Picha za Makamanda Vitani na Wapiganaji wao: CHADEMA yaweza kujifunza somo?

The issue is security au unazungumzia you just don't like cdm uniform? Be clear a lit bit. Yes kuna issue ya security sana ktka maandamano ya wananchi na viongozi wa cdm na hasa ulinzi wa viongozi wa cdm. Kweli kuna njama za kuwauwa na kutumia mipango ya ccm, but the complains about the uniforms are bases.

Maybe its best you contact uongozi, kuna uwezekano watakueleza theirs strategy. I always contact uongozi wa cdm na wapo very open to dialog with you na wanapenda sana maoni ya wananchi.
 
Mkuu you have pointed an important issue which has been bothering me for a long time. I think we should now look beyond the robes. Since the hood does not make the monk, we must insist that issue-driven message, rather than costume, should be the rallying point of political campaigns. Mbona akina Obama na Blair walikuwa wanapiga kampeni wakiwa wamevaa suruali na mashati ya kawaida tuu? Wao walikuwa wanapiga kampeni juu ya real issues na jinsi vyama vyao vitakavyo-solve hayo matatizo.

Indeed, tena wanaohudhuria kwenye kampeni za vyama vya siasa huko Marekani huwa wanabeba bendera ya taifa lao. Ukumbi unapabwa na rangi za taifa lao, sio rangi ya chama fulani. Lakini hapa Tanzania ni tofauti. Kwa waliofuatilia zile kampeni mwaka jana, watu walijipamba kwa rangi na bendera za vyama vyao, nk. Our national flag was no where to be seen, which led me to think if the parties were actually campaigning for the national or party interests. Badala ya kutu-unite through our national flag, our political parties are dividing us through their party colours. Watanzania siku hizi tunaji-identify zaidi kupitia rangi za vyama vyetu kuliko rangi za bendera ya taifa. Unapita mitaani unakuta watu wametundika bendera za vyama vyao badala ya bendara ya taifa. Ukija mgogoro wa kidini who knows wakristu na waislamu nao wataji-identify kwa mavazi yao. Makabila nayo yatafanya hivyo hivyo.

Let's emphasize issues, not dresses. Wanasiasa wanaweza wakavaa kawaida tuu na wakawa na focus kwenye rallies. Let's not dress up our politicians more than we address the issues affecting us on a daily basis. Even if we want to dress them up, then let's try dressing up using our national colour. But the important issue is that our politicians should be more natural and place more emphasis on delivering the substance of their manifestoes. They should go for the substance and not for the form, for the latter would not help the average voter to make an informed choice. Tuvijunie zaidi rangi za taifa letu, sio rangi za vyama. Vyama vitakuja na kuondoka, but our national colour will always be there.

tanzania-flag.gif

You are trying to say Tanzanians don't embrace issues or don't unite themselves behind their flag? or Don't understand what's happening to their lives today? Tuelezee zaidi ....
 
Kuna watu wamerudia suala la kuvaa rangi za taifa; kwa kweli hili nimelipenda vile vile na naamini litabadili pia mtazamo wa kichama; binafsi ninachopendekeza mimi awali ilikuwa ni kuvaa rangi za chama chao (kwa sababu tuna utamaduni wa kuvaa rangi za vyama tayari) lakini kama hilo ni gumu basi wavae rangi za taifa na kuhamasisha wanachama nao kufanya hivyo hiyvo. Haya magwanda (ni maoni yangu tu) kwa kweli yamepitwa na wakati wake.

I don't think kuvaa rangi ya bendera ya Taifa ndio kuonekana relevant zaidi. Bendera ya Taifa is so special to our country and myself I don't think we shouldn't cover ourselves often like that. The major concerns ni issues relevant to Tanzanians and cdm is winning this fight, we can always improve. If we want to discuss how cdm should focus on chronography their public appearance that can be done and wapo wazi kwa haya mawazo. I still think you can contact them to help cdm for more improvements, they are open for this (emails or phone work mkuu).
 
magwanda ya chadema ukivaa unaheshimika sana mitaani, tofauti na jezi za ccm ukivaa watu wankushangaa wanaona kama umechanganiyikiwa vile. ushahidi ninao.
source:mimi
 
Mwanakijiji, wengine tunafanya kazi ya ku-gather information kutoka ndani ya ngome ya adui, na sisi unataka tuvae magwanda?
 
Hayo magwanda mie naona poa tu, hata kama yanafanana na ya mgambo bado dhamira ni ileile kumkomboa mwananchi wa Tanzania. Tuliona Britney Spears amevaa shera za bei mbaya na kuomba talaka siku 18 baada ya ndoa. Kulikuwa na haja gani ya kutumia gharama zote hizo?

Ukitumia mfano wa gwanda za mgambo: Tunajua mgambo hawatumii silaha na risasi za moto kutekeleza wajibu wao. CHADEMA kama mgambo, hawatumii risasi za moto bali risasi za HOJA huku CCM wakitapatapa na KUJIVUA GAMBA.
 
Je Mwanakijiji bado unaamini kuwa CDM inatakiwa kuiga "mfano mzuri wa CCM" kwenye suala la mavazi ya kichama..?

BenoMelisa.jpg
 
Uniformity
You can refer to the particular style of clothing which a group of people wear to show they belong to a group or a movement as their uniform.

Natumaini kwa upande wangu nimemwelewa kama hivyo hapo juu,Mzee Mkj.Ukitizima mpaka sasa CDM awajaeleweka wamesimama wapi.Ukiangalia Picha ya CDM hata mavazi [Dressing] yao inaonekana kwa makamanda wao tu,yaani viongozi wao tu.Ili hali wafuasi wao [Wanachama] wanaonekana kama kundi la wapita njia waliovamia msafala wa mvuto wa mavazi ya wakuu wao,ambao pia hauna rangi sahihi.

Kama wameamua hivyo inavyosema hapo juu basi wanapaswa kujipanga na kutengeneza muonekano [image] ya chama chao cha CDM kutoka ngazi ya chini mpaka Taifa.Ina maana hata Wafuasi wao ambao pia ndio wanachama wao wnapaswa kuelekezwa wavae nini ni aina gani ya vazi walitumiae kama vazi la utambulisho na mwonekano [Yaani CDM Dressing Code].

Mwonekano ndio hutoa tafsiri ya awari ya utambulishi wa kitu chochote [Kwa namna nyingine waswahili usema umalidadi unaficha mengi.Na hivyo hivyo muonekano wa Viongozi na wanachama wa CDM ndio picha ya kikosi kamili na lengo kuu la chama cha CDM.

Manake hapo ni shagala baghala ukiachi viongozi wao mwonekano wao pia ni mkologanyo wa rangi tofautitofauti kibao.Chagueni image ambayo itatengeneza MWONEKANO [IDENTITY] ya CDM kwa Watanzania na kutafsiri matendo na maneno yenu kupitia MUONEKANO
 
Back
Top Bottom