Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
- Thread starter
- #41
alafu hawa waandishi walivyo mabwegge huwa wakishaona picha michuzi au JF pale pale wanaichukua na kuibandika kwenye page za mbele.......Hizi ni faida na hasara za kutegemea mitandao badala ya kuwa au kutafuta watu waliopo katika tukio, ni rahisi sana na wanaokoa gharama kubwa wanapochukua picha toka mtandaoni kuliko kutuma mtu ama kutafuta mtu aliye eneo la tukio, hii ni download and paste on paper itajatugharimu sana siku moja.
Mungu ibariki Tanzania.
Hivi tz daima si gazeti na chadema????