Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Mbona hizi tarehe 26/27 zina jinamizi huko zenji! Nakumbuka January 27 mwaka fulani kulikuwa na vifo vya risasi huko zenji.
Hawa wahariri kama wanatumia picha ambazo sizo na wala hawajasema ni za maktaba ni hatari kubwa. Watanzania tuna waandishi wa habari wachache sana; tuna wachumia tumbo sawa tu na wanasiasa. Si ajabu ndio maana miaka ya nyuma kabla ya uchaguzi vyombo vya habari vilikuwa vinatuonyesha picha za mauaji ya kimbari huko Rwanda ili kuwatisha watu.
Hivi hata Tanzania Daima nalo limefikia kuonyesha picha za uongo?
Nimependa sana hii thread.
It is an eye opener.
Mambo kama haya tulikuwa hatuyajui, and we took it for granted