Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ili nikubali, lazima kuwepo mbao mpya kwenye nyymba husika ambazo hazinjanyeshewa mvua kama ninavyoona hapo pili nijue kwanini Maria anajificha mpaka aje kwa hali ya watu kubahatisha
<br />Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.<br />
<br />
Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?
Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.
Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?
Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.
Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?
mi najibu swali lako tu!
kamwe hawezi..
Quran 18:110 waambie bila shaka mimi ni binadamu kama nyinyi. Duh! Allah ni binadamu kumbe??!
110. Ewe Mtume! Waambie watu: Hakika mimi ni mtu tu kama nyinyi, nimetumwa kwenu, nikufunzeni aliyo nifunza Mwenyezi Mungu. Nimefunuliwa (yaani nimepewa Wahyi) ya kwamba Mungu wenu ni Mmoja, hana mshirika wake. Anaye tumai kukutana na Mwenyezi Mungu na kupata malipwa yake, basi naatende vitendo vyema kwa usafi wa niya, na ajitenge mbali na kumshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote katika ibada.
Maxsimba bana!!! hivi kwanini una Ids nyingi hivi... sijaona tatizo katika hiyo ayat! YA 110 hebu isome hapa Commentry Sura 18
Kumbuka Bikira Maria alivyowatokea Lucia, Francis na Yasinta kule Ureno.
Eti bana, hivi kila mwanga unaoakisiwa mfano kwenye kioo cha gari kama inavyoonesha kwenye picha hiyo hapo juu.
hata huko ureno kama haikuwa usanii, ngano (legends) basi ilikuwa ushirikina tu. designation ya "Bikira" ni ya kiitifaki zaidi na ilitokana na hisia tu na hoja za kuumba kwa akili (dogmatic thought), haina uhalisia wowote wala si sehemu ya ufunuo wa kibiblia, Maria alizaliwa kwa baba ya mama kama watu wengine na mwisho wa uhai wake alifariki kama wanavyokufa watu wengine wowote na kuzikwa na hajawahi kufufuka. naye analingojea tumaini la watakatifu la ufufuo wa siku ya mwsho. kwa hivyo hawezi kutokea akiwa na mwili, labda iwe hao watu walitokewa na mzuka tu. asomaye na afahamu
nanyi mtaijua kweli na hiyo kweli itawaweka huru
amani iwe kwenu, mbarikiwe sana
Glory to God!
Kama wewe huna imani hiyo basi si ukae kimya kuliko sasa kutaka wanaoamini wabadilishe imani yao na kufuata ya kwako. Simple question to you: was Jesus resurrected from the dead in the third day after his death?