Picha ya Virgin Mary yatokea ukutani Finland

neitsytmariajuttu0708LL_503_uu.jpg
'

Huko Finland katika mji wa Hameenliina image hii inayofananishwa na Virgin Mary imetokea ukutani na jamaa mwenye nyumba alifanikiwa kupata picha mbili. Kabla ya picha hiyo kutokea kulikuwa na hali ya radi na msisimko na paka wa mwenye nyumba alitimua mbio na kujificha. Kwa habiri zaidi Neitsyt Maria ilmestyi ladon seinään Hämeenlinnassa - Katso kuva! | Kotimaan uutiset | Iltalehti.fi.

hii link ni ya Kudhungu?
 
neitsytmariajuttu0708LL_503_uu.jpg
'

Huko Finland katika mji wa Hameenliina image hii inayofananishwa na Virgin Mary imetokea ukutani na jamaa mwenye nyumba alifanikiwa kupata picha mbili. Kabla ya picha hiyo kutokea kulikuwa na hali ya radi na msisimko na paka wa mwenye nyumba alitimua mbio na kujificha. Kwa habiri zaidi Neitsyt Maria ilmestyi ladon seinään Hämeenlinnassa - Katso kuva! | Kotimaan uutiset | Iltalehti.fi.

hii ni kama kuabudu sanamu na imekatazwa kabisa katika ukristo naweza kusema hii ni nguvu ya devil kuwapoteza watu sio kingine
 
Daaah!hyo hata mi skubaliani nayo.ushawah kumuona bikira maria wewe?

Mwanamayu said:
Je, na hii picha ya avatar yangu unaweza kusema msalaba wa Yesu unaelea juu ya mlima?

Aliyeshuhudia image hiyo kaifananisha na nyinginezo nyingi zilizochorwa na artist mbalimbali so its up to him to give his arguments kwa uhuru. Kama unaona imefanana na bibi yako ambaye unamfahamu unaweza ku argue freely vilevile.
 
Biblia inasemaje kuhusu wafu? Mhubiri 9:5-Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote; wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

Mariamu mama yake Yesu alikufa akazikwa. Hakuna ushahidi wowote wa kiBiblia kwamba alikwenda mbinguni, kwani wafu hawaendi mbinguni.

Wakatoliki wameingiza theolojia ya uwongo, kwamba ukifa unaendelea kuwa hai...

Majini yanajitokeza katika sura ya "Bikira Maria" na wao wanadhani ndiye.

Wameanzisha kanisani utatu mtakatifu wa kipagani, Mungu Baba, Mungu Mama (Maria), na Mungu Mwana Yesu.

Dini zoote za kipagani zina mungu mke, Isis, Horus, Osiris kwa Wamisri.

Hakuna cha Maria, Hakuna cha Purgatoy. Uchawi mtupu.

Further details; google,-amaizingdiscoveries.org

Wakatoliki wameenda mbali kumfanya BM kwamba ndo anafanya kazi ya Yesu, eti Mediatrix. Na Majini yamekuwa yakiwatokea watu na kutoa maagizo. Nina quotes za wanazodai ni maono kutoka kwa BM, zinapingana na Bible. Huyo ni shetani kazini.

Ukitaka ushahidi zaidi tafuta web nlokupa, au youtube, strangefire.
 
Takbir. Kwa mtaji huu, basi wamchukue tu huyu mwana kondoo wa Allah na wampeleke msikitini awe anaishi mule, na wakati wa swala ya Ijumaa awe anakaa mbele na Sheikh akichangia kwa meee, meee zake za hapa na pale. Mavi ya huyu mwana kondoo, Waumini wayakusanye kwa uangalifu na uadilifu mkubwa na kuyatumia kama kiungo kwenye futari zao. Na kondoo huyu asichinjwe! La Hasha! Bali aruhusiwe kuishi nyumbani kwa Sheikh kama mtoto wake wa kuzaa hadi siku yake ya mwisho ifikapo hapa duniani, ambapo mwana kondoo wa Allah atazikwa kwa tartibu na heshima zote za Kiislamu.
<br />
<br />
we makalio kweli kazi yako ni kucoment kwenye thread tofauti na usemacho the same c6ent kwenye thread inayohusu hemf na vsker
 
Ooh mother virgin pray for us..

Tumepewa jina mmoja tu la kuliabudu na kulisujudia..
Tumepewa jina moja tu kama kimbilio letu wakati wa shida na mateso..
Hakuna jina lingine lenye mamlaka ya kuponya, kusamehe dhambi na kufungua walio kwenye vifungo vya giza mbali na tofauti ya jina hilo..
Nalo ni jina la Yesu Kristo.
 
Hivi hiyo picha ndiyo ipi hasa. mimi sioni. isipokuwa nadhani watu wanakuwa psychological affected. wana hisia tu kwamba hiyo ni picha ya virgin mary lakini ukweli hakuna kitu hapo.
 
Salamu maria umejaa neema ,umebarikiwa kuliko wanawake wote , na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa,maria mtakatifu mama wa mungu ,utuombee sisi ni wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu ,amiina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom