoa Ujinga na kwa kufanya hivyo tutaweza kuendelea.

Mkuu nakuhshimu, umesikiliza bunge la leo?
 
Huo ndio UANAUME!!! MWANAUME MSIMAMO BWANA,SIYO KUYUMBA YUMBA!!! Mnyika alimaanisha kusema RAIS KIKWETE NI DHAIFU. Na ni kweli KIKWETE NI DHAIFU KWELI KATIKA UONGOZI. Hilo liko wazi kabisa.
 
Nitapasua kioo cha laptop kwa hasira, mtu mzima una utovu wa nidhamu. Aisee inauma sana. watu wamekuchagua ukatoe maneno machafu bungeni?
Pole sana. Ukiwa gamba lazima utaumia sana hata mahali ambapo hustahili kuumia. kisa ni kwa kuwa gamba mwenzio ameambiwa ukweli, na ukweli siku zote unauma. Tuoneshe ni kamusi gani inayosema neno udhaifu (weakness) ni tusi au ni utovu wa nidhani?
 
UKisikia ushabiki wa kitoto ndio huu. Hivi sababu ya kusema Rais ni dhaifu na wewe unajua kabisa kutokana taratibu za Bunge utatolewa nje tena ukiwa na hoja za msingi kabisa za kusaidia taifa hili halafu ndiyo kuwa jembe???????? Acheni utoto nyie, hatujamtuma Bungeni kwenda kupoteza muda na kuchukua posho ambazo hakuzifanyia kazi. Yeye ana hoja nzuri kabisa, hivi hawezi kuziwasilisha bila kuvunja kanuni za Bunge. Hii dhana ya kufikiri kwamba kila jambo ni lazima kutumia lugha za matusi, maguvu, vitisho vitaigharimu CHADEMA. Jifunzeni kutoka kwa NCCR na TLP!!!!!!! CHADEMA ni chama ambacho kwa sera karibu kila mtu anavutiwa kujiunga lakini inapofikia wakati wa kupresent hizo sera ndipo shida inapoanzia na ndipo mahali wapinzani wenu watakapojengea hoja za kuwamaliza kama si leo ni kesho. Take care.
 
KIKWEEEEEEEEEEEETEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee CCM JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP, JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP , JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUP

Huo nao ni Udhaifu!!! Kushangilia upuuzi ni udhaifu!!!, yani na wewe ni dhaifu!!.
 
Ushauri wa Masopakyindi kwa Mheshimiwa Mnyika ni wa mtu mwoga. Mtu mwoga hawasilishi mawazo yake anawasilisha mawazo ya anaowaogopa. Kila akitaka kuwasilisha mawazo yake huwaweka mbele anaowaogopa. Mnyika ni jasiri husema na kusimamia hoja yake anayoiamini. Masopakyindi na Mheshimiwa Mnyika hawawezi kukaa pamoja. Ni kama tumbo na mgongo.
Kitendo cha CCM Kuwatoa nje wabunge wenye mawazo tofauti na yao kinaibomoa zaidi CCM na kuwajenga CDM. Hakuna tofauti na kile kitendo cha kukataza kumbeba Agustino Lyatonga Mrema mwaka 1995.
Kilichotakiwa ni kujibu hoja inayokanusha maoni ya Mheshimiwa Mnyika kwa matendo na sio maneno matupu. Mnyika ameonyesha ni jinsi gani na maeneo gani Rais amekuwa dhaifu. Jibu lake sio hasira na kumtoa nje mtoa hoja. Hii haitafuta ukweli aliousemea Mnyika badala yake utakoleza hoja na kuipa mshiko zaidi. Maandiko matakatifu( Biblia) inasema '' Hasira huka kifuani pa wapumbavu'
 
Kuna haja ya kutafakari kwa kina kama neno dhaifu ni wakati gani likitumika linaleta tafasiri ya tusi na wakati gani linakuwa na maana ya sifa. Kwa uelewa wangu hakuna binadamu asiye dhaifu labda kama tunaukataa udhaifu wakati tukiishi na udhaifu.
Sasa kama Rais ni dhaifu kiuongozi, hiyo ndiyo sifa yake, ingawa kwa upande mwingine anaweza akawa si dhaifu kwenye mambo mengine.

wkato wote binadamu ah hata kiumbe hai lazima atakuwa na sifa zinazomtofautishana wengine ili kumfanya aeleweke na hii si kwa yeye tu mkuu hata viongozi wengine Duniani wametamburika kwa sifa zao binafsi kama ukatikili, jasiri, ubishsi, dhaifu na nk. Ukipewa mtihani harakahara ubaineshe sifa za Mugabe, Kagame, Bushi, Nyerere na nk kila mmoja atatamburika kwa sifa tofauti na ya mwingine na hii ni kawaida siku zote.Bahati mbya tumezoea kusikia neno situation analyisis hatukuzoea kusikia personal analyisis au individual analyisis. Sasa hawa jamaa wa kijani hawataki kufahamu hiyo nayo ni sifa ya kibinadamu hakumwita mbuzi, au nguruwe.Ukitafuta sifa kubwa sana ya mwalimu Nyrere ya kwanza utakuta ni mzalendo wa kweli kitu ambacho kinaonekana kwa matendo yake na wala si vyeti vyake vya shule au sura yake.
 
Kuna haja ya kutafakari kwa kina kama neno dhaifu ni wakati gani likitumika linaleta tafasiri ya tusi na wakati gani linakuwa na maana ya sifa. Kwa uelewa wangu hakuna binadamu asiye dhaifu labda kama tunaukataa udhaifu wakati tukiishi na udhaifu.
Sasa kama Rais ni dhaifu kiuongozi, hiyo ndiyo sifa yake, ingawa kwa upande mwingine anaweza akawa si dhaifu kwenye mambo mengine.

Wakati wote binadamu au hata kiumbe hai lazima atakuwa na sifa zinazomtofautisha na wengine ili kumfanya aeleweke na hii si kwa yeye tu mkuu wa nchi hata viongozi wengine Duniani wametamburika kwa sifa zao binafsi kama ukatikili, jasiri, ubishi, dhaifu na nk. Ukipewa mtihani harakahara ubainishe sifa za Mugabe, Kagame,Idd Amini Dada Bushi, Nyerere na nk kila mmoja atatamburika kwa sifa tofauti na ya mwingine na hii ni kawaida siku zote.Bahati mbaya tumezoea kusikia neno situation analyisis hatukuzoea kusikia personal analyisis au individual analyisis. Sasa hawa jamaa wa kijani hawataki kufahamu hiyo nayo ni sifa ya kibinadamu hakumwita mbuzi, au nguruwe.Ukitafuta sifa kubwa sana ya mwalimu Nyrere ya kwanza utakuta ni mzalendo wa kweli kitu ambacho kinaonekana kwa matendo yake na wala si vyeti vyake vya shule au sura yake.
 
Mungu akutie moyo usiwae na hofu hata kwenye vikao vinavyofuatia walipue tu kwa udhaifu wao ndo waliotuifikisha katika umaskini huu
 
[B]Mhe. Mnyika upo sahihi.Na kamwe usifute kauli hata kama wakukate kichwa, kauli yako ni kauli ya wananchi hasa wapenda maendeleo.Wamezoea kusifiwa hata kwenye upuuzi.zipo sababu rukuki za kusema rais ni dhaifu.nasema tena Raisi Kikwete ni mdhaifu toka enzi za nyerere sasa mpaka milele,nchi imemshinda kutawala na hili hata mwl nyerere alishasema mapema kabisa.[/B]
 
Haina shida kwakuwa mh. Mnyika alitoka nje lkn maneno yake ya kuwa Rais ni MDHAIFU yalibaki ndani na kimoyo moyo wabunge wote na wageni waalikwa wanalijua hilo kuwa mkuu dhaifu mnoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!.
 
another pumbaman

Back
Top Bottom