PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

Huku ni kukosa maono ccm imetawala miaka zaidi ya miongo mitano. Ni kichekesho leo kufungua matawi nchi za nje. Kama si kufuatisha yale yanayofanywa na Chadema, oneni aibu ibueni vitu vya kwenu.
 
Bilal+CCM+246.JPG


Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!

Sera: Wanawake kwanza. Au nimekaaje?
 
Bilal+CCM+246.JPG


Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!

Mh Slaa alikosa hapa kweli. Maana haya ndio maeneo yaliyompeleka Mh Slaa Mahakamani. Katika maeneo kama haya huyu mtaalam huwa hakosi. Hebu angalieni kule nyuma kwenye giza giza, kama naiona sura yake.
 
Unaanza kuwa na Matatizo kama ya NAPE NNAUYE... UMATI ndio UJUMBE UMEFIKA... CHADEMA haibebe WAJUMBE kwa kuwalaghai kwa zawadi

Wanakuja kufuata hoja za kweli... ANGALIA PICHA HAPO CHINI UNIAMBIE KAMA HOUSTON kulikuwa na watu 30 tu... BE REAL..

Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.


DSCF2828.JPG

 



Sasa WILBROAD SLAA PEKEE NI MKATOLIKI na Unajua Kaoa na kazaa nje kwa WAKATOLIKI ukifanya HIVYO wanakutenga

Kabisa wao sio sawa na dini zingine za Kikristo ni very conservative; angalia wanavyompa matatizo Barak Obama kwa Jina

lake tu Barak; na Obama Sio Mkatoliki; Sasa Mbowe sio Mkatoliki ni Mlutheri nizo dini MBILI tofauti kabisa ni Sawa Sawa na

Wewe kusema SHIITE na SUNNI au niingie ndani kidogo na kusema; ALAWITES ambao ni Waislamu lakini wanajifanya wana

Ukristo kidogo na SUNNI uwaweke MSIKITI MMOJA... Sasa hapo Uone Moto; Na Unajua KAGERA ina Wakatoliki WENGI na

Angalia waliipigia KURA CCM kwa KISHINDO sasa unataka kuleta habari zisizo na UCHUNGUZI ndio hapo WASWAHILI tunaanza

kuuana na hatujui MUANZILISHI WA BALAA HII NI NANI; GAZITI AU UPUMBAVU WETU? NDIO ZA BOSNIA hizi... MTU MMOJA

alianza hayo... ETHNIC cleansing ikaanza... Kama wewe ni Msomi SOMA kabla ya KUDAKIA MAMBO... SIO MAGAZETI YA CCM

WORLD NEWS; READ MAN READ...
 
Chama cha matajiri.....na wanawake waliokuwepo wengine (baadhi yao) nadhani siyo riziki!!!!!!
 
Back
Top Bottom