Picha za avatar zetu kwa ukubwa

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,656
68,604
Habari Wadau,

Thread hii ni kwa ajili ya kuweka picha tulizoweka kwenye avatar katika hali ya ukubwa,kuna mtu anaweza akaipenda avatar yako lakini akashinda kipata kisa ni ndogo lakini ukiupload hapa itakuwa vizuri zaidi

Avatar Yangu:
attachment.php
 

Attachments

  • Askari Kalala.bmp
    1.3 MB · Views: 96
  • Askari Kalala.JPG
    Askari Kalala.JPG
    49 KB · Views: 1,641
Habari Wadau,Thread hii ni kwa ajili ya kuweka picha tulizoweka kwenye avatar katika hali ya ukubwa,kuna mtu anaweza akaipenda avatar yako lakini akashinda kipata kisa ni ndogo lakini ukiupload hapa itakuwa vizuri zaidiAvatar Yangu:
attachment.php
Mkuu Nzi i ataingia kwenye Tundu hiLo hi kali sana Hufaikuwa Mlinzi au ndio joto la Dares-alaamu?????????????
 
Hahahahaaa yaani katika avatal nizipendazo ni hii mkuu

Haaaaaaaaa hapo usalama wa mali 100% ni kama sirikali ya tz imelala halafu wanatuambia ulinzi upo safi,bush anakuja na ndege ya kijesh anachukua twiga anaondoka
 
Back
Top Bottom