Picha ya kikwete yazua balaa

kweli alipendeza sana nilidownload lakini nikaifuta mapema, baada ya kamata kamata ila ilikuwa bomba, lakini dunia si wawili wawili kwani TZ tunatechno -am ya Namna hii kweli? au imetoka Nje
 
Wakuu taarifa za uhakika ni kwamba tangu wiki iliyopita watu kadhaa wametiwa mbaroni katika idara za serikali na watu binafsi kwa kosa la kusambaza picha inayoonyesha kiwilili cha kike lakini kichwa ikiwa na sura ya Rais kikwete.

Naishangaa serikali inatumia nguvu nyingi sana hapa kwenye mitandao kwa hawa jamaa wa usalama lakini hawawezi kumkamata fisadi Vithlani ama waseme Dowans ni nani hasa!!

Upo Tz kweli ww , mmiliki wa dowans mpaka leo humjui ? na Vithlani ww unajua yuko wapi ? acha kuweka habari za uongo na kupotosha wana JF
 
Wakuu taarifa za uhakika ni kwamba tangu wiki iliyopita watu kadhaa wametiwa mbaroni katika idara za serikali na watu binafsi kwa kosa la kusambaza picha inayoonyesha kiwilili cha kike lakini kichwa ikiwa na sura ya Rais kikwete.

Naishangaa serikali inatumia nguvu nyingi sana hapa kwenye mitandao kwa hawa jamaa wa usalama lakini hawawezi kumkamata fisadi Vithlani ama waseme Dowans ni nani hasa!!

apa cichangii
 
tuwekeeni hiyo picha na sie tuone uumbaji bana..

hivi hao wnaokamatwa wanazijua haki zao? unaponikamata kisa nimetumiwa picha unatumia sheria gani kunishtaki wachia mbali kunishikilia polisi eti kwa mahojiano?

kuna haja ya polisi kuanza kujifunza sheria na haki za hao wanaowakamata.. manake tumeshaamka tutakuja wekana pabaya sana siku zijazo
 
Wekeni picha hiyo la sivyo aghhhhhhhhhhhhh, sie wengine hatujaona. Iwekeni sehemu alafu mprove anayeiweKA hakamatwi na si TISS
 
Mie nikiipata nitatengeneza kubwa na kuibandika ukutani kwangu sebuleni kwa ukumbusho wa Utawala wa Nyota ya Kike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom