Picha ya Virgin Mary yatokea ukutani Finland

Ili nikubali, lazima kuwepo mbao mpya kwenye nyymba husika ambazo hazinjanyeshewa mvua kama ninavyoona hapo pili nijue kwanini Maria anajificha mpaka aje kwa hali ya watu kubahatisha
 
Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.<br />
<br />
Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?
<br />
<br />
We ni nyang'au tu fundulukumunyu we!
 
Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.

Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?

mi najibu swali lako tu!

kamwe hawezi..
 
Hivi kwanini tufananishe sura unayoiona kwa mara ya kwanza na sura ambayo hujawahi kuiona? Hilo lilikuwa shetani tu.

Lakini pia naweza kuuliza, je, mwanamke aliyezaa watoto zaidi ya watatu anaweza kuendelea kuitwa bikira?

Je ni kivipi Marehemu Muham-mad pbuh asiitwe hayati? Na kwanini mtume aliyebaka asiitwe pedophile? You know who!!!
 
Takbir. Kwa mtaji huu, basi wamchukue tu huyu mwana kondoo wa Allah na wampeleke msikitini awe anaishi mule, na wakati wa swala ya Ijumaa awe anakaa mbele na Sheikh akichangia kwa meee, meee zake za hapa na pale. Mavi ya huyu mwana kondoo, Waumini wayakusanye kwa uangalifu na uadilifu mkubwa na kuyatumia kama kiungo kwenye futari zao. Na kondoo huyu asichinjwe! La Hasha! Bali aruhusiwe kuishi nyumbani kwa Sheikh kama mtoto wake wa kuzaa hadi siku yake ya mwisho ifikapo hapa duniani, ambapo mwana kondoo wa Allah atazikwa kwa tartibu na heshima zote za Kiislamu.
 
Quran 18:110 waambie bila shaka mimi ni binadamu kama nyinyi. Duh! Allah ni binadamu kumbe??!

110. Ewe Mtume! Waambie watu: Hakika mimi ni mtu tu kama nyinyi, nimetumwa kwenu, nikufunzeni aliyo nifunza Mwenyezi Mungu. Nimefunuliwa (yaani nimepewa Wahyi) ya kwamba Mungu wenu ni Mmoja, hana mshirika wake. Anaye tumai kukutana na Mwenyezi Mungu na kupata malipwa yake, basi naatende vitendo vyema kwa usafi wa niya, na ajitenge mbali na kumshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote katika ibada.

Maxsimba bana!!! hivi kwanini una Ids nyingi hivi... sijaona tatizo katika hiyo ayat! YA 110 hebu isome hapa Commentry Sura 18

Hivi ni kweli Allah hana Mshirika au msaidizi? Je, Gibreel alikuwa ni nani?

Ni watu gani hao allah anawaambia hayo maneno?
 
ENYI WA UZAO WA NYOKA. NI NANI ALIYEWAROGA....

LAKINI UFAHAMU NENO HILI YA KUWA. SIKU ZA MWISHO KUTAKUWAKO NA NYAKATI ZA HATARI.....2TIMOTHEO 3:1.....nenda kasome.

HAKUNA JINA JINGINE LITUPASALO SISI WANADAMU KUOKOLEWA KWALO ISIPOKUWA YESU KRISTO..

MIMI NDIMI NJIA..NA KWELI...NA UZIMA..MTU HAENDI KWA BABA ISIPOKUWA KUPITIA MIMI....

MWAMINI MUNGU...MNIAMINI NA MIMI.. NYUMBANI MWA BABA MNA MAKAO MENGI...NAMI NAENDA KUWAANDALIA MAKAO..ILI NILIPO NANYI MUWEPO.....

YESU..MAMA YAKO NA NDUGU ZAKO WAKO HAPA NJE WANAKUTAFUTA.....'MAMA YANGU NA NDUGU ZANGU NI WALE WANAOSIKIA NENO LA MUNGU NA KULITII'

JILILIENI NAFSI ZENU NA WATOTO WENU. aliyasema Yesu akimwambia Maria...et al wakati wanamhurumia akipelekwa golgota fuvu la kichwa..msalaba ukiwa mgongoni.

NI ISSA BI MARIAM HUYU...AMBAYE ALIKUWAKO KABLA YA MTUME MUHAMMAD S.A.W ndiye tunaye mzungumzia hapa viza viz. BI MARIAM Mzazi wake ambaye photocopy kivuli chake kimeonekana Finland.
MI NAMSHAURI ATOKEE JAPAN KWENYE VINU VYA NYUKLIA...AU ATANGULIE IGUNGA KWENYE UCHAGUZI MDOGO...AINEKANE KTK NYUMBA YA ROSTAM
 
Usiwe mkali wewe...she is no longer virgin...walizaliwa wengine wengi tu baada ya YESU kama unataka kutetea kuwa ilikuwa Muujiza. Usiwe na dini ya kurithi. Chagua yako sasa una akili zako...ina maana ungemkuta baba ni Kingunge na Babu ni Kinjekitile Ngwale wa Ngalambe ungekuwa huabudu Mungu na wewe? Au ungekuta Anglican kwa askofu shoga ungeendelea? Au ungekuta BABU NI FREEMANSON Ungeabudu uchi pia? Hatari sana hii. Una utashi...roho...na akili...KENGEUKA BANA
 
Nitakusomea al badri wewe? Unajiita Mkristo wakati mlevi...na una nyumba ndogo...ihalalishe na watu washuhudie...itakykwamisha
 
Kumbuka Bikira Maria alivyowatokea Lucia, Francis na Yasinta kule Ureno.

hata huko ureno kama haikuwa usanii, ngano (legends) basi ilikuwa ushirikina tu. designation ya "Bikira" ni ya kiitifaki zaidi na ilitokana na hisia tu na hoja za kuumba kwa akili (dogmatic thought), haina uhalisia wowote wala si sehemu ya ufunuo wa kibiblia, Maria alizaliwa kwa baba ya mama kama watu wengine na mwisho wa uhai wake alifariki kama wanavyokufa watu wengine wowote na kuzikwa na hajawahi kufufuka. naye analingojea tumaini la watakatifu la ufufuo wa siku ya mwsho. kwa hivyo hawezi kutokea akiwa na mwili, labda iwe hao watu walitokewa na mzuka tu. asomaye na afahamu

nanyi mtaijua kweli na hiyo kweli itawaweka huru

amani iwe kwenu, mbarikiwe sana

Glory to God!
 
Usiwe mkali wewe...she is no longer virgin...walizaliwa wengine wengi tu baada ya YESU kama unataka kutetea kuwa ilikuwa Muujiza. Usiwe na dini ya kurithi. Chagua yako sasa una akili zako...ina maana ungemkuta baba ni Kingunge na Babu ni Kinjekitile Ngwale wa Ngalambe ungekuwa huabudu Mungu na wewe? Au ungekuta Anglican kwa askofu shoga ungeendelea? Au ungekuta BABU NI FREEMANSON Ungeabudu uchi pia? Hatari sana hii. Una utashi...roho...na akili...KENGEUKA BANA
 
Je, na hii picha ya avatar yangu unaweza kusema msalaba wa Yesu unaelea juu ya mlima?

hata huko ureno kama haikuwa usanii, ngano (legends) basi ilikuwa ushirikina tu. designation ya "Bikira" ni ya kiitifaki zaidi na ilitokana na hisia tu na hoja za kuumba kwa akili (dogmatic thought), haina uhalisia wowote wala si sehemu ya ufunuo wa kibiblia, Maria alizaliwa kwa baba ya mama kama watu wengine na mwisho wa uhai wake alifariki kama wanavyokufa watu wengine wowote na kuzikwa na hajawahi kufufuka. naye analingojea tumaini la watakatifu la ufufuo wa siku ya mwsho. kwa hivyo hawezi kutokea akiwa na mwili, labda iwe hao watu walitokewa na mzuka tu. asomaye na afahamu

nanyi mtaijua kweli na hiyo kweli itawaweka huru

amani iwe kwenu, mbarikiwe sana

Glory to God!

Kama wewe huna imani hiyo basi si ukae kimya kuliko sasa kutaka wanaoamini wabadilishe imani yao na kufuata ya kwako. Simple question to you: was Jesus resurrected from the dead in the third day after his death?
 
ubarikiwe sana mpendwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom