Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,126
- 725
Hapa kuna siri kubwa lazima tuwe makini, vyombo vya habari vimeripoti na alieandaka ni waislu wenzenu walioenda shule sio wabinafsi kama wewe. Hii kujificha kwenye mwavuli wa dini mara yanakuja ya watanganyika na wazanzibar hapa kuna mchezo mchafu wa siasa. Wapelekeni viongozi wenu wa dini shule wajue maana ya imani sio kila mtu atafuata matakwa yao kama wanavyotaka.
Hawa watu ni wanafiki wakubwa ukiona hivyo kuna kontena la mchele kutoka omani limeingia. Njaa mbaya sana. Kwanini wasichome hayo mabanda ya waganga wa kienyeji wanakimbilia makanisa, shule na mabar. Hicho kizazi cha sultani hapo zanzibar kitatutesa sana warudishwe kwao omani wanatuaribia Afrika yetu.