Picha:Umbumbumbu wa magazeti yetu

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kiukweli inatia hasira ya masikitiko sana.....ukiangalia magazeti ya leo mengi utaona picha baadhi ambazo sizo za matukio ya majuzi zanzibar.....ni picha nyingine kabisa ila wamejivika ujinga na kuudanganya umma....
SAM_2045.JPG

SAM_2052.JPG

SAM_2046.JPG

SAM_2047.JPG

SAM_2048.JPG

Picha hii ni ya tukio la Maandamano ya Wanafunzi Waislam yaliyofanyika Morogoro mwezi Januari na SIYO ya matukio ya Zanzibar yaliyofanyika siku za mwishoni mwa wiki ya Mei 26 - 27...........Friday, January 20, 2012

MUUMINI WA DINI YA KIISLAM AKIONYESHA KITAMBAA KILICHOTAPAKAA DAMU

DAMU%2BIMEMWAGIKA%2BMAANDAMANO%2BYA%2BUMOJA%2BWA%2BWANAFUNZI%2BWA%2BKIISLAM%2BMANISPAA%2BYA%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B5.jpg

DAMU IMEMWAGIKA,DAMU IMEMWAGIKA, DAMU IMEMWAGIKA NDIVYO ANAVYOELEKEA KUSEMA MUUMINI HUYU BAADA YA ASKARI KUWAJERUHI WAANDAMANAJI WA DINI YA KIISLAM WAKATI WAKIELEKEA OFISI YA AFISA ELIMU MKOA WA MOROGORO.
JUMA MTANDA: MUUMINI WA DINI YA KIISLAM AKIONYESHA KITAMBAA KILICHOTAPAKAA DAMU

Hii hi khatari kwa kuwa magazeti yanafikiwa na watu wengi inaweza kulata hisia mbaya kwa watu......
 
Inaonekana waandishi na wahariri sio watu wa kutafiti....hawajui wao ni silaha nzito sana...sasa imagine hiyo picha leo imepamba magazeti eti ni ya vurugu za zanzibar wakati hiyo ilikuwa jan 2012 kule morogoro.........
 
Aliyeshika hicho kitambaa cha damu mbona hajavaa gloves; haogopi kuambukizwa virus?
 
Mi sielewi..ishu ya wazanzibari ni serikali yao au ni wakristo?? kwanini wasiende ikulu yao wakaandamane huko..wakristo sio wanaowanyima uhuru wa nchi yao
 
Mi sielewi..ishu ya wazanzibari ni serikali yao au ni wakristo?? kwanini wasiende ikulu yao wakaandamane huko..wakristo sio wanaowanyima uhuru wa nchi yao
wewe nawe akili kama william malecela......unajua umeandika nini bongolala wewe? yaani wabongo bana???
Kwa hiyo unataka kuwafundisha waandishi.
kama mwandishi basi wewe hamnazo kabisa.....hiyo picha sio ya tukio lile bwegge wewe.....na mhariri wako bwegge vile vile....fanyeni utafiti mabwegge nyie......watu mtaani sasa hivi wajua hiyo picha ni ya vurugu za zanzibar wakati sio mabwegge nyie......
 
kuhusu picha waliotoa kurasa za mbele za magazeti mengi kwamba imebuniwa na sio ya tukio halisi.
picha hiyo ni ya tukio la Morogoro na sio Zanzibar. hii itasaidia kujenga heshima kwa maagzeti ambayo ni wazi yanapotosha jamii
kuna taarifa jumuia kadhaa zimeanza kujadili jinsi ya kuitisha maandamano makubwa kupinga propaganda zinazoandaliwa na wahaariri wa magazeti.

JUMA MTANDA: MUUMINI WA DINI YA KIISLAM AKIONYESHA KITAMBAA KILICHOTAPAKAA DAMU
 
kuhusu picha waliotoa kurasa za mbele za magazeti mengi kwamba imebuniwa na sio ya tukio halisi.
picha hiyo ni ya tukio la Morogoro na sio Zanzibar. hii itasaidia kujenga heshima kwa maagzeti ambayo ni wazi yanapotosha jamii

kazeti gani, mkuu wangu?
 
Kwa hiyo unataka kuwafundisha waandishi.
Issue sio kuwafundisha waandishi........
issue hapa nimatumizi ya picha isiyokuwa ya tukio husika.......wameiokota kwenye blogs, ina maana hakuna chombo chochote cha habari kilichoweza kupiga picha?
 
kuhusu picha waliotoa kurasa za mbele za magazeti mengi kwamba imebuniwa na sio ya tukio halisi.
picha hiyo ni ya tukio la Morogoro na sio Zanzibar. hii itasaidia kujenga heshima kwa maagzeti ambayo ni wazi yanapotosha jamii
Sema ni gazeti lipi, na ikiwezekana weka hiyo picha hapa. Hebu uwe wazi, sio na wewe unakuja na mambo yako ambayo hayajakamilika. Unakuwa bado unafanana na hao unaowashutumu.
 
Picha halisi ingetoka wapi; hivi unaweza kumpiga picha mwizi tena usoni akakuangangalia tu?
 
Issue sio kuwafundisha waandishi........
issue hapa nimatumizi ya picha isiyokuwa ya tukio husika.......wameiokota kwenye blogs, ina maana hakuna chombo chochote cha habari kilichoweza kupiga picha?
hii picha hata michuzi aliweka later akaibandua......waandishi wa kibongo hamnazo kabisa...ndio maana mkapa aliwatolea mbovu...wewe si unaonaga hata wakimhoji kiongozi maswali yao......

unakumbuka ile picha ya mv spice islander....nayo walichapisha uku ikiwa ni famba......
09_11_e8upb8.jpg
 
Picha halisi ingetoka wapi; hivi unaweza kumpiga picha mwizi tena usoni akakuangangalia tu?

mbona polisi walipomabana na wakiristo wa mwenge mliapta picha? Itv ilienda pale mara 1 na kupindisha ukweli? chuki zenu zimefika mwisho. mkianza tunamaliza
 
Picha halisi ingetoka wapi; hivi unaweza kumpiga picha mwizi tena usoni akakuangangalia tu?
ARIFU huelewi kwanini? picha iliowekwa sio ya tukio husika.....ni ya tukio lingine kabisa.......
 
Back
Top Bottom