Picha za avatar zetu kwa ukubwa

"Thread hii ni kwa ajili ya kuweka picha tulizoweka kwenye avatar katika hali ya ukubwa,kuna mtu anaweza akaipenda avatar yako lakini akashinda kipata kisa ni ndogo lakini ukiupload hapa itakuwa vizuri zaidi"

Onyesha hatua za kupitia ili tukuze tuzitume
 

Attachments

  • White men.jpg
    White men.jpg
    4 KB · Views: 52
Haaaaaaaaa hapo usalama wa mali 100% ni kama sirikali ya tz imelala halafu wanatuambia ulinzi upo safi,bush anakuja na ndege ya kijesh anachukua twiga anaondoka

Ndo hii avator inamaanisha hivyo ama ni maelezo mengine tu?
 
Mkuu Nzi i ataingia kwenye Tundu hiLo hi kali sana Hufaikuwa Mlinzi au ndio joto la Dares-alaamu?????????????

Yaani huyu unamuwekea sukari mdomoni then unamchapa kibao, akishtuka anakutana na sukari. Anamung'unya kidogo kisha anaendelea kupiga usingizi. Kazi ni kwako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom