PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

chama makini chenye mwelekeo kuliko wale mgambo ambao wanafungua matawi kwenye baa na kwa mateja na wauza unga
 
Hilo halina tofauti na tamasha la muziki, hakuna kitu cha maana kilichofanyika hapo.
 
....[/QUOTE]

Hao wote wliohudhulia hafla hiyo hawawezi kuwa watu makini. Wako kimaslahi zaidi na kamwe hawana uchungu na ndugu zao ambao kila uchwao hupoteza maisha kwa sababu ya kukosa huduma muhima za kiafya kutokana na ufisadi wa akina kinana.
 
Tija kwa matawi ya CDM na CCM diaspora: CDM wamechanga kununua pikipiki 216 (kama sijakosea) na Ambulance 1. Tuwekeni hapa jamvini CCM wamechanga nini kwa uchumi wa TZ vinginevyo wamekutana kupata mnuso na huyo mama balozi atakuwa kalipia tu ili kuwashawishi wakutane na kucheza mduara maana balozi mwenyewe mduara ile mbaya. Kisha Kinana kafuata makundi ya Al-Shabaab kwa kazi maalum ya 2015, tusibeze mikutano hii maana jamaa wanaitumia kuvuruga nchi ili wabaki 2015 wadau kataeni kutumbukiza nchi yenu katika hatari za Al-Shabaab. Kumbuka huyu alikuwa waziri wa ulinzi kwa hiyo anajua makampuni gaidi ya kuuza silaha. Sibezi hata kidogo tawi la CCM ila linanitia mashaka kama ni kutafuta makombora ya kuua maana mabomu na maji karibu vitashindwa kwa hiyo wanatafuta silaha nzito nzito.
 




kuhusu kuhudhuria au kutohudhuria hao wengine! haihusu... inahusu kwamba mahudhurio yalikuwa ya kuridhisha na again CCM DMV improve haters they were wrong again .. watafute jingine la kuongea ..



Haters! tushawazoea ninyi! ... mmejawa na roho ya kwanini toka CDM walipokwenda UK na kupata watu 7 .. huston pale kuna watanzania wengi lakini mbowe hata watu 30 hakufikisha ...

Njiwa, sina sababu yaku- hate awe ni CDM au CCM. I always speak my mind. Kila mtu anamtizamo wake kwenye jambo na sio lazima uwe hater. Nimekaa DC naielewa vizuri sana na watu wake na waelewa vizuri (you probably do too and you have a different perception of them), hii haimaanishi ni hater. Nisingeweza kutoa comment ya watu niliowaona Houston kwani namfahamu mmoja tu ambaye tulikua wote utotoni so siwezi kuelewa misimamo yake kwa sasa.Ukikimbilia kusema hater unaonekana mtu aliyekosa hoja. Tupingane kwa hoja si kwa name calling-nafikiri kwakufanya hivyo tutasaidia kuelimishana.
Kuna watu wanamapenzi ya kweli na hivi vyama vya siasa (iwe CCM au CDM) ambao kwa mtizamo wangu ni wachache. Vilevile nakubaliana na wewe wingi wa watu unaweza kuwa success pale mnapotaka kufikisha ujumbe au kukusanya pesa(itategemea willingness yakutoa pia); lakini wingi wa watu haimaanishi commitment kwenye chama. Kwahiyo sijui lengo kuu la CCM au CDM kuwa na matawi nje ya nchi; inawezekana wote wakasema wamefanikiwa au wote wakasema wame-fail itategemea lengo ni nini hasa.
 
bilal+ccm+246.jpg


katika hii picha sera gani tena hapa ccm wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!

sera yao ni kuendeleza uchangudoa na ndio maana ya hivyo....wakikaa wanaacha juwaza ishu muhimu za nchi wanawaza mapenzi tu
 
Bilal+CCM+246.JPG


Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!


Nimeshindwa kuelewa. Huu ulikuwa mkutano chama cha cha siasa, kitchen party, send off au mkutano wa mashangingi? Mbona mambo mengine yanatia aibu jamani?
 
Hivi ulitaka wafurike hivi?? Unafikiri dc yote ni wa tz?? Au unadhani wanazaliana kama wa-tz?? Una uhakika wana uroho wa vitumbua hawa??
 
Hivi kumbe mtu unaweza kuwa marekani lakini u r still a fool, i mean a complete fool. Yaani with all that knowledge that country is blessed with mtu na akili zake timamu kabisa bado anaenda kushabikia na kucheza ngoma kwenye mkutano wa ccm, mkutano usio na kichwa wala mkia, instead of showing some level of difference or creativity...you are doing the same ccm shits! alafu unajitamba bongo am in the states. Ningelikuwa mimi ningerudi bongo tu kulima viazi, manake sioni tofuti na kule madongo kuinama watu wanako danganywa khanga, kofia na pilau. Alafu ...ngoja nikaushe tu, ila i wish i had a background profile of all these ...... in the pics, something must be wrong with them. Watanzania kweli tunahitaji kazi ya ziada.... kama mwanafunzi ni inabidi kichwa kigongwe nyundo, manake vipofu si vipofu, wenda wazimu si wanda wazimu, ..ili mradi tu, sijue ndo kulogwa huku aaaah! Its so disgraceful and disgusting to that country!!
 
Upuuzi mtupu hakuna faida ya kufungua matawi Ulaya na Marekani wakati Tanzania bado kuna watu wengi hawana ufahamu wa kujua haki zao za kidemokrasia mngeanza na hawa kwanza sio kukimbilia Marekani na Ulaya...huu ujumbe nawapa Chadema na CCM acheni kuwaandaa wananchi tatizo la Watanzania sio matawi.mkubwa you are right kweli matawi ni jina tuu,tawi halisi ni watu kuwa na moyo kukipenda chama chao kwa ajili ya maendeleo ya Taifa,politicians wetu are pro-western lobby kwamba kila kitu DC,....stupid moves.
 
Mbona me naona kama kuna machangudoa tu,na hivyo vidume sijui sijui ndio wateja wao?
 
Mizee mingi hapo imekwenda kutembelea watoto wao waliowapeleka nje na baadhi nyumba zao ndogo zilipo huko hivyo kwao hiyo ilikuwa ni likizo time.

Kwa chaa kisanii ni kama wanaendeza usanii.

hivi mbona sijasikia vyama vya nchi nyingine vikifungua branch tanzania?
 
Back
Top Bottom